kiswahili

  1. P

    Salamu kutoka Marekani: Kama umesoma Kiswahili, komaa kutafuta fursa nje

    Mambo mengi tunayosoma huku tunaona hayana ajira kwa sababu ya soko la ndani lilivyo bovu. Fikiria mtu amesoma kiswahili na anakomaa kubaki Tanzania, utamfundisha nani na wote wanajua Kiswahili tena wengine wanakuzidi kabisa. Chukulia mfano yule dogo wa UDOM alivyokuwa anaongea kiswahili kizuri...
  2. Kwa Kiswahili fasaha ule Ute Ute mweupe na usionuka unaopatikana Ukeni wakati wa Tendo la Ndoa / Uzinifu unaitwaje?

    Nijibuni haraka upesi tafadhali kwani kuna Mwanafunzi wa Lugha ya Kiswahili Mgeni anataka kujua na Mimi wala sijui.
  3. Kiswahili: Tunu ya Taifa Letu na nijukumu letu la Kuienzi tunu hii.

    Utunzi huu (wa M. Mpoto) ni kielelezo cha ubora na uzuri wa lugha yetu ya Kiswahili. Kila neno na kifungu ndani yake kinaakisi utajiri wa tamaduni na maadili ambayo tumerithi. Ni jukumu letu kama jamii kuhakikisha tunalitunza na kulienzi hili tunu. Kiswahili ni zaidi ya lugha; ni kiungo muhimu...
  4. Hivi kuna Watanzania wasiojua Kiswahili?

    Nilifika mpakani mwa Tanzania na Rwanda - Rusumo, Jana Usiku! Baada ya kuzunguka kidogo kwa ajili ya kutafuta pa kulala, niliamua kumwuliza mtu mmoja anioneshe gesti iliyopo karibu. Aliniponipeleka alikopaita gesti, japo nilimshukuru lakini sikukubali kulala hapo! Kwa nini? 1. Tulikutana na...
  5. Pongezi zangu nyingi sana kwa Watanzania ambao wanawafundisha Lugha ya Kiswahili hawa Wachezaji wa Kigeni hapa Tanzania

    Nimemuona Chama akikizungumza vizuri kweli kweli, pia nimemuona na Aucho nae akikizungumza vyema tu ila Kubwa kuliko Mtu ambaye sikutegemea kutokana na kuwa na mambo mengi Bernard Morisson nae akikizungumza vizuri tu. Hawa ni wachache sana ila najua wapo Wachezaji wengi wa Kigeni ambao kwa sasa...
  6. Kiswahili kinatufichia sana ujinga na ujima wetu wabongo kwa watu wa nje, sio kwa mada petty kama hizi mitandaoni!

    Nimeona mjadala mrefu huko mtandaoni wanawake kwa wanaume watu wazima kabisa wako busy wanabishana na kusutana kama inapaswa kuaga au kuomba ruhusa waume/wapenzi wao wanapotoka nyumbani! Kuna mambo mengine ni mijadala ya kitoto au ki- teenager sana kama ile ya "education is better than money"...
  7. Wakenya wanajitangaza wao ndio wenye Lugha ya kiswahili ila kuongea kwa ni shida ila ndio wanatambulika kuwa ndio lugha inatoka kwao

    Leo nimepata mgeni toka nchi ya urusi kaja kupumzika.ila alicho niambia watu wengi huko wanajua lugha kiswahili inatoka kenya. ili jambao bado nauliza sana kwa nini si watanzania tumelala sana.kesho kutwa Falme za kiarabu zitakuwa na mbuga kubwa ikitambulika asili yake ikitoka tanzania. watu...
  8. Nahitaji mtu wa kufanya naye ubia, anayejua kupika vyakula mbalimbali vya kiswahili

    Nimetengeneza Mgahawa, napenda kufanya Biashara ya vyakula, nahitaji mtu mwenye ujuzi wa kupika, nawekeza mtaji, kazi yake ni kuleta ujuzi wake, tunagawana faida. Awe mvumilivu, Biashara inaanza wateja watapatikana Kwa misingi ya ubora wa huduma zetu na utafutaji wa masoko. Vijana wanalalamikia...
  9. Kubananga: lugha ya Kiswahili, lawama ziende BAKITA

    Ukweli ni kwamba kumekuwa na uharibifu mkubwa sana wa lugha ya kiswahili miaka ya karibuni. Tatizo hili lipo haswa kwa kizazi hiki kinachoitwa cha 2000 aka Gen Z. Imefika wakati hadi hawa vijana/watoto wanapoandika jambo au kuongea na wakafanya hivyo kwa usahihi ndio unashangaa. Sio unashangaa...
  10. Iwekwe siku ya kumbukumbu na kuenzi mchango wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya Kiswahili

