kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

    Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa kisiasa

    Unapochagua kusuka, hakikisha unaujua vyema mtindo utakaosuka, vile vile na kunyoa, Nilipowapa ushauri wa nini Cha kufanya waliniona hamnazo, huku wakifikiri ni mjinga wao mmoja, Leo kinawatokea puani, ni rahisi sana, kitaalamu niwafunze tena, chuki inapojenga Imani, hakuna mwenye kushindana...
  4. JamiiForums Tanzania Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Wanasimba wakataa uchawa wa kisiasa

    Mimi shabaki lialia wa Yanga sc ,nimefurahishwa sana na kitendo cha mashabiki wa makolo kukataa ukisabengo wa kisiasa katika mambo ya timu yao.. Mashabiki wa Simba sc hakika mtakumbukwa kwa msimamo wenu thabiti wa kukataa kutumika kama daraja la watawala kujipatia umaarufu kunuka kupitia...
  6. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Joto la kisiasa limeendelea kupanda nchini. Wananchi wengi wa Zanzibar wameonesha hisia zao kwa kuandamana wakidai Muungano uvunjwe wabaki na nchi yao. maelezo yapo kwenye video hapa chini
  7. JamiiForums Tanzania Sabaya onyesha kuwa na njaa na dhiki za kisiasa. Atamka hadharani kuwq hata akipelekwa gerezani kwa uonevu CCM ni dude kubwa

    Huu ni upumbavu na ujinga. Unapelekwa gerezani kwa kesi ya unyag'anyi wa kutumia silaha ya kubumba. Alafu unasota gerezani mpaka unakuwa hoi Unatoka gerezani na mahakama inathibitisha kuwa haukufanya kosa la kunyag'anya mali kwa kutumia silaha. Kwa upuuzi na dhiki za kisiasa unatamka...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kupanda majukwaa ya kisiasa ni vita kama vita zingine, tuwaombee wanasiasa

    Salaam! Kuitaka Nafasi yoyote kisiasa ni sawa tu na Askari anapokwenda vitani maana unaenda kuhatarisha uhai wako kulinda nchi, ukishinda nchi imeshinda, ukishindwa, jirani yako ,adui yako anashangilia. Sasa matukio ya majukwaa ya kisiasa ni mengi, yote hulenga kuongeza ushindani Ili mshindi...
  9. JamiiForums Tanzania Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  10. JamiiForums Tanzania Familia ya kikwete inamiliki 1/3 ya uchumi wa Tanzania , polepole akifika hapa watu wataamka.

    Familia ya kikwete inamiliki uchumi wa Tanzania 1/3 . Diaspora wengi jinsi ambavyo wamekuwa wakifanyiwa sabotage katika uwekezaji . kwa kunyimwa Vibali n.k Hii ndo maana Diaspora hawataki kumsikia kikwete .
  11. D

    JamiiForums Tanzania Napenda kumwandika papa Leo alifute kanisa katoliki Tanzania mana limekuwa la kisiasa zaizi limepteza focus.

    Hivi maslahi yenu yameguswa? Mbona hamuwi wawazi tukawarudishia wizi wenu. Mtu mzima tena skofu unahubiri siasa eti jk asimshauri rais ni akili kweli hiyo? Rais ni asset ya serikali ndo mana analipwa till death ili atumike kisawasawa. Mboa Pengo alistaafu lakini bado yuko mimbalini na...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Vyama vya kisiasa vyaa anza uchunguzi kuhusu mgombea urais wa ICT.

    Kiongozi huyu , VAR, ya vyama vya kisiasa ya mnasa mgombea urais chama cha ICT , kanda wachama hicho ikiandiii imekosa vigezo vya kuwa mgombea urais wa chama hicho kama katiba yao ya chama inavyoelezaa kwa mgombea urais vifungu vya sheria 6A(2) na 4(5)b vikieleza sifa za mgombea uraisi...
  13. JamiiForums Tanzania Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  14. JamiiForums Tanzania Tapeli mkuu wa kisiasa aliyeahidi kuwahamisha wakazi wote wa Kawe na kuwapeleka Birmingham

    Hivi tunakumbuka uongo huu mkubwa kuwahi kutamkwa na maana siasa? Mpaka leo hajamkatia hata passport house girl wake! Hajatubu!
  15. JamiiForums Tanzania Hii ni aina gani ya laana inayomuandama na kumtesa Tundu Lissu kisiasa, kiuchumi na kijamii?

    Maana, kwanza, kila analolianzisha halifanikiwi, Kwa mfano alikua mbunge hakuinjoy, hakumaliza muda wake wa ubunge na wala hakufanikiwa kwa lolote ikiwa ni pamoja na kuwaletea maendeleo wanainchi wa singida mashariki. Bilashaka yoyote, nadhani hata watu wa singida wameshasahau kama kuliwahi kua...
  16. JamiiForums Tanzania “Kuamka” kwa Raimondo na ugonjwa sugu wa kisiasa wa Marekani dhidi ya China

    Waziri wa zamani wa Biashara wa Marekani Gina Raimondo hivi karibuni amekiri wazi kwamba “kujaribu kuzuia maendeleo ya China ni jambo lisilowezekana”. Matamshi hayo ni tofauti kabisa na msimamo wake mgumu dhidi ya China wakati alipokuwa madarakani. Mabadiliko haya makubwa yameonesha ugonjwa sugu...
  17. JamiiForums Tanzania Tafadhali sana, kama hujui maana ya siasa usiandike mada za kisiasa!

    Within the interminably oscillating palimpsest of this terrestrial concatenation, where vicissitudes writhe in kaleidoscopic infinitude and temporality itself submits to recursive aberration, there subsists an anomaly of such preternatural incongruity that the multitudes, loquacious to the point...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Unaingia kwenye kampeni za uchaguzi wakati kiongozi wa kisiasa mwenye wafuasi wengi yuko ndani. Sasa huko kwenye kampeni utawambia nini wafuasi wake?

    Hili ndio swali ninalojiuliza. Labda niulize: Hili nalo linahitaji ushauri au kutumia commonsense tu? Kuna tofauti gani na mtu mwenye njaa anaenda kuomba unga kwa jirani wakati huo huo amemdhulumu jirani yake huyo shamba? Hawa watu kweli wamekoma kisiasa au bado sana? Mwenye majibu kama yupo.
  19. U

    JamiiForums Tanzania Msijipe moyo kuwa kesi ya Lissu ni ya kisiasa, ni bora mjiandae kikamilifu kama wenzenu walivyojiandaa

    Hii ni Kesi you kama kesi nyingine ndiyo maana ipo mahakamani. Hakuna siasa wala sababu za kuwa na siasa hapo hivyo acheni kuishi kwa mazoea bali mjiandae kikamilifu. Sheria iachwe ichukue mkondo wake tuache na kuingilia uhuru wa Mahakama.
  20. JamiiForums Tanzania Chumba cha kubadilishia nguo ni special kwa wachezaji na benchi la ufundi siyo jukwaa la kisiasa

    Kuna haka katabia kalianza kunikera katika vilabu vya Simba na Yanga ka viongozi wa siasa kuingia katika vyumba vya kubadilishia nguo vya wachezaji baada ya mechi na wakati mwingine kabla ya mechi na hata kipindi cha mapumziko. Ni katabia kalikoota mizizi na sasa imeonekana kama ni jambo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…