Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.
Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy...
Kwa mujibu wa kanuni walizojiwekea wenyewe mwakilishi maalum (special envoy) atateuliwa na Katibu mkuu baada ya nchi mwanachama kuomba usuluhishi.
Lakini katika kituko cha karne bila kuwepo ombi la serikali ofisi ya Katibu Mkuu imekurupuka nakumteua aliyekuwa raisi wa Malawi kuwa special envoy...
Hongera Mama umekuwa kichekesho na kituko Duniani kura fake 98% na video za wezi wa kura. Kusema chaguzi zilikuwa za haki Mama amekuwa ni kituko na kichekesho.
Juzi nilikuwa Texas wanauliza kama nimetokea Tanzania au Kenya nikasema Tanzania kila mtu akacheka!
Wanasema walikuwa wanaona video...
Dini zote mbili kubwa huwa zinajitamba sana kwa miujiza mbalimbali, sasa kama unaamini miujiza inayosemakana kuwahi kutokea kwenye dini yako mfano mwezi kupasuka na kisha kujirudia tena au mtu kusafiri kwenda mbinguni na farasi kwa nini ushangae mtu kujaza gesi ya kupikia kwa kupuliza na mdomo?
Mwaka 2020 mwanamzuki Akon aishiye nchini Marekani alipewa ekari 136 na serikali ya Senegal ili kuwekeza kujenga jiji la Wakanda lenye thamani ya $bilioni 6 (Watu wa mjini hasa Daslam wanaongalia movies wanaelewa vizuri Wakanda, sina haja ya kufafanua). Hata hivyo mradi huo haujafanyika kama...
Binadamu huwa tunatembeleana sana yaani je ni kitu gani ulikutana nacho ugenini ukabaki mdomo wazi au kucheka tu
Mimi nilikutana na maneno katika kutambulishwa kwa mtoto wake mdogo alikuwa kama ana miaka 6 hivi akalopoka tu mama huyu ndio uncle jana ulisema upendi kuongea nae kwenye simu mama...
Leo ndo nimeamini CCM kumejaa wajinga wengi na wasiojielewa. Ambao hawajui hata mambo ya nchi yao.
Akitoa salamu za Chama Kikuu cha Urusi, Mjumbe aliyewakilisha chama hicho pamoja na kuziponda nchi za Magharibi kama kawaida yao, alisifia miradi mbalimbali ambayo imekuwa ikifanyika nchini...
John Mrema
Mkutano wa John Mrema wa Chadema na waandishi wa habari leo umefichua mengi kuhusu dhamira yake na wanaomtuma.
Anasema kuwa wao hawapingi msimamo rasmi wa chama kwa kuwa kwenye waraka rasmi wa Chadema alio nao maneno NO ELECTION hayamaanishi HAKUNA UCHAGUZI.
Anachomaanisha ni...
Hivi Chadema wamerogwa?! Mbowe hasa karogwajwe?!
Kinachoendelea Chadema ni zaidi ya Isidingo, the need!
Naanza kupatwa na wasiwasi, hawa Chadema ama watauana ama watatwezana pakubwa!
Mbowe jitu zima limeamua kukiua Chama kwa mikono yake lenyewe kwa ulafi wa pesa.
Hadi keshokutwa nawaapia...
👉Mimi hii ndo sababu iliyo fanya nikaacha kwenda kwenye kampeni na kuachana na mambo ya siasa🥶ni maigizo haswa ya kupretend kupata service kwenye local areas
👉Hebu tuambie nawewe nini huwa kinatokea kwenye kampeni pande zenu
👉Uzi tiyari
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Nimekumbuka Miaka kadhaa iliyopita Wiki mbili kabla ya Siku yangu ya Uchumba na kutolewa mahari nikapeleka kitambaa kwa fundi anitolee Gauni nzuri na mshono ulikuwa simple tu
Akanipa na siku ya kurudi kuchukua nguo bhana, me nikajiongeza nikasogeza siku kadhaa (akamilishe vizuri nguo) nikaenda...
wiki kadhaa zilizopira Iran ilirusha makombora 200 kuelekea Israel, Hakuna mu Israel hata mmoja alieumia lakini kuna kombora moja halikufika Israel lilimdondokea mpalestine moja na kumuua.
Israel iliwaambia Iran itajibu na kuwapa taarifa mapema ni wapi watapiga, Siku ya ijumaa 24- 10-2024...
Kituo cha kujiandikisha kupiga kura kimewekwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa kitongoji ambaye naye ni mgombea wa CCM, je hii ni sahihi?
Pia soma: LGE2024 - Uzi Maalum wa Kasoro na Rafu kwenye zoezi zima la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Heeeeee, hata kama ni Kutengeneza mazingira ya Padiemu , hizi zingine muwe mnatumia akili hata kidogo.
Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, Ziwa Victoria Baba laooo, vijiziwa vidogo vidogo , yote hayo Mungu katupa, bado mnapanga kutupiga watanzania ?.
Ziwa Victoria linahamisha watu Kwa sababu ya...
Hii kauli hawezi sema Rais. Mtoto wangu wa miaka 13 anajua why Kariakoo waligoma. Ila Rais hajui why waligoma.
Huenda waliotumwa na Rais kuuliza au kuchunguza waliporudi akawauliza
Rais: Enheeeh wanasema kwa nini wamegoma?
Wajumbe: Hata tunajua basi? wamejikuta tu wamegoma.
Rais: Haya...
Huyu binti alikua mzuri, akapotea kama miezi mitatu hivi akarudi na tako kubwa tu na lips pana. Mimi sikuwa na hiyana nikamuita nimchangie gharama alizotumia huko (malegend tutaelewa)
Sasa imepita miezi miwili toka nionane nae, leo nimemuona kaumuka yaan ile kama kavimba vimba hivi. Kawa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.