kiongozi

Enjo Kiongozi (born 27 March 1990) is a Tanzanian cricketer. He played in the 2014 ICC World Cricket League Division Five tournament.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    JamiiForums Tanzania Trump ni noma ep 1, aliwachimba mkwara Taliban hakuna Mmarekani aliguswa kwa miezi 18, Biden alipoingia waliua, kupora silaha na kupindua serikali

    Kipindi Trump akiwa Madarakani aliona Marekani haina sababu ya jeshi kuendelea kubaki Afghanistan, kama ni kushinda vita walishashinda kwa kuichomoa serikali ya Taliban, hakukuwa na sababu ya kuendelea kubaki. Trump alimchimba mkwara kiongozi wa Taliban wakiwa kwenye kikao alimpa karatasi...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kiongozi kutumia siku 3 kwenye matamasha katika nchi yenye changamoto kibao, tutafika kweli?

    Kiongozi Mkuu wa Nchi ni nyenzo muhimu ya kupeleka maendeleo mbele. Sio tu kiongozi lakini anabeba maono mapana ya nchi. Kiongozi Mkuu wa Nchi anatakiwa kuwa mwenye fikra pevu kuliko wasaidizi wake kwa maana ya kwamba hata akishauriwa anakuwa na uwezo mpana kwa kuchuja ushauri kabla ya kuamua...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais wa Iran kumuomba Ayatollah asiishambulie Israel, Makamu wa Rais kajiuzulu, Vifo vya Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas vyaleta hofu

    Kinachoendelea kwa sasa Iran, viongozi wa juu wanapaza sauti wasikike kwamba Israel isishambuliwe, Juhudi hizi zinawasaidia kukwepa kilichowakuta Rais aliepita na Kiongozi wa Hamas akiwa Iran. Wiki iliyopita Rais wa Iran alimsihi sana Kiongozi Mkuu wa Iran Ayatollah khamenei asithubutu...
  4. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiongozi wa eneo kuomba vitu vilivyojadiliwa na kupitishiwa bajeti(bungeni) katika mihadhara?Anaehadaiwa ni nani?

    Kama kawa wanajamvi!( Na mimi nimeona nianze na kasalamu kama ndg Pasikali!) Imezoeleka huku majimboni pindi cha ziara za viongozi kuona wawakilishi wa wananchi wakisimama na kuomba miradi ya maendeleo kwa viongozi walioko ziara! Na wananchi pasi kujua kama hayo mambo yalikaliwa vikao na...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Abdul alikuja nyumbani kwangu kunihonga akiwa na kiongozi wa CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA - Bara, Tundu Lissu akizungumza katika Mtandao wa Club House amesema kuna Kiongozi wa CHADEMA ambaye ameshanunuliwa kwa Fedha za Kuhongwa na mtu aliiyemtaja kwa jina la Abdul, alikwenda nyumbani kwake kwa lengo la kumhonga fedha ili aondoke CHADEMA na kujiunga CCM...
  6. JamiiForums Tanzania Simba inahitaji kiongozi Uwanjani

    Baada ya kuangalia michezo kadhaa ya Simba bila Nahodha John Bocco Simba imeonesha udhaifu mkubwa Sana. Katika mchezo wa leo Simba wamecheza kwa hofu kubwa huku wakipoteza pasi nyingi mguuni. Pamoja na upya wa kikosi Simba haijaonesha uhai wowote katika safu ya ushambuliaji, Kabla ya kumtafuta...
  7. JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar, kiongozi wa HAMAS

    Je, unajua hadithi iliyo nyuma ya picha hii ya kitambo? Mnamo Mei 16, 2021, utawala wa Israel ulishambulia kwa bomu nyumba ya Yahya Sinwar iliyoko Khan Yunis, kwa nia ya kumuua. Vyombo vya habari vya Kiebrania viliripoti kwa ujasiri kwamba misheni hiyo ilifanikiwa na kwamba walikuwa wamemwondoa...
  8. JamiiForums Tanzania Raisi mpya wa Iran na kiongozi mpya wa Hamas ni wakali zaidi kuliko wenzao waliotangulia.

