Kitu (Persian: كيتو, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.
Good evening jamiiforums
Je, kinachoendelea sasa katika nchi tajiri ya Marekani ni uthibitisho kwamba pesa sio kila kitu (Money can't buy everything)?
Marekani ana-sign peace deal na wanamgambo? How comes? Americans have enough cash, fully equipped military/intelligence machinery plus...
Tanzania imebarikiwa kuwa na mchanganyiko wa hali ya hewa inayoakisi karibu mabara yote duniani. Yapo maeneo yenye mvua hadi kero, maeneo yenye baridi, sehemu zenye mvua chache na kadhalika. Mbali na Bahari, maziwa, mabwawa, mito na vijito. Hali hii ikijumuisha na sifa mbalimbali za udongo...
Yeereeeeeh!
Wadau mnaendeleaje!
Huyu mwamba mchungaji ni wa kipekee.
Kanisa lake simple tu la mabati huko Meru milimani enzi hizo.
Kuukaribisha mwaka mpya 2007 mwamba alitupanga nakutuambia shida zote mtaziacha nyuma 2006 na mwaka wa 2007 nawaakikishia njia zenu zote Yesu atazifagia...
J K Nyerere alikuwa Pan Africanist na hicho ndicho kilicho mpamanua dhidi ya wenzie kama akina Jomo Kenyatta au Milton Obotte. Miaka yote alifikiria kuunga mkono mapambano ya nchi zinazopigana na wakoloni.
Mwinyi alikuwa mwana Diplomasia mliberali na ndiyo maana akafungua milango ya uchumi wa...
Ofisi ya DPP pekee imetoa majaji wanne wa mahakama kuu ya Tanzania. Hawa ndio walikuwa engine ya kuvurugwa mfumo wa haki.
Je majaji wanashtakiwa? Kama awashtakiwi hii yakuwateua haiwezi kuwa njia yakuwaficha wasipambane na mkono wa dola?
Tufungue macho tusiwaamini sana wanasiasa, Wana njia...
Habari zenu wanajamii
Naomba mnisaidie kitu kimoja. Mimi kwa bahati mbaya mama yangu mzazi alifariki tangu 2016 na alikuwa mtumishi wa Serikali. Amefariki akiwa anaidai Serikali malimbikizo ya mshahara.Sasa mimi nimeamua kufuatilia hayo madeni tangu mwezi wa pili pale ofisini kwake
Sasa...
Habari wana janvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu.
Kuna siku ilikuwa imebaki mechi 1 nipige M40-50.
Mkeka wa wiki, ilikua game ya Everton na Spur mwaka jana. Spur alikua anaongoza 2-0 mpaka dakika ya 89.
Nikaanza kupiga na simu kwa jamaa mmoja kumuulizia bei ya gari lake...
Kwa hali ilivyo watu wasio na ajira Tanzania ni ngumu kuwasaidia kwa kuwa hawana mobilization yeyote.
Ile fursa ya Jana ya Mama yetu kuongea na wazee ilikuwa ni fursa nzuri ya kuwasiliana na viongozi wa wazee ili waweke maneno ya ajira Kwa wajukuu zao kwenye hotuba yao.
Kundi la wasio na ajira...
Habari zenu jamani JF,
Niwaulize kitu wana ndugu: Ni kitu gani kikubwa ambacho uliwahi kuhonga/kuhongwa na mpenzi wako ambacho kamwe huwezi kukisahau?
Mimi nimewahi kuhonga vitu vya ndani yaani full house material na niliwahi kumkodia gari hawara yangu mwingine siku ya harusi yake sijui...