Beauty is in the eye of the beholder!
Honda N-Box ni moja ya best selling car Japan, na kuna miaka inampita hadi mkali wa miaka yote Toyota Corolla.
Ni kagari flani ata kukaelezea ni ngumu labda ukaone tu mwenyewe.
Engine yake ndogo balaa, cc 650, CVT transmission na power output ya 62 hp...