kinyerezi

Kinyerezi is an administrative ward in the Ilala District of the Dar es Salaam Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 5,811.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    DOKEZO TANROADS mna mipango gani juu ya barabara mliyoichimba kutoka Kimara mwisho kuelekea Kinyerezi? Imepita mwaka mmoja hakuna mkandarasi yeyote

    Habari zenu wakuu. Mnamo mwaka juzi (2024) nilibahatika kupita barabara inayotoka kimara mwisho kuelekea bonyokwa mpaka kinyerezi nilikuta ujenzi wa barabara ukiwa upo kwenye hatua za awali. Majumba yaliyozidi katika hifadhi ya barabara yalivunjwa na makatapila yalikuwa kazini kuchimba...
  2. ADESIGN

    Chumba kimoja , sebule na choo ndani kipo, maeneo kinyerezi mbuyuni

    Piga 0684101707 kwa mwenye uhitaji... ( mwenye nyumba )
  3. elite wastes

    Elite wastes kufungua ofisi kinyerezi

  4. F

    Sababu ya polisi wastaafu wawili kuuawa Kinyerezi, wauaji wote walikuwa wazanzibari. Kwenye clip kuna mwarabu

    Ule usiku watu waliouawa pale Kinyerezi, Kweli kulikuwa na uvunjaji wa duka na wakazi wa hilo eneo la Kinyerezi wakapiga simu, wakaja askari waliovalia kiraia. Mazingira ya hao plainclothes police kuja haikufahamika. Nadharia ambayo ilienea kwa kasi ni kuwa polisi walipopokea simu hiyo, wale...
  5. Kisesetusese

    DOKEZO Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni, mageti, Mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji

    Kinyerezi mitaa ya Kanga, mashineni,mageti, mtanzania yabainika kuna wananchi wanatumia mota mashine kuvuta maji. Mameneja wa Kanda ya kinyerezi wamekuwa katika wakati mgumu muda wote wa utendaji wao. Wananchi waliokuwa wakilia maji hakuna tatizo limeanza kuonekana kuna baadhi ya wananchi...
  6. Mwande na Mndewa

    KERO Kinyerezi maji bado tabu,yanatoka mara Moja kwa mwezi licha ya tanki kubwa la Bangulo kuanza kutumika

    Licha ya tanki kubwa la maji la Bangulo kuzinduliwa mwezi march lakini bado maji yamekuwa shida Kinyerezi,maji yanatoka mara moja kila mwezi siku Moja kati ya tarehe 1 hadi 3 lakini cha ajabu Leo ni tarehe 6 June Maji hayajatoka,kama idara ya maji kazi hamuiwezi basi waambieni wananchi waende...
  7. N

    Yas yazindua mnara wa mawasiliano wa 5g Kinyerezi

    Kampuni ya mawasiliano ya YAS imezindua rasmi mnara wa mawasiliano wa teknolojia ya 5G katika eneo la Kinyerezi – Zimbili, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, katika hafla iliyofanyika tarehe 28 Aprili 2025 na kuhudhuriwa na viongozi wa Serikali na wakazi wa maeneo ya jirani. Akizungumza...
  8. Dalali wa Mjini

    Plot for sale Tabata kinyerezi mwisho

    Habari wakuu matajiri. Kiwanja kinauzwa milion 13 kipo kinyerezi mtaa wa dkt joseph kutoka kinyererezi hadi kwenye kiwanja ni bajaji moja ambayo ni 500 kutoka stendi ya bajaji adi eneo la kiwanja kwa pikipiki ni buku, kama una gari binafsi inafika hadi kwenye kiwanja na kwa mguu ni mwendo wa...
  9. Roving Journalist

    TANROADS yatengeneza Daraja la Muda Kinyerezi, Pikipiki, Bajaji na Watembea kwa Miguu waruhusiwa kupita

    Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amesema njia ya muda (diversion) katika eneo la daraja la Kinyerezi sasa inaruhusu waenda kwa miguu, waendesha pikipiki na bajaji kupita, huku magari makubwa yakisubiri mpaka ujenzi ukamilike ndani ya siku mbili au...
  10. Doto12

