Kabla ya Mungu kumuinua mtu umpitisha kipindi cha kutengwa(isolation)
Katika bibilia Yesu kristo kabla ajaanza hudumu ya injili alichukuliwa na malaika kwenda jangwani(isolation) na kufunga siku 40 na kipindi hicho alikuwa akijaribiwa.
Musa kabla ajanza huduma pia naye Mungu alimtenga kwa...
Kuna kampuni linatengeneza electric vehicles lipo Kenya, linaitwa Roam Electric. Kwa sasa wanatengeneza mabasi na pikipiki za umeme. Tuachane na mabasi.
Sasa kwenye pikipiki, wana model moja tu inaitwa Roam Air, muonekano kama TVS tu ya kawaida.
Inakuja na battery la 3.2 kWh, kuna options ya...
Nikubaliane kuwa mambo yanabadirika sana asee. Kipindi hicho nasoma na hata baada ya masomo mfumo wangu ulikuwa ule ule sabuni ya kuogea ndo hiyohiyo ilifanya kazi zote. Na wala si mimi tu karibia ndume zote mfumo ulikuwa huo huo kwa sasa sidhani kama haya yapo bado.
Hii hali bado imeniathiri...
Crdb yapata faida ya bilion 206 robo ya mwaka huu.
Nategemea serikali itakapo kuja na mambo ya kusema kwenye mei mosi waje na hili .
Sio mnapokelea vichakani hizo gawio then mnagawana watu wachache....
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa ripoti ya Haki za Binadamu ya mwaka 2025 kikiyataja mauaji ya Oktoba 29, 2025 kuwa kipindi cha giza katika ulinzi wa haki za binadamu Tanzania.
Mauaji hayo yalifanyika baada ya maandamano kuzuka katika mikoa mbalimbali nchini...
Endapo Iran ataanguka ni wazi waislamu wakitaka Hijja viza na mipango yote ya safari za hijja zitapangwa na Isreal, nani aende na nani asiende.
Masjid Aqswa na ardhi yote ya Palestina ambayo ni alama ya uislam utapotea.
Saudia, Quwait, baharain na Qatar viongozi wao tayari nchi zao...
Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu miaka mitatu iliyopita.
Shirika la Human Rights Watch, lililotoa ripoti hiyo, linasema kuwa mauaji...
Unaishi peke yako. Huna rafiki wa karibu, sasa ikatokea umepata Changamoto ya kiafya kama kuugua Ghafla usiku au kuumia bahati mbaya
Mnawezaje kupata usaidizi wa dharura?
Au ndio ile ku adapt na mazingira?
Pipa moja la mafuta ghafi linauzwa $70 hadi $90 linakua na ujazo wa lita 159. ukienda kusafisha crude oil unapata petrol, diesel, kerosine, gas na lami. hivi vitu vyote ukivipima ujazo wake unafika lita 170 maana ujazo una expand
garama za kusafisha ni $1 kwa lita, cha kuganya ili kumaximize...
Hii ni Siri lakini ndo ukweli
Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita.
Sasa hii furaha zaidi Kwa majeshi yenye uwezo kama Marekani mjeda anatamani hata kutoa chochote apangwe vitani.
Sio madili ya...
Bei ya mafuta inaogofya. Imepanda kwa kasi sana.
Unalala lita moja 2,800 Tsh unaamka 3,800 Tsh. Hatari.
June 2020 Covid ipo on fire ilikua unanunua chips kavu au unanunua mafuta lita moja, muamuzi ni wewe.
Kuna hali ambayo imeanza kuonekana ya kawaida, lakini ndani yake kuna maumivu ya kimya. Mnajuana mitaani, mnacheka pamoja, mnafanya biashara au kazi sehemu moja, mnaabudu pamoja kanisani au msikitini, au hata ni ndugu, jamaa na marafiki halafu kuna “group” linaanzishwa, lakini wewe huingizwi...
Irani ilikuwa imejipanga. Ilichora chini maghorofa na viwanda kama vya ukweli. Ikaweka na matoy kila sehemu. Marekani imeshambulia michoro na matoy. Ikamshambulia Khayatollah fake toy la kichina.
Kwa sasa zimemaliza. Silaha zote
.hadi marekani sasa wanaanza kuomba silaha kama kenye. Kwa kweli...
Katika kipindi hiki muhimu cha mitihani, wanafunzi wengi wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA) wanakumbana na changamoto kadhaa za kiutendaji zinazohitaji uangalizi wa haraka.
Kwanza, kumekuwepo na malalamiko mengi kuhusu kutotoka kwa Examination Tickets kwa wakati. Wanafunzi wengi bado...
Anonymous
Thread
changamoto
jamii
katika
kipindikipindi hiki
mitihani
muhimu
sua
taarifa
wanafunzi
wanafunzi wengi
wengi
Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu Zanzibar limetoa taarifa Kuelekea Mwezi Mtukufu wa Ramadhani linawakumbusha wamiliki wa maeneo ya kumbi za starehe na Burudani, wapigaji wa muziki na Wananchi wote kwa ujumla kwamba Shughuli za upigaji wa muziki kwa kipindi cha mwezi Mtukufu wa Ramadhani...
Kamisheni ya Utalii Zanzibar imewataka Watalii, Wafanyabiashara na Wadau wa utalii Zanzibar kuheshimu maadili ya Dini na Utamaduni uliopo Zanzibar kipindi hiki cha kuelekea mwezi mtukufu wa ramadhani.
Kamisheni imesema ni lazima Migahawa na sehemu za chakula zilizo nje ya Hoteli zifungwe hadi...
Kulikuwa na mwendawazimu jina lake Boimanda na watoto tukimuogopa sana.
Matembezi ya Boimanda siku zote yalikuwa pale sokoni na watu wakimtisha Boimanda kwa kumwambia kuwa askari wa kodi wanakuja na yeye atatoka mbio kukimbia ovyo.
Ilikuwa katika kutishwa kama hivi ndipo alipovamia meza ya...