kisiasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mrema: Lowassa aliimarisha CHADEMA kisiasa

    "Mzee Lowasa kuhamia kwake Chadema kulibadilisha kabisa mwelekeo wa siasa mwaka 2015 kwenye nchi hii, kwa sababu alikuwa ni mtu ambaye ana ushawishi mkubwa, jamii ilikuwa inamuelewa, na aliweza kusaidia mageuzi ya nchi hii mwaka 2015 kwa mara ya kwanza majiji yote makubwa yakaongozwa na Chadema"...
  2. JamiiForums Tanzania Rangi ya askari 3 wa Marekani waliouliwa Jordan wanaotaka kulipiziwa kisasi ni mchezo na kampeni za kisiasa

    Karibu wamarekani wote weusi wanaiunga mkono Palestina na kulaani mashambulizi ya Israel ndani ya Gaza. Wamarekani weusi wamekuwa wanaongoza kampeni za kumtaka rasi Biden aizue Israel isiendelee kuleta maafa ndani ya Gaza na wanamuona raisi huyo kama ni sehemu ya washiriki katika maangamizi...
  3. JamiiForums Tanzania Inawezekana kufanikiwa kisiasa bila kuwa "mjanja mjanja"?

    Japo siamini kama ni wote, lakini inaonekana kama vile wanaofanikiwa kwenye siasa wana tabia za kipekee kama: • Bingwa wa kusema uongo • Mbabe • Majuzi wa kuiba kura • Mpenda ushirikina Ni kama vile wengi wa wasema ukweli na wapenda kufuata njia halali huwa hawakubaliki. Je, ni lazima...
  4. JamiiForums Tanzania Watanzania walioonesha uvumilivu wa kisiasa nchini

    Sisemi kwamba ni wakamilifu, lakini kwa matendo yao, wameonesha kuwa wanao uvumilivu mkubwa wa kisiasa, na hivyo ni sahihi au ilikuwa sahihi kwa wao kushika nafasi kubwa za kisiasa nchini. Miongoni mwao ni hawa wafuatao: 1. Mzee Ally Hassan Mwinyi 2. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 3. Freeman...
  5. JamiiForums Tanzania Wananchi wakiwa na taarifa sahihi kutosha kuhusu mambo muhimu katika jamii zao wanakuwa si rahisi kudanganywa na wanasiasa

    Umewahi kujutia kufanya uamuzi fulani kwa kuwa tu haukuwa na taarifa za awali ambazo huenda zingekusaidia kufanya maamuzi bora? Jibu ni kwamba watu wengi wamepitia hali hiyo. Hata hivyo, tunapopitia hali kama hiyo inapaswa kuwa wakati wa kutambua ukweli kwamba kuwa na taarifa za kutosha katika...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Huwa unazingatia nini kabla hujaenda kuangalia mkutano wa kisiasa?

    Wakuu, Huwa unazingatia nini kabla hujaamua kwenda kwenye mkutano wa siasa, iwe mkutano wa hadhara au kampeni? Ni mada inayoenda kuzungumzwa, mzungumzaji mwenyewe, nguvu ya chama au nini? Nini huwa na umuhimu zaidi kwako ambapo kisipokuwepo huwezi kwenda kwenye mkutano huo au hata kuufatilia...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi lipewe hadhi yake. Wanasiasa wanaliharibu kwa kuliingiza kwenye mivutano ya kisiasa

    Ni wakati mwongine tunashuhudia kauli za yule RC anayependa kumwaga damu akilielekeza Jeshi kufanya usafi jiji la Dar ambapo kwa mujibu wa kanuni na sheria Jeshi haliwezi kupokea amri kutoka kwa wanasiasa zaidi ya Bunge na Amiri Jeshi Mkuu. Mkuu huyo wa mkoa ambaye hajaridhika na matokeo ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda kutoa Katapila 20 kusaidia kurekebisha barabara za Jimbo la Kawe

    Katibu wa Itikadi , Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda leo Januari 19, 2024 ameahidi kukabidhi katapira 20 kwa mbunge wa jimbo la Kawe, Josephat Gwajima kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa barabara. Makonda ametoa ahadi hiyo kutokana na wananchi wa jimbo hilo kulalamikia ubovu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Inatia wasiwasi na kuumiza sana kuona Majeshi yetu yanavyotumika Kisiasa

    Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
  10. JamiiForums Tanzania KERO Shughuli za kiuchumi Mwanza zimesimama kwa saa 6 kutokana na mvua kubwa na ubovu wa miundombinu. Serikali ikumbukeni Mwanza msiitumie kisiasa tu

    Shughuli za kiuchumi katika jiji la Mwanza zimekwama kwa masaa zaidi ya saba kutokana na uharibifu wa miundombinu na uliosababishwa na mvua kubwa. Pia Mwanza ni miongoni mwa majiji yaliyotekekezwa na serikali ya CCM kwani wanaitumia tu kisiasa na kuitelekeza. Najiuliza mvua hii ikiendelea...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA". Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi? Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na...
  12. JamiiForums Tanzania 2024 utakuwa mwaka wa Mapambano kabambe ya Kisiasa, hatutakuwa na Huruma na Mamluki

    Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopambana humu JF na kwingineko kwa ajili ya kupigania haki kwenye Nchi yetu, Nchi ambayo ndimo tulimozaliwa na ndio Nchi ambayo wamo ndugu zetu na huenda tukazikwa humu humu siku zetu zitakapofika mwisho. Si kazi rahisi kupiganiia haki kwenye nchi kama...
  13. JamiiForums Tanzania Nawaalika nyote kuzaliwa upya kisiasa, kijamii na kiuchumi Krismasi hii

    Wapendwa sana, wanafamilia wa JF. Salamu. Mara baada ya salamu, Nashukuru Mungu kwa niaba yako na yangu, kwa kibali cha maisha, zawadi ya uhai na afya anazotujaalia. Karibuni sana nyumbani kwangu mkiwiwa kwa biriani la Christmas. Wapendwa, Christmas hii tukazaliwe upya kiroho na kimwili na...
  14. JamiiForums Tanzania Jamal Khashoggi: Mke wa mwanahabari aliyeuawa apata hifadhi ya kisiasa Marekani

    Mke wa Jamal Khashoggi, Mwandishi wa Habari aliyeuawa katika Ubalozi mdogo wa Saudia Mjini Istanbul, amepewa hifadhi ya kisiasa nchini Marekani. Khashoggi alifariki Oktoba 2018, ambapo ujasusi wa Marekani umesema unaamini Saudi Arabia ndiyo iliyohusika na mauaji hayo. Hanan Elatr, mke wa...
  15. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisiasa Azam TV Desemba 18, 2023

    Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Nape Nnauye anapitia wakati mgumu kiutumishi; walichomfanya BBC bora angekataa kuhojiwa au angekaa kimya; watu wanammaliza kisiasa

    Nape Nauye amepata mashambulizi makubwa sana mengi yakiwa yanatokana na historia yake kisiasa. Yapo makosa ya kisiasa ameyafanya na sasa yanamgarimu sana. 1. Kutumia goli la mkono kushinda uchaguzi 2. Kulazimisha tume ya uchaguzi imtangaze mshindi bila kupingwa 3. Kumtukana JPM akiwa hai 4...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Je, unakumbuka ahadi gani iliyotekelezwa na Mbunge Gwajima kisiasa na kiimani?

    Mie kila pakikucha huwa ninakumbuka ile aliyosema ananunua treni. Bahati mbaya siku hiyo nikiwa ninasubiria kwenye foleni pale alipokuwa akihubiria nikasikia ahadi hiyo. Seriously ilinibidi nipaki gari pembeni nikasikiliza mahubiri yake mpaka mwisho na nikahudhuria tena kama mara tatu hivi...
  19. JamiiForums Tanzania Pamoja na kuhujumiwa CHADEMA yafika Hospitali ya Mkoa na kusalimia Majeruhi. Yachangia pesa

    Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga zilizojaa wivu wa kipumbavu , Chadema imefanikiwa kuingia kwenye Hospitali ya Mkoa wa Manyara kuwaona...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Maafa Hanang yanatumika kisiasa kwa maslahi binfsi na kujipigia chapuo

    Ziara ya Rais Hanang ilitakiwa kuwa very brief, kuangalia madhara yaliyotokea, atoe pole, basi. Nina Imani Rais alishapewa ripoti nzima ya hali ilivyo Hanang na hivyo alikuwa walau na picha ya yaliyojiri, leo ilikuwa kwenda kuwaona waathirika na aongeze nguvu kwa waathirika angalau kuwa sehemu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…