kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, pongezi zetu Watanzania kupitia kwa Mwakilishi Wetu Mmoja Kikatiba kwa Ushindi wa Kiongozi wa Upinzani nchini Malawi Chikwera utatoka Moyoni?

    Kuna Mtu Mmoja kama namuona vile na jinsi alivyo na tabia ya Hasira ( Jazba ) atakavyompongeza Mshindi wa Malawi huku akiwa amenuna balaa.
  2. JamiiForums Tanzania Ukiwa kiongozi usiwe mbea, umbea utakuondolea heshima na uaminifu

    Uongozi ni dhamana inayokwenda na uaminifu wa pesa, na utu wa una waongoza. Watu wanapofikwa na majanga watakutaarifu ili uchukue hatua mbadala majukumu yasiyumbe na kazi kuharibika. Kuna watakao kueleza shida zao za kifedha, Kuna watakaoomba msaada wa siku kadhaa bila majukumu Kwa Sababu za...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu ni upole au ujinga? Kiongozi anachukuliwa meza kuu, mbele yenu mnapiga makofi!

    Watu zaidi ya 100 wapo ndani kiongozi wao anachukuliwa kutoka meza kuu wao wanapiga makofi kama vile anapelekwa kupewa cheo kumbe rumande Eti Mungu anawaona, iko siku yataisha tu, yana mwisho hayo, hawataingia Mbinguni. Hii ndiyo misemo ya watanzania siku hizi mara wanaponyanyaswa na mfumo Imla...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi masikini wataachi lini kutumika kama mitaji ya kisiasa? Je kusaidia masikini vitu, inamfanya vipi mtu kuwa kiongozi mzuri?

    Inawezekana hii ndo haswa sababu itayofanya hii nchi kuendelea kuwa maskini milele, inawezekana pia ni jambo la kimkakati wa kisiasa kuzidi kuwatawala watu kadri upendavyo. Kwa sababu kwa lugha ya picha, kama nchi ni maskini na raia wengi ni maskini, na wengi wao hawajakomboka kifikra, inakuwa...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania President Uhuru says he is not interested in clinging to power after 2022

    President Uhuru Kenyatta has promised to respect his constitutional 2-term presidential limit when it expires in 2022. Speaking during a live discussion with a US-based Think Tank- Atlantic Council- the President downplayed claims that the looming referendum would see him seek another term in...
  6. JamiiForums Tanzania Historia ya mtu ni muhimu kwa kiongozi

    Asilimia 80 ya abusers walikuwa abused pia. Kiongozi aliyepata tabu sana utotoni na kwenye maisha atapenda na wengine wapate tabu. Mzazi aliyechapwa Sana hadi akafanikiwa atawachapa wanawe pia Kama njia ya kutaka wafanikiwe. Ukipata kiongozi ambae makuzi yake hayakuwa ya taabu atapenda wafuasi...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kiongozi wa upinzani Kenya apimwa corona, yaani mwendo wa kupima kila mtu

    Vizuri sana Wakenya tunavyolishughulkia suala hili la corona, ushirikiano baina ya wanasiasa wote, hamna mikwara au matamko yenye kejeli, hakika tumeonyesha mfano wa kuigwa Afrika na duniani kote. Kiongozi wa upinzani Raila Odinga amepima corona na kuagiza matokeo yatangazwe hadharani, hivyo...
  8. JamiiForums Tanzania Kulewa chakari kwa kiongozi wa umma

    Ukisoma sheria ya maadili ya viongozi wa umma(The public leadership code of ethics act, 1998 ) kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni(mbunge) ni kiongozi wa umma(Public leader) Kwa nafasi yake kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ana haki sawa na kiongozi wa shughuli za...
  9. JamiiForums Tanzania Wanabodi, Je ni sahihi kwa kiongozi katika ngazi hii kubwa kabisa kutamka maneno kama haya?

    Kama nchi kupitia Serikali yetu, ninaamini mkazo mkubwa kwa vijana wetu wanapokuwa mashuleni na vyuoni ni kuhakikisha kuwa wanajikita katika makusudi ya msingi yaliyowapeleka kwenye tassisi walizopelekwa kusoma. Kila Mtanzania mwenye nia njema na watoto wetu (hususani wale wa kike) anao wajibu...
  10. JamiiForums Tanzania Spika wa Bunge kusema kuwa kiongozi kama Mbowe alikuwa "mlevi chakariii" kwanza ni kujishushia heshima yeye mwenyewe

    Nimemsoma Spika wa bunge na kugundua kuwa ni mtu anayekurupuka na kujiropokea tu bila hata kufikiri. Hii ni tabia mbaya sana kwa kiongozi wa Umma, ni tabia inayoweza kuibua mgogoro mkubwa bila sababu yoyote ile ya msingi. Kiuhalisia kitendo cha Spika kupokea kijikaratasi chenye ujumbe na ghafla...
  11. J

    JamiiForums Tanzania KUB ni kiongozi wa kitaifa, kwanini hahudhurii shughuli mbalimbali za kitaifa anazidiwa hata na mama Maria Nyerere?

