kitaifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuna kosa kuzigawa habari za michezo Kitaifa, Afrika na Kimataifa

    Katika vipindi vya michezo kwenye baadhi ya vyombo vya habari, wamezigawanya habari hizo katika kundi la kitaifa, Afrika na kimataifa. Kwenye za kitaifa mara nyingi huwa wapo sahihi lakini linapokuja suala la habari za Afrika tayari ni za kimataifa sababu zinagusa mataifa tofauti afadhali za...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya taa yafanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa

    Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Biden aitamka Iran badala ya Ukraine kwenye hotuba muhimu ya hali ya kitaifa (sotu)

    State of the union ni hotuba yenye uzito mkubw ambayo hutolewa na raisi wa marekani mara moja kwa mwaka kuhusu ya hali ya kitaifa. Jana yalitokea mambo ya kushangaza kwenye hii hotuba, Joe Biden ana ugonjwa wa akili wa "Dimentia" anaouficha ila huwa unamuumbua mara kwa mara hadharani, hapo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana ka

    Februari 13, Maonesho ya Taa ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi yamefanyika katika Uwanja wa Michezo wa Kitaifa mjini Beijing, unaojulikana kama The Bird's Nest, ambayo yaling’ara sana.
  5. JamiiForums Tanzania Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania

    Miaka 45 ya CCM ni tumaini na imani ya umoja wa kitaifa kwa Watanzania Deogratias Mutungi Hii ni tafakuri fupi inayomulika kipindi cha miaka 45 ya Chama cha mapinduzi CCM katika uongozi wa kisiasa ndani ya taifa letu katika nadharia ya siasa, itikadi sambamba na kusimamia na kuenzi falsafa ya...
  6. JamiiForums Tanzania Issa Shivji: Ufutaji wa Uchifu Kisheria, ulitusaidia sana kujenga umoja wa kitaifa

    Kwani uchifu ni utamaduni wetu? Makabila mengi hawakuwa na wachifu. Waliwekwa na wakoloni kwa maslahi yao (km Wazanaki). Uchifu ulipigwa marufuku na sheria mnamo 1962. Machifu waliyokuwepo (km Adam Sapi, Fundikira, Kunambi nk) waliingizwa Serikalini katika nyadhifa mbalimbali. Ufutaji wa...
  7. JamiiForums Tanzania Uongo wa Serikali juu ya Miradi ya kitaifa Nani ashugulikiwe

    Machi 26 mtendaji mkuu tanload alisema Daraja la Wami litakamilika Sept 2021. Kwa mujibu wa Mwananchi, Leo Serikali inakuja na Lugha nyingine. Kwanini tunafanywa watoto Miaka miwili nyuma tuliambiwa kipande Cha reli dar to Moro kuzinduliwa Novemba 2019. Leo 2022. Miaka 3 baadae hakuna kitu Kama...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini hakuna mkesha wa Kitaifa wa Christmas mwaka huu?

    Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa? Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali kimya kimya?
  9. JamiiForums Tanzania Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi

    Zoom Saturday Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni. Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
  10. JamiiForums Tanzania CHADEMA walishamua kuwa hawataki umoja na mshikamano wa kitaifa, hakuna haja ya kuwalazimisha.

    Waliahaonyesha wazi kuwa wao wana ubabe na hawataki kubembeleza mtu. Wana imani kuwa wana nguvu ya umma itawapa backup na walishaonyesha mapema. Wanataka tume huru na katiba mpya kwa ngivu kupitia nguvu ya umma. Hata wakikaribishwa ili kujumuika na wanasiasa wenzao ili kuonyesha mshikamano...
  11. JamiiForums Tanzania Kuelekea 2030 Katiba iwe ni mjadala wa kitaifa

    KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA. Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili leo niliseme hadharani ili kumuunga Mhe Rais kuendelea kulijenga Taifa. Ninatambua Makada wengi...
  12. JamiiForums Tanzania Wapinzani tambueni umoja wa kitaifa sio kuruhusu wapinzani kufanya makosa ya jinai na kutowachukulia hatua za kisheria

    Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
  13. JamiiForums Tanzania Arusha: Wakuu wa Shule ambao Shule zao zimefanya vibaya kitaifa wapewa vinyago vya sokwe

    Kama kuna kada inajua kudharauliwa basi ni ualimu. Wakuu wa Shule katika halmashauri ya Arusha Dc wamepewa vinyago vya nyani ili kuongeza kiwango cha ufaulu baada ya shule zao kufanya vibaya katika mitihani ya kitaifa ya kidato cha 2, cha 4 na cha 6 mwaka jana. Hii imekaaje kitaalamu?
  14. T

    JamiiForums Tanzania Umoja wa kitaifa ukoje katika hili huko Zanzibar

    Rais, M/wa kwanza wa Rais M/wa pili wa Rais. Ikitokea Rais kaitwa kuwatumikia malaika nani anapanda kuwa Rais? 1. Kama atapanda No 2 kuwa Rais na No 3 kuwa M/wa kwanza wa Rais.Ni yupi mwenye mamlaka ya kumteua M/wa pili wa Rais. 2. Shughuli za baraza la wawakilishi ni yupi atahusika. 3. Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Wanafunzi 10 bora kitaifa matokeo darasa la saba 2021

    Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com ya China yenye watumiaji milioni 700

    Ubalozi wa Tanzania nchini China umetia saini makubaliano na kampuni ya JD.com ya China, ambapo Tanzania itaanzisha duka la kitaifa kwenye tovuti ya JD.com, na kuuza bidhaa zake bora kwa wateja wa China. Hii ni hatua nyingine ya China kuzisaidia nchi za Afrika kuongeza mauzo ya bidhaa zao nchini...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania haina uzoefu wa kuwa nchi ndiyo maana mambo mengi hayana 'consistence ya kitaifa'

    Kumradhi kwa kila mtu naomba nisionekane nimetukana ila huu ni mtazamo wangu tu. Kila kitu ni uzoefu. I mean kila kitu ili kifanyike kwa usahihi mkubwa panahitajika uzoefu. Hii ni law of nature in doing things. Watu wengi hulalamika kuhusu mwenendo wa Tanzania kisiasa, kielimu, nk. Watu...
  18. JamiiForums Tanzania TOT ni mali ya CCM haipashwi kutumika kwenye hafla za kitaifa. Huku ni kutumia vibaya rasmali za Watanzania

    Nipo nyumbani kwenye luninga nafuatilia sherehe za kuzima mwenge huko Chato. Jambo la ajabu ni kuona bendi ya TOT ambayo ni mali ya CCM ikitumika ili hali ni sherehe ya kitaifa. Kutumia kodi zetu kuwalipa Tot ili hali ni mali ya CCM ni kukosa busara za kisiasa. Abadani haya mambo yanatakiwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Jesca Kishoa: Viatu vya Magufuli vinamtosha Rais Samia

    Ms. Jesca Kishoa, Mbunge Kwa mujibu wa IMF takribani fedha zaidi $1 trillion zilitengwa mahususi kama mpango wa dharula wa kuwezesha kifedha zaidi ya nchi 90 zilizoathirika na UVIKO-19. Mpaka sepemba 2021, IMF kupitia Rapid Credit Facility (RCF) na Rapid Financing Instrument (RFI) imeidhinisha...
  20. JamiiForums Tanzania Hizi chanjo za Corona zinaenda kuondoa herd immunity tuliyoipata nchini

    Ninachosikitika ni kuwa hizi chanjo ambazo baadhi ya watu watazipa nchi zitaenda kuua herd immunity ambayo watanzania wengi kama sio wote nchini tulikuwa tumeipata kwa muda wa takribani miaka miwili. Kwa wasiojua, herd immunity kwa lugha ya kawaida huitwa Kinga Kundi, hii ni aina ya kinga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…