kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je Hadi Sasa Mungu hajamtumia mtumishi wake yeyote kuongea na Rais au anakubaliana na Ushwari wa kitaifa?

    Rais ni mtumishi wa Mungu anayetumika katika kitengo cha kutawala watu kiserikali. Kwa mujibu wa ISAYA 49, watumishi wa Mungu wa KIROHO ni walezi wa wafalme na mamalikia na marais. Kama Kuna chochote kisichofaa, ili kuepusha MADHARA ya baadae atatumwa mtumishi hata kutoka nje ya nchi ili kumpa...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  3. JamiiForums Tanzania Kuna chama kimeahidiwa serikali ya umoja wa kitaifa hapo oktoba 2025 na mgombea wao wa urais wiki ijayo atahamia chama hicho

    Baada ya maji kuzidi kulowana. Kuna chama kimeahidiwa kupewa mawaziri kadhaa na kuundwa Kwa serikali ya UMOJA WA KITAIFA Ili kuonyesha demokrasia ipo na kuizika Rasmi CHADEMA. Baada ya leo mtoto wake kuhamia Chama hicho next week kama SIO Tarehe 10 ya wiki Hii kutakuwa na kung'atuka Kwa mgombea...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania wanahamishwa kizembe sana kutoka kwenye mambo na mijadala ya msingi ya Kitaifa

    Watanzania, tusiwe watu wa kushangilia kila kelele inayopigwa mbele yetu. Si kila anayepaza sauti anapigania mabadiliko. Wengine wanapiga kelele ili kuua kelele nyingine. Wengine ni kama mabuzi wa porini wanaolia ili simba asisikike. Mbinu ya Kumtumia Polepole ni njia ya kuua mjadala ya kitaifa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia kataa hizi aibu, Ripoti ya Uchunguzi: Hitilafu na Utofauti Kati ya Matokeo ya Wilaya/Mikoa na Tangazo la Kitaifa la CCM, Mkutano wa Mtandaoni

    “Ogopa Mungu na teknolojia,” na tena: “Siku ya kufa nyani, miti yote huteleza.” Katika mazingira ambayo upatikanaji wa intaneti si wa uhakika—hata simu za kawaida hupata shida ya mtandao.lengo liliikiwa kunyima haki ya mawazo mbadala na kuendeleza hofu ya watawala. Matokeo yake yamekuwa aibu...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka muda huu REFORMS kabla ya UCHAGUZI/ELECTION zina hitajika kuanzia ndani ya vyama vya siasa mpaka kitaifa

    WAKUUU nimeona kuahirishwa kwa kikao cha masisiemu leo. Kiukweli nimefurahia sana sana sio kwa kidogo bali kwa wingi sana. Kama ndani ya chama chao wameanza kumkataa live live basi wale wazee wa NO REFORMS NO ELECTION zidisheni mashambulizi kila kona kila idara kwa kila mtanzania wa bara na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna haja gani kuwepo kikundi kinachoitwa kikundi cha hamasa kwenye matukio ya Kitaifa kama uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo?

    Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo. 1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu. 2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
  8. JamiiForums Tanzania Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa

    Naomba kupata summary ya ufaulu form six 2025 kitaifa, I mean idadi za one za tatu, nne, Tano n.k, two, three n.k. Plzzzzz
  9. JamiiForums Tanzania Eng. Hersi Said ni Tumaini Jipya la Kuinua Mpira Wetu Kitaifa

    Katika tasnia ya michezo nchini Tanzania, jina la Eng. Hersi Said limeendelea kung’ara kama mfano wa uongozi bora, ubunifu, na maendeleo ya kweli. Kupitia nafasi yake kama Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa African Club Association (ACA), Eng. Hersi ameonesha dira ya kisasa ya kusimamia...
  10. C

    JamiiForums Tanzania Mpina umeuponza, subiri UTEUZI wa kitaifa

    Kijana umekosa adabu mbele ya viongozi wako. Kabidhi jimbo kwa mwingine kusubiria uteuzi. Asante
  11. JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa Tarehe 10 - 16 Juni, 2025

    Kauli Mbiu: “Famasia, Kiini cha Afya kwa Wote: Ubunifu, Uwekezaji, na Afya Jumuishi kwa Wote Chini ya Uongozi wa Mabadiliko”
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hatujachelewa, tukaeni tupate muafaka wa kitaifa

    Ndugu zangu watanzania. Nipende tu kuwakumbusha kwamba hali ya kisiasa kwa sasa sio nzuri. Kwa wanasiasa watafikiri ni kwa sababu ya uchaguzi, lakini ukiangalia kwa jicho la tatu uchaguzi sio hoja sana. Kuna haja ya kukaa kama Taifa na kuiangalia vizuri katiba yetu na kuirekebisha kwa sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming

    Tanzania iko mbioni kutunga sheria na kuweka muongozo wa kutekeleza mfumo wa kitaifa wa mtandao wa simu, ujulikanao kama National Roaming. Kupitia mfumo huu mpya, mtumiaji wa simu ataweza kuunganishwa na mtandao wowote uliopo karibu; bila kujali kampuni ya simu ambayo amesajili laini yake. 📶...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kukimbiza mwenge wa uhuru kitaifa

    Nimewahi kuona matangazo ya nafasi za wakimbiza mwende wa uhuru kwenye halmashauri na mikoa, lakini sijawahi kuona wakitangaza nafasi hizo kitaifa. Hawa watu huwa wanapatikanaje?
  15. JamiiForums Tanzania Bajeti ya mwaka huu ni ya Wizi na ya kinafiki. Hizi Trilioni 49.35 zinaenda kufanyia nini?

    Bajeti ya mwaka wa fedha 2025/2026 inatuonesha dhahiri kuwa tulipigwa na kutapeliwa — jamani ebu imagine! Serikali imetangaza bajeti ya TSh trilioni 49.35, tena kwa mbwembwe zilezile za kila mwaka, kana kwamba Watanzania wote ni mabubu na vipofu wa kifikra. Hii siyo bajeti, huu ni mkakati wa...
  16. JamiiForums Tanzania Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji awasili nchini kwa ziara ya kitaifa

    RAIS WA MSUMBIJI AWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KITAIFA Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Chapo, amewasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku tatu kuanzia tarehe 7 hadi 9 Mei, 2025 kufuatia mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kongamano la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania 2025

    Kongamano kubwa la Kitaifa la TLS kuhusu uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2025. https://www.youtube.com/live/OsDzcv1mgK0 Jaji Warioba - 2015 Kuna sababu Nyingi zilizofanya wagombea wakaenguliwa lakini zile hazikuwa na Misingi iliyoko kwenye sheria za Uchaguzi wala Katiba ya Nchi na ilileta...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…