    Naomba majibu kwa wajuzi wa haya mambo. Ni kwamba huwa haalikwi au yeye mwenyewe (KUB Mbowe) ni mtu asiyetoa ushirikiano kwa viongozi wenzie wa kitaifa? Ikumbukwe Mbowe siyo mbunge wa kwanza wa upinzani kuwa KUB, alikuwepo Hamad Rashid wa CUF akisaidiwa na Dr Slaa wa Chadema. Hamad Rashid...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tamko la wazee Chadema: Mbowe ndiye kiongozi pekee barani Afrika asiyelipwa posho wala malipo yoyote na chama chake, anajitolea!

    Baraza la wazee wa Chadema limetoa tamko lake la kumtetea Mwenyekiti wa chama hicho dhidi ya njama ovu zinazotekelezwa na wabunge waliohamia CCM wakimtumia Mwita Waitara aliyewahi kuwa mlinzi wa Mbowe. Katika tamko lake baraza la wazee limetaja sifa kuu 3 za Mbowe: Mosi Mbowe ni mwenyekiti...
  13. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Kiongozi wa Chama cha siasa kutokea Afrika anayeheshimika zaidi Duniani

    Taarifa za Kidunia zinaonyesha kwamba huyu ndiye kiongozi wa kisiasa mwenye kuheshimika zaidi duniani kwa sasa , ndiye mwanasiasa anayeongoza kwa siasa za kistaarabu , ni mvumilivu asiye na kisasi hata kwa watesaji wake waliojiapiza hadharani na gizani kumshughulikia. Huyu ndio Mwanasiasa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mbowe ni kiongozi wa kiimla asiye na dhamira njema kwa Tanzania

    Katibu wa itikadi na uenezi ndugu Polepole amesema Mbowe ni kiongozi wa kiimla anayewapelekesha wanachama wa CHADEMA apendavyo. Wakati wa kufungua bunge Mbowe aliwaamrisha wabunge wa Chadema watoke nje wakatoka. Aliwaambia wafunge plasta midomoni wakafunga Juzikati amewataka waende karantini...
  15. JamiiForums Tanzania Kauli hii "Wakimaliza kujifungia watakuwa na njaa, tujitolee kuwasaidia" si kauli ya kiongozi aliyekomaa. Inaweza kuleta hujuma kwa nchi!

    Kusema kweli hii ni kauli mbaya kuzungumzwa na kiongozi wa nchi kwenda kwa nchi majirani zake ambao wanakabiliana na matatizo. Ni kauli ya kuharibu na kuleta hujuma kwa nchi. Ndugu Rais, unapotamka jua kuwa wewe ni Rais wa nchi. Hilo lazima ulielewe hivyo umakini unahitajika sana kwenye...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Imagine karne ya 21 kiongozi anatumia neno Mabeberu kama silaha. Anajua kweli ubeberu upo hata kwenye biashara ya mchicha hapa nchini?

    Maana nyepesi ubeberu au beberu kama inavyotumika kwa muktadha wa siasa ni ADUI au UADUI. Je, tujiulize hapa kwetu tz hatuna mifumo ya kibeberu makazini, kwa wakulima au kwenye biashara? Kimsingi ukifuatilia hata kwenye biashara ya mchicha ambao huwatunawaona wakinamama wakipitisha mchicha...
  17. JamiiForums Tanzania Nini adhabu ya kiongozi anaye dharau katiba?

    Labda tumuache Rais ambaye naambiwa hawezi shitakiwa kwa muujibu wa katiba yetu ya sasa. Je kiongozi mwingine yeyote anaye dharau katiba waziwazi nini huwa adhabu yake wadau. Nataka angalau nijue . Labda hakuna adhabu yoyote ndo maana Mr Ndugai anaikanyaga katiba mchana kweupe. Na kama Luna...
  18. JamiiForums Tanzania TANZIA Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia

    Wakuu, Mpelelezi Mkuu wa PCCB ndugu John Minyenya afariki dunia usiku wa kuamkia leo Hospitali ya Hindu Mandal baada ya kuugua kwa muda mfupi. Bwana Minyenya alikuwa miongoni mwa viongozi wa juu waliopeleka taarifa ya pelelezi mbalimbali za tuhuma wakati wa kukabidhi ripoti kuu ya PCCB ya...
  19. S

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Pentecoste Mwananyamala jijini Dar-es-Salaam, Dkt. Nasobile Mwanjela afariki dunia

    Mchungaji kiongozi wa kanisa la Pentecoste Mwananyamaa jijini Dar es Salaam Dr.Nasobile Mwanjejele amefariki dunia.
  20. JamiiForums Tanzania Siasa sio uadui kama kiongozi ni mchapa kazi hata kama upo chama cha upinzani huna budi kumsifia.

    New Mv victoria Hapa kazi tu na Mv Butiama zimeshamilika na sasa zinasubiribiri tu commissioning ili zianze kufanya kazi. Hii ni hatua kubwa sana katika sekta ya usafirishaji hasa katika ziwa victoria Wafanyabiashara kati ya mkoa wa Kagera na Mwanza sasa wataenda kunufaika baada meli hizi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…