kitovu

Kitovu Hospital is a hospital in Kitovu, a neighborhood within the city of Masaka, Masaka District, Central Uganda. It is a private, community hospital, serving the city of Masaka and surrounding communities. It runs a specialist program to repair obstetric fistulas, that was founded by Dr. Maura Lynch; one of about six centers in the country that can do so.

View More On Wikipedia.org
  1. Tanzania yajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kusini mwa Jangwa la Sahara

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye viwanda vya kutengeneza bidhaa za migodini na utoaji wa huduma kwenye migodi ya ndani na nje ya nchi...
  2. N

    Je, Tanzania inaweza kuwa kitovu cha utalii wa kitabibu Afrika Mashariki na Kati?

    Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
  3. Ntaifanya Tanzania kuwa kitovu cha mashirika ya kimataifa

    Tunafahamu baada ya mahakama ya mauaji ya kimbari kumaliza shughuli zao Arusha tunafahamu kuna kitu kikubwa Arusha kilipungua yaani ile Multiplier effects iliyokuwa inatokana na mahakama iliondoka Kama nchi kuna faida kubwa sana kuwa na ofisi za mashirika makubwa ya dunia kama nilivyosema hapo...
  4. M

    Mke ana Hernia usawa wa kitovu pembeni ameambiwa operation

    Mke alikuwa na maumivu usawa wa tumbo pembe tangu akiwa mjamzito, baadae akajifungua mtoto anamwaka na miez4 Baada yakujifungua Hadi Sasa mtoto ana 1.4yrs Hali ya maumivu mkalii usawa wa pembeni kidgo nakitovu na juu anakua anaumia halafu panavimba Hali ikitokea anakaa katika maumivu...
  5. Dar es salaam kuwa kitovu cha bidhaa za refurbished

    Kama nchi ni muhimu sana kuwa sehemu ya soko la refurbished ili kukuza wigo wa ajira na kuongeza mapato ya serikali NIKIWA RAIS DAR ES SALAAM ITAKUWA NI KITOVU CHA BIDHAA ZA REFURBISHED The global refurbished electronics market is experiencing substantial growth, with a projected market size...
  6. 🩺❓Je, unapata maumivu ya tumbo chini ya kitovu? Uvimbe usio wa kawaida tumboni? Hedhi nzito au isiyo ya kawaida?

    Hii inaweza kuwa ishara ya moja kati ya changamoto kubwa mbili za afya ya uzazi: Ovarian Cyst (uvimbe kwenye mfuko wa mayai) au Fibroids (uvimbe kwenye mji wa mimba). 🔍 Ovarian Cyst ni Nini? Ni uvimbe uliojaa maji unaotokea kwenye moja au ovari zote (mayai ya uzazi). Mara nyingi ni wa kawaida...
  7. Alichofanya Abacha kwa Ken Saro Wiwa ndicho anachofanya Samia kwa Tundu Lissu. Wanigeria waliona sawa enzi zile leo ni kitovu cha Ugaidi na Ufisadi.

    Hakuna jipya chini ya jua. Huu ni msemo maarufu sana unaomaanisha hakuna kitu kinachofanyika leo duniani kwenye maisha ya kawaida ya binadamu ambacho ni kipya. Miaka ya 1990- 1997 nchini Nigeria alitokea Dikteta maarufu sana Duniani aliyejulikana kama Generali Sani Abacha. Kiongozi huyu wa...
  8. A

    KERO Kariakoo ni kitovu cha nchi ya Tanzania kibiashara lakini uhuni ni mwingi bado

    Wamekuwa wakitusaidia kupata vitu kwa bei nafuu lakini pia wamekuja na ubunifu mwingine wa usafirishaji kwa njia inayoitwa CARGO ni nzuri na ya haraka.. Pia wanajitahidi kiuaminifu kwa asilimia kubwa sasa, hela inakuwa ktk eneo salama Ila dosari ipo kwenye utumaji wa mzigo hasa watu wa mikoani...
  9. O

    Maumivu ya kitovu kwa mtoto wa kike

    Hello Doctors na wanajamii forum wote kwa jumla. Nna mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 6 kasoro anasumbuliwa na maumivu ya kitovu kwa muda wa mwaka mmoja sasa! Nimeshakwenda hosp mara kwa mara tatizo halionekani! Kwa mara nyingine nmeenda tena kuoanana na specialist wa watoto..akafanyiwa...
  10. K

    Kariakoo ivunje na ijengwe upya ili pawe 'Guangzhou' ya Tanzania na Afrika. Kitovu Cha biashara, uchumi na uwekezaji.

