KWANINI VISIMA VINGI VINAKAUKA KIPINDI CHA KIANGAZI? ☀️🍂
Watu wengi wanachimba visima bila kufanya utafiti wa kina wa maji chini ya ardhi (Geological Survey). Matokeo yake, wakifika kiangazi, maji yanapungua au kukatika kabisa.
Sisi tunatumia mitambo ya kisasa kupima na kubaini penye vyanzo...