Nauza Vioo vya laptop (2) vizima kabisaa pamoja na keyboard ya dell inspiron 15

Sep 8, 2017
55
259
Je una laptop iliyovunjika kioo

Nina laptop mbili za Dell inspiron 15

Zote zimeharibika nauza vifaa kwa bei cheee.

Vimebaki vioo viwili vya laptop 15.6" (inch 15.6)

bei ya kioo nitakufaanyia kwa 90,000 tu pamoja na kukufungia

pia nina keyboard nzimaaa

Keyboard nauza 40,000

75199872_551703388996993_2442469208844402688_n.jpg


76710730_551703435663655_7944981906032951296_n.jpg


Nitakufungia hapo hapo na utaondoka na laptop yako ikiwa na vioo safi kabisaaa pamoja na keyboard

Mawasiliano 0688 8888 43 au 0677 81 82 83

napatikana Ubungo Dar es Salaam
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom