Mamia ya watu wamejeruhiwa kufuatia mlipuko mkubwa na moto katika bandari ya Bandar Abbas, zaidi ya kilomita 1,000 kusini mwa Tehran, Iran, kwa mujibu wa maafisa na vyombo vya habari vya serikali.
Vyombo vya habari vya serikali viliripoti kuwa mlipuko mkubwa ulitokea katika Bandari ya Shahid...