    KERO Wiki ya Maji Kinyerezi kanga hatuna maji

    Mh Rais ni wiki ya maji lakini kinyerezi hatuna maji. Tumewalilia watendaji wa ukanda huu bila mafanikio. Inavyoonekana upande huu unachangamoto na inakinzana nanmamlaka. Mh Rais hii inavyoonekana hata waziri ameshindwa badala yake amekemea jambo bila kujua tatizo. Tunapokea maji kutoka...
  11. Doto12

    Serikali ya mkoa wa Dar es salaam Fikeni kinyerezi Ilani ya chama cha Mapinduzi inakanyagwa

    Ni mwezi, miezi na mwaka sasa watendaji wa umma wameamua kuwa sikio la kufa. Mnamo mwezi ya saba mwaka 2024 mh waziri alitembelea kinyerezi kuondoa kero ya maji iliyotesa wananchi. Aliiweka chini ya uangalizi wa wizara, cha ajabu mwaka unatimia kero ikiandama wananchi wa saranga na kinyerezi...
  12. Mwande na Mndewa

    DOKEZO Wakazi wa Kinyerezi waamua kuchimba visima kwa sababu ya uhaba wa maji

    Baada ya kifo cha Hayati Rais Magufuli, maji nayo yakafa Kinyerezi. Hivi sasa maji yanatoka mara moja kwa mwezi yakitoka yanakaa masaa matatu yanakatika ikiwemo mitaa ya St Alex kwa Babu Ali hadi Sihaba. Maji ambayo hayana hata presha ya kupanda kwenye tanki yanatoka masaa matatu na kukatika...
  13. A

    KERO Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi

    Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani Tatizo la Maji maeneo haya...
  14. Nyendo

    KERO Responded Tujengewe kivuko imara, hili daraja Mtaa wa Kanga, Kinyerezi Mwisho mvua ikinyesha inakuwa hatari kwa wavukaji

    Jamii Forums imekuwa nguzo muhimu katika jamii, hiyo ni kutokana na kuwezesha Serikali na mamlaka nyingine mbalimbali kutatua changamoto zinazowasilishwa na sisi Wananchi. Kuna daraja liko Kinyerezi Mwisho ukiwa unaelekea kwa Komba ambalo hasa linatumiwa na Watembea kwa miguu, tunapata shida...
  15. Mzee wa Code

    KERO Wakazi wa Pugu, Kinyerezi na Viwege tunalaza magari barabarani kutokana na ubovu wa miundombinu

    Sisi Wakazi wa maeneo ya Viwege na Pugu Kinyamwezi, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam tumekuwa na changamoto ya kuwa na barabara mbovu, ikinyesha mvua ndio kabisa hali inazidi kuwa mbaya kuliko maelezo. Barabara za mitaani kwetu zimeharibika vibaya, hali inayotulazimu kulaza magari mbali na...
  16. Stephano Mgendanyi

    Ujenzi wa Barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi (KM 7) Waanza Rasmi

    Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa kuharakisha ujenzi wa barabara hiyo ya kimkakati. Katika ziara hiyo, Waziri Ulega ameagiza...
  17. ADESIGN

    Nyumba ya kupangisha ipo Kinyerezi Mbuyuni, sitaki madalali

    Nyumba ipo wazi kinyerezi mbuyuni, vyumba vitatu, kimojawapo ni master bedroom, public toilet ipo, jiko la wazi na sebule, ndani ya ukuta kuna nyumba 7, eneo lina utulivu ndani. Kodi ni 450,000 kwa mwezi, na tunapokea kodi ya miezi 6 Mimi sio dalali na sihitaji dalali, wewe kama ni muhusika...
  18. Ojuolegbha

    Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One

    Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
  19. Kasri Homes Tz

    House4Sale Kinyerezi: 2 Storeys 4 Bedrooms House For Sale - Dar

    • Direction: Kinyerezi • Facilities: 4 bedrooms, 2 washrooms • Plot Area: 940 sqm • Document: Title deed • Price: TSH 320 million • Viewing charge: TSH 30,000 . ✓ nyumba (ghorofa) ina vyumba master 2 na kawaida 2; sebule, dining, jiko, stoo, choo ya public na bindo ✓ ina malumalu, gypsum...
  20. U

    Naombeni sapoti yenu, nimefungua Pub yangu Kinyerezi

    Naombeni sapoti yenu. Nimefungua Pub yangu Kinyerezi Mahakamani (Mnadani) inaitwa Run way pub. Asanteni Pia karibuni sana.
Back
Top Bottom