Baba yake kuwa madarakani muda mrefu na kumuweka jeshini na vyeo kwa umri aliopo na cheo chake ni kama anaishi kwa baba yake nawaza hilo.
Kejeli anazotoa kwenye mtandao X ,kudhihaki, kuleta taharuki ndani na nje ya nchi yake.
Sidhani kama mtu Rizi one angekuwa anafanya mada za ajabu akijua ana...
GTs,
Yule kijana mtumishi wa Mungu wa Arusha aliyeoneshwa na Mungu Samia atakuwa ana fanya mambo ya kitoto ndiyo haya tunayaona. Yaani wenye akili wamekaa kusikiliza pumba na ujinga ujinga. Can you imagine First Class ya Economic inasema eti walihongwa hela na inasadiki.
Kwa ujumla katiba yetu...
Hiyo ni propaganda sio rahisi ivyo Majeshi ya Uganda yaje Tanzania kwasababu ya Uchaguzi kwa tishio gani mpaka wachukue jeshi la Uganda kwa Watanzania hawa hawa tusibebe kila propaganda.
I salute you kinsmen.
Yaani Tanzania hii kuna team kutwa kutuaibisha tu,
Wao mambo meusi yamejaa tele klabuni kwao nje ndani.
Wao walijifanya eti wamempa ruhusa kocha alete wachezaji anaowataka.
Hawajui kwa Africa hilo ni jambo impossible kabisa ila wakajifanya wapo Hispania la liga kumbe...
I salute you kinsmen
Kiukweli sisi mashabiki wa Simba tunaumia sana na team yetu.
Licha ya fadlu kutukimbia bado tunazidi kuumia na performance yetu mbovu kwa hawa matapeli wawili Morocco na mwenzie matola.
Kiufupi kadri upepo unavyovuma ndio nyeti za ndege zinaonekana haina haja ya kuficha...
Nlikutana nae Mlimani City nikawa na ukaribu nae pale fish fish.
Nikazunguka zunguka nae ndani. Nikampa na lunch ya ukweli nikamruhusu aende.
Kesho yake tu aliniletea Mbunye. Anasoma Law na ni chotara flani kama Kisomali. Basi bwana. Imefika Graduation akanitumia mahitaji yake ya Graduation...
Wakuu
Leo taja Tu jina la chama cha siasa ambacho kiko popote duniani kinachoongoza nchi kwa akili za kitoto wakati kinaowaongoza wanaufahamu mkubwa kwa mambo kuliko kawaida,
Taja Tu chama wala usitukane , taja chama na nchi kinayopatikana
Yaani ni aibu kubwa kwa viongozi wa timu ya azzam fc kwa jinsi walivyozindua kits za timu yao kwa mwaka 2025-26,aibu tupu na dhahiri mentality yao ni ya kitoto kabisa.programu nzima ya uzinduzi imefanywa kiholela,hapakuwa na programu iliyoandaliwa vizuri,hapakakuwa na mc mzoefu na wala hapakuwa...
Dunia hii inaenda wapi?
Leo katika harakati zangu za kujitafuta nikaenda mahali fulani. Mara nikakutana na katoto kadogo kanasoma darasa la sita, kakaniambia " Uncle samahani, dada amesema nikupe hiki kikaratasi".
Ile kufungua nikapigwa na butwaa baada ya kukutana na maneno haya" Kaka X...
MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA
Na Nulphin Charles Heche
Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu. Wapi bana!?
Eti kuna malaika wa kulinda, mwingine wa kukatakata watu wakifa, mwingine kazi yake ni...
Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto
Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile?
Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi?
Hakuna hata kirabsha kidogo ?
Ma Mc's katika sherehe mbali mbali za wafanyakazi za meimosi....Hivi kwa nini hamuwezi maliza kutusherehesha bila kuita tupite mbele tucheze kwaito?
Tena muda mwingine mnatutoa mbele ya watoto zetu na familia zetu.
Acheni huu utoto. Acheni huu ujinga mara moja.
Nipo hapa nje ya guest nimesimama kwakujifucha, mke wa jamaa angu aliingia ndani humu mda mrefu Sana . Saiv ndo anatoka Ila sijui nifanyaje.
Ipo hivi ... Toka zamani Sana Me nilikua nimesha amua kuokoka, Yan in short niliamua kua sintokua mtu wa toto's siku zote tukiwa tunakua... Ila jamaa...
Nilitegemea baada ya uchaguzi makundi yatakufa rasmi na ujenzi wa chama utaendelea !matokeo kumbe mlienda kugombea si kwa ajili kuongoza Bali kulipa kisasi kwa waliotangulia !!
Niwafundishe jambo Tl na mdogo wangu heche !! Maiti haisemwi kwa mabaya' viongozi waliotangulia wangekuwa wabaya...
LIGI KUU YA KUWANIA AJIRA ZA TRA
Academic officer II= 3/2375 - Atapita moja kwenye kundi la watu 791
Accountant = 2/712 - Atapita moja kwenye kundi la watu 356
Accounts officer II = 12/2894 - Atapita moja kwenye kundi la watu 241
Administrative officer II = 3/2045 - Atapita moja kwenye kundi...
Ramadhan Kareem, Kwaresma Njema.
Jana Chuo Kikuu cha Makerere Nchini Uganda kimeturudisha nyuma kidogo enzi za siaaa za Hoja na Zenye Tija.
Kimeturudisha kwenye zile siasa za Critical Thinking ambazo Magwiji wa Africa Mashariki na Afrika yote ilizitumia kulete Ukombozi, siasa za kina Nelson...
Jina : Zuu( sio jina lake halisi)
Age : Miaka 18
Mwaka wa kuzaliwa : 2006.
Elimu: Form 4 failure mwaka 2023.
Mahali kinapoishi: Ilala Rural ( Uswazi zinapo trend ngoma za singeli. Kila nyumba muziki ni " Sicheki na wowote...")
Nakifahamu tangu mwaka jana nilikuwa nakutana nacho uswazi mara...
Kuna raha ya kuwa na mwanamke Ana akili za kitoto kidogo ndani pachangamke, awe mshamba kiasi sio unakuta una mwanamke ana AKILI nyingi mpka unatumia nguvu nyingi kumdanganya.
Unakuta mwanamke anafatilia Uchaguzi wa Marekani kwa umakini, Channel zake ni ITV na BBC Tu. Anajua taarifa za vita ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.