kitu

Kitu (Persian: كيتو‎, also Romanized as Kītū, Kaītū, and Keytū; also known as Geytow and Gīto) is a village in Gol Tappeh Rural District, Gol Tappeh District, Kabudarahang County, Hamadan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 313, in 79 families.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania TANROADS, hii imetokea India lakini kuna siku nimepita maeneo ya Ruaha barabara ya kwenda Iringa nikaona kitu kama hiki ni rahisi sana kutokea pale!

    TANROADS, ni vema mkalidhibiti hili eneo la Ruaha kabla maafa hayajatokea, hasa wakati wa mvua ambazo siku hizi zinzzidi kuwa kubwa kuliko vegezo vilivyotumika ku-design hii barabara. Imetokea India inaweza kutokea pale Ruaha. Msiache mambo kwa kuomba tu rehema za Mungu kwamba haitatokea...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakati EU na America wakijiandaa kuitenga serikali ya Samia, Watanzania tusiwe nyuma, ni wakati wa kumsusia kila kitu abaki peke yake!

    Wakati wazungu wakituhurumia jinsi tunavyopigwa Watanzania, jinsi tunavyokandamizwa, jinsi viongozi wa dini wanavyoshughurikiwa wanapoamua kusimamia kweli, wanasiasa wa vyama vya upinzani na hata Wana CCM wanaokwenda kinyume naye wanavyoshughurukiwa, mtu mmoja mmoja na hata kufungwa kwa nyumba...
  3. JamiiForums Tanzania Bora Mtu umalize form four na miaka 30 kama yule jamaa ambaye hazeeki kuliko kununua cheti kwakuwa utakuwa na cheti kizuri ila kichwani hamna kitu.

    Wanasiasa Ambao mnavyeti vyamagumashi kiukweli Mnaonekana kuwa hampo vizuri kiutendaji . Mimi nimeona hilo.
  4. JamiiForums Tanzania Tufanye Kitu gani kuepukana na hizi story?

    Ukiongea na wazee wengi, especially wale ambao hawako vizuri kiuchumi, utakuta kuna baadhi ya vitu vinafanana kwenye past experiences zao. Wengi walipata "bahati" sio ya kuwa matajiri, ila bahati ya kushika pesa nzuri kwenye ujana wao. Ila baada ya muda, pesa zikawakimbia. This is not a...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimegundua: Millard Ayo hajaripoti habari za Humphrey Polepole kujizulu Ubalozi

    Nimepitia mitandao yote sijaona ripoti yake kuhusu Polepole kujiuzulu.. Kama ni kweli, kwanini ? I STAND TO BE CORRECTED AND APOLYGIES IN ADVANCE IF I AM WRONG/MISTAKEN
  6. JamiiForums Tanzania Hongera sana Cde. Polepole, Kuna kitu Watanzania hawakielewi

    Kuna moment kwenye maisha unatakiwa kuelewa Uchawa na Kusifu sio ASILI ya Binaadam. Huku majuu palijengwa na watu wenye uwezo wa KUHOJI na KUWAJIBIKA. Kiongozi ame breach katiba ya CCM ili abaki madarakani, what a shame and nightmare in our history, Only to realize kwamba ndani ya nchi na...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimeshtukia

    Kufuatia balozi Polepole kujiudhulu na kwenye barua yake mwishoni kasema yeye atabakikuwa mwanchama mtiifu wa CCM huu ni mtego amewapa. Yaani Polepole ninaemjua atatoa kauli moja ya kuchafua hali ya hewa ili wamvue uana hama hapo ndio atawavua nguo mwanzo mwisho. Mpaka sasa kashajipanga...
  8. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Tanzania ni matokeo ya kitu gani?

    Tafakari tu bila kukaza fuvu.....tusome comment
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kulelekea Uchaguzi, natamani Samia abakie peke yake na familia yake, wengine wote wamtenge na ashindwe kwa kila kitu

    Kwanza ifahamike sielewi amefanya nini na anatupeleka wapi, mi naona anatupeleka kwenye kumfunga kila anayempinga namna anavyoendesha nchi yetu! Itakuwa furaha kuu siku moja mgombea wa ccm kuanguka na kushindwa vibaya Natamani mgombea wa CCM ashindwe na atengwe na kila mtu ili abakie peke...
  10. JamiiForums Tanzania Kila kitu kilichopo mbele yako ni chaguo : Uchaguzi ni wako.