    Moja ya maombi ninayoomba kila Leo kwa Mungu ni kuipa nguvu kamati Mhe. Rais aliyomwagiza waziri Mkuu kuundwa ili kuchuguza uimara na ubora wa majengo ya kariakoo na Mhe.Rais aligusia kwamba hawatasita kubomoa majengo yote kariakoo kama kamati ikishauri hivyo. Ombi hili kwa Mungu linatokana na...
  11. kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa

    kitovu cha mtoto kimeharibu ndoa Kaka angu magical power, nimeamua kuikimbia ndoa ili nimuokoe mwanangu naona walikuwa na nia mbaya juu ya mtoto. Kaka hata kujifungua tu kidogo nifie hospital nikasaidiwa na mkunga kwa uzoefu wake aliywesha dawa fulani ya kienyeji kwaa uzoefu wake alisema...
  12. Arusha Mbioni Kufanywa kuwa Kitovu cha Utalii wa matibabu Ukanda wa Afrika Mashariki

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Afya nchini Tanzania Mhe. Jenista Mhagama, wamekubaliana kukutana Dodoma Makao Makuu ya Wizara hiyo, kufanya mazungumzo ya pamoja ya kupanga utekelezaji wa ndoto na Maono ya Mhe. Makonda ya kuufanya Mkoa wa Arusha kuwa Kitovu cha...
  13. E

    Penzi kitovu cha Uzembe , poleni wanayanga

    Penzi limeshusha kiwango cha Azizi ki Penzi limemuondosha Gamondi Penzi kitovu cha uzembe
  14. MAKINIKIA: Hekaya fupi ya kaburi la wanapendanao lililopo katika jiji kongwe la Tanga ambalo linasemwa kuwa ndiyo kitovu cha mapenzi

    #MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA KABURI LA WAPENDANAO LILILOPO KATIKA JIJI KONGWE LA TANGA AMBALO LINASEMWA KUWA NDIO KITOVU CHA MAPENZI Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya...
  15. Ngoswe: Penzi kitovu cha uzembe..

    Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia? Je inaweza kuwa vyote vitatu? Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi ya watu maarufu kama sensa, miaka hiyo ya sabini na ushee... Ngoswe akazama penzini na mmojawapo wa...
  16. Kwanini Waislamu wengi wanaonekana mafukara kuliko Wakristo?

    binafsi nimefanya tafiti katika makanisa na misikiti, haswa katika utoaji sadaka unakuta ukienda makanisani wakati wa sadaka,wanakuwa na bonge la kapu hilo kapu hela zitakozajaa mule haujahesabu unasema pale si chini ya milion 1, njoo huku kwa waislamu unakuta sheikh anachangisha sadaka kwenye...
  17. L

    Vyama vya siasa ni kitovu cha wala rushwa ?

    Kwa nini viongozi wengi wa siasa lazima wawe ndio namba moja katika kula rushwa uku katiba ikiwakingia vifua tofauti kosa hilo likifanywa na mtu mwingine?
  18. M

    SoC04 Tanzania kuwa kitovu cha biashara Afrika ndani ya miaka 25 kwa lengo la kukuza uchumi

    TANZANIA KUA KITOVU CHA BIASHARA AFRIKA NDANI YA MIAKA 25 KWA LENGO LA KUKUZA UCHUMI. UTANGULIZI Tanzania ni nchi ambayo imepakana na Bahari ya Hindi upande wa mashariki mwa Afrika na kuzungukwa na Nchi nyingine nyingi upande wa Kaskazini, Magharibi na Kusini ambazo kwa miaka mingi zimekua...
  19. Godbless Lemma, umeletewa kete ya kisiasa Arusha, cheza draft mpaka na huko afukuzwe, maana amekaribia mahali kitovu cha Ben Saanane kilizikwa

    Nina imani kwamba Makonda kupelekwa Arusha kuwa RC ni kuwachachusha wana Arusha kisiasa, damu zao zinapanda kwa mori. Kwako Godbless, macho ya Tanzania kwa sasa yako Arusha ili ku-engineer one of the biggest mission ya kisiasa, kumuangusha huyu kada wa kuteka na mauaji. Yaani amesogea karibu na...
  20. Kitovu changu ni cheupe. Je, kuna shida yoyote?

    Wakuu, Kitovu changu kina weupe unaosababishwa na vitu kama unga unga, japo hakuna maumivu yoyote lakini ningependa kufahamu hasa hili linasababishwa na nini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…