    Katika kumbukumbu za siku ya kiswahili, sijawahi kusikia wakitajwa wasanii wa Muziki wa Dansi katika kukuza lugha ya kiswahili hasa wakati ule ambapo jamii nyingi zilikuwa Bado hazijafunguka na wengi walisthiriwa na vilugha vyao. Lakini wanamuziki wa enzi hizo kwa majitoleo na uzalendo mkubwa...
  11. Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili

    Diamond Platnumz ni Msanii mkubwa duniani, BASATA pamoja TASUBA kuna haja ya kumpongeza kwa jitihada zake za kukuza lugha ya Kiswahili Diamond ni kijana wa Tanzania mwenye kiu ya kufikisha mbali Muziki wa Tanzania kuna ulazima wa kila mtanzania kuunga mkono jitihada zake za kukuza muziki wa...
  12. Wanajeshi mlioko hapa JamiiForums tafadhali naomba neno sahihi la Kiswahili la 'Quarter Guard' nitawashukuruni sana

    Na nitaomba pia kama kuna Mwanajeshi yoyote yule hapa JamiiForums mwenye Kamusi Maalum ya maneno ya Kijeshi ya Kiswahili kwenda Kiingereza au Kiingereza kwenda Kiswahili aniwekee hapa au aniambie naweza kuipata wapia. Asanteni Maafande.
  13. Kiswahili

    Je Kiswahili ni Lugha yako ya Kwanza?
  14. Update: Naomba Neno Moja tu la Kingereza Ambalo Halina Tafsiri Rasmi ya Kiswahili.

    Kama kichwa cha Habari kinavyosema, zaidi ya wiki sasa imepita toka nilete hii changamoto iliyopo katika lugha yetu ya Kiswahili. https://www.jamiiforums.com/threads/naomba-neno-moja-tu-la-kingereza-ambalo-halina-tafsiri-rasmi-ya-kiswahili.2228322/page-9#post-50651130 Nashukuru kwa wale wote...
  15. Kwa Nini Tanzania Inapaswa Kubadilisha Jina Lake Kuwa la Kiswahili?

    Jina la nchi lina umuhimu mkubwa wa kitamaduni, kihistoria, na kitaifa. Linahudumia kama ishara ya utambulisho, umoja, na fahari kwa wananchi wake. Mfano wa orodha ya baadhi ya nchi na lugha zao:- zinazohusiana: Ufaransa - Kifaransa Ujerumani - Kijerumani Hispania - Kihispania Italia -...
  16. Baraza la Sanaa limfungie Bambo kazi zake. Anaharibu sana Kiswahili kwa makusudi

    Dickson Samson Makwaya (Bambo) Baraza la sanaa linashindwa vipi kumuita na kumuonya Bambo aache kuharibu lugha ya kiswahili kwa makusudi. Huyu kijana nje ya kuharibu lugha yetu ya kiswahili sidhani kama ana kitu anachochekesha. Ifike mahali sasa aonywe ikiwezekana afungiwe kabisa ,nakumbuka...
  17. B

    Sitosahau mtihani wa kiswahili wa form 4 necta csee 2009

    Hello guys, Ule mtihani ulikuwa umesukwa, walioongoza kitaifa wenyewe walikuwa na B kwenye huo mtihani wa kiswahili. Hivi kwenye ule mtihani, nchi nzima kuna mtu alipata A kweli😁, nahisi alietunga ule mtihani ni mzaramo pure. Na form 4 yangu nilikutana na misamiati ambayo sikuwahi iona tangu...
  18. Je, unaweza kuzungumza lugha ya kabila la mzazi/wazazi wako?

    Yaani hata kile cha kuombea maji au kusalimiana au kujitambulisha tu kwa walugha wenzio. Haya ni matokeo ya fikra na falsafa chanya ya Baba wa Taifa Mwl. Julius K. Nyerere katika kupiga vita na kutokomeza mipaka na ubaguzi wa kikabila nchini. Kwa mafanikio na matokeo haya, nadhani nia yake hii...
  19. L

    China yaungana na Waswahili kukikuza Kiswahili kwa kukitumia hadi kwenye tamthilia zake

    Kwa zaidi ya miongo miwili, sera ya China kwa Afrika ilijikita zaidi katika maendeleo na miundombinu. Lakini sasa imepanua mawanda yake na kuingia ndani zaidi hadi kwenye utamaduni na lugha, ikitumia njia ya kukikuza na kukieneza Kiswahili ili kujenga ukaribu zaidi na wenzao wa nchi za Afrika...
  20. Tangazo la Tasker lager la Kiswahili

    Hivi unakumbuka tangazo la TUsker klager, aliimba TID, linaongelea kuhusu "Twende Pamoja ni wakati wetu" Ni kama hili, ingawa hili ni la Kenye wamefanya kwa Kiingereza. https://www.youtube.com/watch?v=gJl_q_Twt34 Kama mtu anajua pa kulipata em tusaidie kuweka link. Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…