kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Digital Sadism Contents Creators wa kisiasa wamekata pumzi baada ya kubainika kua ni matapeli wa pesa kimtandao, kisaikolojia, na wapenda fujo

    Nguvu na umaarufu wa uzushi, uchochezi na porojo zao za kujaribu kuwafarakanisha wananchi na serikali yao vimekosa nguvu kabisa sasa, hasa baada ya waTanzania wengi kubaini kwamba wanarubuniwa, wanatumika na kutapeliwa kisaikolojia kwa kwa kuuziwa hadidhi, picha na video za uongo zenye maudhui...
  2. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda CDF Muhoozi: Kuanzia sasa, yeyote atakayemtangaza Bobi Wine kuwa kiongozi wake wa kisiasa lazima 'afutwe'

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Uganda, Jenerali Muhoozi Kainerugaba amesema Kiongozi wa Chama cha National Unity Platform (NUP) Robert Kyagulanyi Ssentamu Bobi Wine ameanzisha vita na taifa lake hivyo kwa namna yoyote ni lazima wamkamate. Kupitia mtandao wa X Muhoozi amechapisha akisema kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ?

    Suala la kukamata watu wa CHADEMA wasio tishio kivyovyote ni la kisiasa kwanini wameshusha na bendera inahusika vipi kuvunja sheria za nchi ? Nimesikia hizi takataka zinasema heti wamekamatwa kwa kukusanyika kwahiyo kukusanyika ni kosa tangu lini na vipi mshushe na bendera ya chama ilikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Project 2025: Mpango wa Kisiasa unaohusishwa na Donald Trump

    Project 2025 ni mpango mkubwa wa sera ulioandaliwa na taasisi za kisiasa za kihafidhina nchini Marekani, hususan Heritage Foundation. Lengo kuu la mpango huu ni kubadilisha mfumo wa uendeshaji wa serikali ya Marekani kuanzia mwaka 2025 endapo rais wa mrengo wa kulia ataingia madarakani. Mpango...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Chadema kujimaliza yenyewe kisiasa, ni chama gani cha siasa kitafuata nyayo na kujichimbia kaburi la sahau kisiasa Tanzania?

    Maana kwasasa, Kimebaki kama kituo cha mamaluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kikijikita zaidi katika kuchakata porojo na uzushi ambao hauwasaidii bali kuwapoteza zaidi, na kosa kubwa zaidi ni kufanya makao makuu yao kua Nairobi chini ya yule mdada mkuu wa vibaraka aliewahi...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era

    Picha mbili ikionesha Chadema ya miaka hii nalinganisha na kipindi anguko la NCCR lilikuja, End of an era.
  8. JamiiForums Tanzania Swali kwa Rais Samia: Matamko Gani ya TEC yalivuka ukuta wa kikatiba unaopaswa kutenganisha mambo ya kidini na mambo ya kisiasa?

    Ludovick Joseph Lwezaura akitetea (1) kauli za Rais Samia dhidi ya matamko ya TEC, (2) barua ya mshtaka hewa dhidi ya Padre Kitima na (3) barua ya uzushi dhidi ya Askofu Riwaichi. Lwezaura amejitambulisha kwa waandishi wa habari kuwa ni mseminari aliyefika seminari kuu lakini akaukosa upadre...
  9. M

    JamiiForums Tanzania J.K Rowling: Ikiwa unaamini wapinzani wa kisiasa wanapaswa kuadhibiwa kwa vurugu au kifo, basi wewe ni gaidi

    J.K. Rowling, mwandishi mashuhuri wa Uingereza, mtayarishaji wa filamu na mwandishi wa skrini, anayejulikana duniani kote kupitia mfululizo wa vitabu vya Harry Potter, anazungumzia kwa msimamo dhana ya ushindani wa kisiasa. Anasisitiza kuwa siasa za kidemokrasia lazima zijengwe juu ya mjadala wa...
  10. JamiiForums Tanzania Tunakoelekea: Kama viongozi wa dini hawasikilizwi na waumini wao, basi viongozi wa kisiasa wajiandae kisaikolojia

    Hamjambo wote! 1. Mimi ni moja ya wachache ambao tunapomsikiliza mtu yeyote hatumsikilizi kwa cheo chake, umri, Hali za utajiri, rangi. Isipokuwa Nina msikiliza mtu kile anachosema kama ni KWELI, Je ni HAKI, je Kina Ufahamu, maarifa na Akili, na mwisho kina UPENDO? 2. Jambo Hilo ndilo...
  11. JamiiForums Tanzania Machafuko ya Disemba 9 hayana sura ya Kisiasa bali ni chuki ya Mihemko ya kidini

