USALAMA WA KISAIKOLOJIA (Chanza cha maisha bora)
Usalama wa kisaikolojia ni hali ambayo watu wanajisikia huru kutoa mawazo, kushiriki katika mazungumzo, na kuchukua hatari bila hofu ya adhabu au madhara ya kijamii. Hii ina umuhimu mkubwa katika maendeleo endelevu, yanayohusisha kukidhi mahitaji...