    Ile kampeni ya kuua viongozi na makamanda wa makundi pinzani kwa utawala wa Israel bado haijaonekana kufanya kazi kama ilivyokusudiwa. Raisi Ibrahim raisi wa Iran alifariki kwenye ajali ya ndege miezi 2 iliyopita.Katika uhai wake hakuwa na mzaha na utawala wa kiyahudi huko Israel.Yeye ndiye...
  9. JamiiForums Tanzania Yahya Sinwar: Huyu Ndiye Kiongozi Mpya wa Hamas

    MODS: Mumeharibu uzi wangu kwa kuchanganya na habari za uwongo. Narudia ku-post upya. Tafadhali uacheni. Yahya Sinwar ameteuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa Hamas kumrithi Ismail Haniyeh aliyeuliwa majuzi akiwa Iran na mazishi yake yalifanyika Qatar. Yahya Sinwar ndiye aliyepanga na kuratibu mauaji...
  10. JamiiForums Tanzania Washabiki wa kiongozi wa hamasi wakiomboleza!

    Huyu nadhani kwa dua hii zile bikra 72 ni zake. Haiwezan ma elfu haya yamuombee na asiende mbinguni
  11. N

    JamiiForums Tanzania Fuad Shukr, 2nd commander wa Hezbollah na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah auwawa na IDF nchini Lebanon. Hezbollah wathibitisha

    Hezbollah wamethibitisha kuuwawa kwa kamanda wao muhimu ambaye ni moja ya waasisi wake na Mshauri mkuu wa kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah , Fuad Shukr katika shambulizi la anga la kushtukiza katika maficho yake mjini Beirut, Lebanon Jumanne tarehe 30, Julai 2024. Shambulizi la anga...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Muhammad al-Jabari Kiongozi mkubwa wa magaidi wa Islamic Jihad anayeongoza kitengo cha kutengeneza silaha za maangamizi auawa leo asubuhi

    Wadau hamjamboni nyote? IDF yaendelea kutembeza kichapo kwa Viongozi wa magaidi Mashariki ya kati Muda mfupi uliopita gaidi mmoja anayehusuka na kitengo cha silaha na fedha za kikundi hatari cha Islamic jihad ameuawa kwa kombora la ndege. IDF inasema kwamba al-Jabari alikabidhiwa idara/...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Iran yaapa kujibu mapigo juu mauaji ya kiongozi wao mkuu Hassan

    Kwa mujibu wa Hamas, Haniyeh na mmoja wa walinzi wake waliuawa alfajiri ya jana Jumatano Julai 31, 2024 baada ya jengo walilokuwa wakiishi kuvamiwa na kushambuliwa. Baada ya mauaji hayo ambayo Israel inanyooshewa kidole kuhusika ingawa haijakiri, tovuti ya Times of Israel imemnukuu Kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Kwahiyo Lebanon wanaowahifadhi Magaidi wa Hezbollah Kuishambulia Israeli walikuwa wanasubiri Kiongozi wao Auliwe leo ndiyo waseme hawataki Vita?

    BBC: Lebanon yasema haitaki Vita kwa sasa Kudadadeki zao waambieni Israeli ndiyo Kwanza imeanza Kazi na leo Netanyahu kasema Vita ndiyo imeanza rasmi.
  15. U

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hamas kukutana kuchagua mrithi wa Kiongozi wao Mkuu aliyeuawa, wanaotajwa Khaled Mashaal na Khalil al-Hayya

    Wadau hamjamboni nyote? Hizo ni habari mpya kabisa kutokea ndani ya kikundi cha kigaidi cha Hamas Kwamba magaidi hao hawajakata tamaa kabisa Kwamba Baraza/ Shura ya Maimamu yenye wawakilishi wa kikundi hicho kutokea sehemu mbalimbali watakutana muda wowote kuanzia sasa kumchagua mrirhi...
  16. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

    Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri, Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako. Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako. Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani. Ubarikiwe...
  17. JamiiForums Tanzania Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  19. JamiiForums Tanzania Kuongoza hii nchi inahitaji kiongozi msela na dikteta wananchi sio maiti kama alivyosema kenyatta ni punda!

    KIchwa cha habari kimejieleza tayari punda haendi bila mijeledi utawala wa awamu ya tano ulikuwa bora sana kuwahi kutokea nchi hii kulikua na heshima sana husikii nguchiro anapiga kelele!
  20. JamiiForums Tanzania Je, Tanganyika inahitaji kiongozi kama huyu? Kapunguza mishahara ya Mawaziri 30% na kaongeza ya Wafanyakazi 50%

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…