Hakuna watu walitikisa ccm kama Tanzanian Youth Democracy Movement, wengi wenu mlikua bado hamjazaliwa, tujikumbushe kidogo ni wakina nan hawa
kikundi hiki kilikua na wanachama Moussa Membar (kiongozi), Mohammed Ali Abdallah, Mohammed Tahir Ahmed, Yassin Membar, na Abdallah Ali Abdallah...