kisukari

  1. JamiiForums Tanzania Kati ya UKIMWI na Kisukari upi ugonjwa mbaya zaidi?

    Upi ugonjwa mbaya zaidi kati ya magonjwa haya mawili yanayochangiwa na mtindo wa maisha zaidi? UKIMWI au Kisukari
  2. M

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, dawa za asili zinazotangazwa mitandaoni zinaweza kuponya kisukari kabisa?

    Mitandaoni kuna madai ya baadhi ya wauzaji wa dawa za asili kwamba bidhaa zao zinaweza kuti bu na kuponya kisukari kabisa, hata ndani ya muda mfupi. Kwa mfano, baadhi ya matangazo yanadai kuwa dawa fulani ya asili inaweza kumaliza kisukari ndani ya siku 90. Je, madai haya yana ushahidi wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania NIPIKE NINI LEO ni kitabu bora cha mapishi kutusaidia tunaopata stress na kuwaza cha kupika kila siku, pia kinawafaa wagonjwa wa kisukari, presha,etc

    1. Kitabu hiki ni kizuri kumsaidia mama wa familia kujua cha kupika bila kuumiza kichwa kwa mawazo. Mfano kama ana wageni wa ghafla kinamsaidia kuona cha kupika haraka. Kama anauguza mgonjwa pia wa magonjwa yanayotokana na lishe kama kisukari ama presha kitabu hiki kinamsaidia kujua cha...
  4. JamiiForums Tanzania Unapopatwa na hasira ukafoka imeonekana kama kisukari kinapanda

    Habari za Saba Saba. Jamani wale wataalaam wa afya kuna uhusiano wa kupandisha hasira na sukari mwilini mwa binadamu?
  5. JamiiForums Tanzania The 'Healthy' Foods quietly destroying your body

    EVIDENCE REPORT: THE "HEALTHY" FOODS QUIETLY DESTROYING YOUR BODY Source Video: The Diary Of A CEO — "The Sugar Doctor's WARNING: The 'Healthy' Foods Quietly Destroying Your Body! - Dr David Unwin" https://www.youtube.com/watch?v=zc8Nh4TMB1s 1. EXECUTIVE SUMMARY In this interview, Dr. David...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Mchanganyiko wa Aloe Vera na Mayai unaweza kusaidia kutibu Kisukari

  7. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye dawa ya Kisukari ambaye yupo tayari kutuma sampo Ujerumani tuwasiliane

    Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Miaka 30+ hupoteza nguvu za kiume kwa ugonjwa wa kisukari

    Kisukari na Nguvu za Kiume Ugonjwa wa kisukari ndio sababu kubwa ya kupungua au kupotea kabisa kwa nguvu za kiume. Tafiti zinaonesha kuwa kati ya asilimia 35–75 ya wagonjwa wa kisukari, hupitia changamoto hii. Wanaume wenye kisukari huanza kupata tatizo hili miaka 10–15 mapema zaidi...
  9. JamiiForums Tanzania Ndo maana wanaume tunakufa haraka imagine Kuna mtu alikuwa haamini Kama uchaguzi upo haamini October tunatiki ndugu yangu unajipa kisukari bure

    Wanaume huwa tuna ubishi wa kitoto sana, huku tunajua kuwa kila kiongoz anaapa kuilinda Katiba ya JMT lakini bado Kuna mwanaume anajidanganya moyoni mwake eti oooh hakuna uchaguzi, oooh form haitachukuliwa Kama ulikuwa na fikra Kama hizi ujue ww ni mgonjwa tayari. Haya Taifa lipo na slogan ya...
  10. JamiiForums Tanzania Ongezeko holela la vinywaji vikali na baridi,huenda ndio chanzo cha ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani. Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila...
  11. JamiiForums Tanzania Mpango rahisi wa lishe ya kila siku kwa mgonjwa wa Kisukari

    Huu ni mpango bora na rahisi wa lishe kwa mgonjwa wa Kisukari( Type 2) ili kusaidia kudhibiti kiwango Cha sukari kwenye damu. ASUBUHI (SAA 12- 1) Uji wa dona au ulezi (usitie sukari, tumia maziwa kidogo ya mgando). Mayai 1-2 ya kuchemsha au maharage kiasi. Parachichi au kipande kidogo cha...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada wa tabibu bingwa wa Vidonda vya Kisukari

    Habari ya uzima wakuu ! Naomba msaada wa haraka, kwa ajili ya ndugu yangu, sawa kichwa cha habari hapo juu. Ndugu yangu, amepatwa na changamoto kubwa ya ugonjwa wa kisukari, unaombatana na vidonda vikubwa hasa miguu yote! Hivyo, naomba ushauri wenu wakuu mahali hapa, hasa kwa wenye ushuhuda wa...
  13. JamiiForums Tanzania Dkt. Anthony Gyunda: Hata soda zinaweza kukupa uraibu, ni hatari Kiafya na zinaweza kusababisha Kisukari

    Mdau wa JamiiForums alitaka ushauri kuhusu tabia yake ya kunywa soda mara nne kwa siku, ambapo anaona si hali ya kawaida na alitaka kujua jinsi anavyoweza kuacha matumizi hayo ya soda. Soma zaidi: Msaada: Nimefikia hatua ya kunywa Pepsi 4 kwa siku, nifanyeje kuacha? Kutokana na hilo, tumempata...
  14. JamiiForums Tanzania Profesa Janabi: Kama humsamehi yule aliyekukosea jiandae Kuugua Presha na Kisukari kwa pamoja

    Profesa Janabi Mimi GENTAMYCINE nipo tayari Kuugua vyote ila kuna Wapumbavu fulani kamwe sitowasamehe abadani. Na uzuri ni kwamba kila baada ya miezi mitatu napima haya Magonjwa yako tajwa na namshukuru Mungu nipo salama.
  15. JamiiForums Tanzania Tutarajie ongezeko la wagonjwa wa kisukari na pressure

    Kwa kile walichofanywa na LBL na FIC. Mjiandae kuuguza wagonjwa wa kisukari na pressure. Ukiitwa kwenye fursa, jua wewe ndio fursa yenyewe. Poleni.
  16. JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  17. JamiiForums Tanzania Mashine za kupima sukari mwilini - GLUCOMETERS

    Mashine za kupimia sukari sukari - GLUCOMETER Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo...
  18. JamiiForums Tanzania Mashine za kupima sukari mwilini - Glucometers

    Package ina -1 Glucometer (mashine ya kupima sukari) -25 testing strips Bei : 35,000/= Testing Strips (50) Bei: 20,000/= Tupo TANZANITE PHARMACY - Tabata Aroma Mawasiliano 0653776099 0789344956 0767810030 0620249911 Free delivery pia ipo ndani ya Dar es Salaam
  19. JamiiForums Tanzania 🩸 Novemba 14, 2024 Siku ya Kisukari Duniani

    Kisukari ni ugonjwa sugu unaoathiri mtu 1 kati ya 10 duniani kote. Husababisha kiwango cha sukari mwilini kuwa juu sana kwa sababu mwili hauzalishi insulini ya kutosha au hauwezi kuitumia insulini vizuri kama unavyopaswa. Dalili za kisukari ni pamoja na: 🚰 Kuhisi kiu kupita kiasi 🚽 Kuenda...
  20. JamiiForums Tanzania Swali la siku: Taarifa gani umekuwa ukizisikia kuhusu Ugonjwa wa Kisukari unahitaji kujua Uhalisia wake?

    Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na Zinazopotoshwa. Je, Taarifa gani unahitaji kujua Uhalisia wake kuhusu Ugonjwa wa Kisukari? Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…