    Naamu Hakuna Msiba unaokosa Matanga na ukiona Moshi ujue kuna Moto Utawaka au Umewaka. Bado Watanzania tupo katika Majonzi ya Ndugu zetu waliopata Maafa ya D29 ambapo ni masikitiko makubwa yanatokana na dhamira ya watu wachache kujitafutia umaarufu na Kujilimbikizia Mali kupitia Majukwaa...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Athari za mgogoro wa kisiasa unaoendelea TZ: Wafanyabiashara wa Marekani waanza kujitoa na kuondoa mitaji yao taratibu

    🚨 TANZANIA: U.S. BUSINESS LEADER WITHDRAWS FROM AMERICAN CHAMBER IN TANZANIA AMID ESCALATING HUMAN RIGHTS CRISIS AND NEW TRAVEL RESTRICTIONS In a dramatic escalation of tensions between the United States and Tanzania, prominent American entrepreneur @MichaelCoudrey, Chairman & CEO of Pharos...
  13. JamiiForums Tanzania Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba kuhusu vifo vya Oktoba 29 ni uongo na uchochezi wa kisiasa

    Wanakumbi. Hoja ya Jaji Mstaafu Warioba Kuhusu Vifo vya Oktoba 29 ni Uongo na Uchochezi wa Kisiasa. Katika Vita ya Kagera (1978–1979), takwimu zinazokubalika kitaifa zinaonesha wazi kuwa Wanajeshi wa Tanzania waliopoteza maisha walikuwa 373 Askari wa Kikosi cha Ukombozi cha Uganda (UNLA)...
  14. JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa hauwezi kutafuta haki, hakuna haki bali ni janja janja za kisiasa

    Niwasalimu watu wa ukumbi huu, Kwanza niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu ,hapa nataka kuongelea kuhusu kitu kinaitwa ''haki''. Je ,dunia ya leo kuna haki na watu wanaweza kudai haki. Kabla ya yote tutambua neno haki lina maana pana sana ,unaweza kusema ''ni kitu chochote / jambo...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  16. JamiiForums Tanzania Peter Msigwa umepotelea wapi kwenye umaarufu wa kisiasa?

    Muda mfupi sana CCM walivyokutumia kama wamekuweka kabitini kabisa. Yani ulivyoingia ulikuwa unaisema CHADEMA mpaka ukakosa cha kuongea. Shukuru jina lako la mwisho kidogo anatembea msemaji wa serikali linafanya nisikusahau. Ila umepotea vibaya kwenye medani za siasa.
  17. JamiiForums Tanzania Umeingiza Mercenaries kuua Wananchi, umewazika kwenye makabuli ya halaiki halafu unajificha kwenye kichaka eti Jeshi lisishawishiwe kisiasa?

    Siku chache zilizopita akiwa anahojiwa na Waandishi wa Habari, Rais wa Rwanda Paul Kagame alisema wazi kuwa kutokana na mwenendo mbovu wa Viongozi wa kisiasa barani Afrika hatoshangaa Mapinduzi ya kijeshi kuendelea kutokea katika Nchi za kiafrika. Jana akiwa anahutubia Makamanda wa JWTZ, Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna safisha safisha ya kisiasa inayoendelea nchi? Political purge!

    Mkuu wa nchi alitamka mbele ya wazee Dar. Kuwa kuna watu walitaka kuangusha dola hiyo tar 29 Oktoba. Hii kauli imenishutua sana. Na mpaka leo huwa natafakari. Kwamba kulikuwa na watanzania waliotaka kuingia Ikulu na kukamata dola kwa kutumia vijana na watu waliondamana wakidai kuchoshwa na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Dayone: Nina jitoa rasmi kwenye movement ya kuhusu Maandamano

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram mwanaharakati Dayonè Vladislaus Monson ameandika haya; “Kwanza kabisa si kubaliani na mauaji Yaliyo fanyika October 29 na ngependa kuona wale Askari walio fanya mauaji waki wajibishwa , pili sikubaliani na Serekali ya SAMIA , yote mpaka wabunge ningependa kuona...
  20. JamiiForums Tanzania DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…