    Kila jambo katika maisha ya mtu kwa kujua au kutokujua hupata nafasi katika maisha ya mtu kutokana na uchaguzi wa mtu huyo. Maisha yako ni jumla ya matokeo ya uchaguzi wako. Linda sana nguvu yako ya kufanya uchaguzi, hayupo anayependa uchague unachotaka. Taratibu tu mada itaeleweka.
  11. JamiiForums Tanzania HASZU KAMA HAPPY BIRTHDAY YAKO YA MWAKA HUU BADO NATAKA NIGHARAMIE KILA KITU

    Nawasilisha Kama shughuli au jambo lako la happy birthday kwa mwaka huu bado halijapita naomba nigharamie shughuli nzima, kuanzia ukumbi au kama utaka kwenda beach, vinywaji hata kama unataka kufunga rusha roho au kigoma mm nipo tayari kugharamia. Nisiengee sana wasije sema Sina Hela watu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Allah ni "he" kama hafanani au hafananishwi na kitu chochote?

    “If Allah finds goodness in your hearts, He will give you better.” — Al Qur’aan 8:70 He ni utambulisho wa jinsia ya kiume!
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Kitu pekee ninachowakubali CCM ni hawa wajumbe wao

    Kiukweli wajumbe wa CCM wanafanya Kazi njema. Leo watu wenye bar watapiga Sana hela Arusha.
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  15. JamiiForums Tanzania Ngoja tuongelee Uasherati na Uzinzi kidogo

    Wakuu, naona watu wanachanganya mafaili kidogo kuhusu haya masuala mawili ya kingono. Yaani Uasherati na Uzinzi. Uasherati ni nini na uzinzi ni nini? Uasherati ni kitendo cha kufanya ngono au kujamiiana kwa hiari na mtu ambae sio mkeo na wala sio mumeo yaan hamjaoana na hii inaingiza uzinzi...
  16. JamiiForums Tanzania KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

    Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu...
  17. JamiiForums Tanzania Hii kitu kama haelewi, nitamueleza.

    Hili swala mke wangu lazima atambue... Siku nikiwa naumwa sana hadi hali yangu ya kula Chakula ikabadilika kabisa nikawa nakula kidogo, maumivu kama yote, sijui natapika sina hamu ya kula... Nakuomba mke kipenzi siku hiyo usiache kunipa Mbususu, fanya kila namna nikila kidogo kuniongezea hamu...
  18. JamiiForums Tanzania Kila kitu ni kupambania hasa mahusiano

    Nashauri wanaokaa single tuanze kuwanyanyapaa hadi wawe double.. kuwa single sio kitu kizuri hata kidogo, leo asubuh nipo dukani kwa shirima kuna mwamba kavaa Pensi nyepesi kaja dukani mkuyenge umevimbia kwenye Pensi, akasimama, sasa kuna bidada alikua anahudumiwa dukani akawa wa kwanza...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna kitu nimekigundua wanachotumia ma goal keeper bora duniani kuwa bora zaidi

    Wakuu mpo! Ni matumaini yangu mnatizama kombe la dunia la vilabu kwa umakini licha ya vilabu kutoka afrika kutupwa nje hatua ya makundi Katika hii michuano nimeona baadhi ya makipa wazuri wanafanana tabia Kipa wa Juventus, kipa wa real Madrid, kipa wa Al hilal na kipa wa Botafogo Fc anaitwa...
  20. JamiiForums Tanzania NHIF kitu kidogo hadi nije ofisi

    Siku kazaa hapo nyuma nimeingia nhif kupitia huduma yao ya online selfservice baada ya kufata hatua za mwanzo zote ikafika sehemu ya kuverify namba ya nida nimeijaza majibu napewq ishatumia katika Account type STUDENT napiga simu wanibadilishie iwe employee kazi yao kunipangia muda tu mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…