Kinondoni District is a district in north west of Dar es Salaam's central business district, Tanzania, others being Temeke (to the far Southeast) and Ilala (downtown Dar es Salaam). To the east is the Indian Ocean, to the north and west the Pwani Region of Tanzania. The area of Kinondoni is 531 km2 (205 sq mi).
The 2002 Tanzanian National Census showed that the population of Kinondoni was 1,083,913. The census of 2012 showed that the population of Kinondoni was 1,775,049: 914,247 female and 860,802 male. There are 446,504 households in Kinondoni with an average of 4 people per household.The original inhabitants of Kinondoni were the Zaramo and Ndengereko, but due to urbanization the district has become multi-ethnic.
Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026
Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imefungua dawati la huduma kwa wateja katika Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza, kutatua na kutoa suluhu ya changamoto za wateja juu ya huduma za majisafi.
Afisa Huduma kwa Wateja wa DAWASA Kinondoni...
Plot For Sale.
Location: Kinondoni Studio.
-3rd Corner Plot from main road(Kawawa Rd).
Plot size: SQM 450.
Price: TZS 800M. Negotiable.
Document: Title Deed
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee applies.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or...
Ukifika hapo Open University Kinondoni Center Biafra Vyoo ni vichafu sana vimejaa vimeziba na majengo yake chakavu sana, mpaka unajiuliza hivi hapa kuna wasomi kweli??!! Hebu rekebisheni basi hivyo vyoo mnahatarisha afya za wanafunzi.
Afisa Afya Manispaa ya Kinondoni fika hapo ukakague hivyo...
Plot For Sale.
Location: Kinondoni Studio.
-3rd Corner Plot from main road(Kawawa Rd).
Plot size: SQM 450.
Price: TZS 800M. Negotiable.
Document: Title Deed
For more information or to schedule a viewing, kindly contact us. A small viewing fee applies.
Contacts: 0784 829565 or 0767 833345 or...
Mkoa wa Kipolisi Kinondoni kwa kushirikiana na vyombo vya ulinzi na usalama vilivyopo ndani ya Mkoa huo umefanya mazoezi ya pamoja Oktoba 3, 2025.
Mazoezi hayo yaliyofanyika katika viwanja vya Jeshi la Wananchi Mwenge – Kikosi cha Bendi, yalihusisha matembezi mafupi (route match) pamoja na...
Kanisa moja maarufu kinondoni biafra (KRC ) lomekuwa likimkingia kifua muharifu wa utapeli kwa zaidi ya miaka 3 sasa.
Tapeli anatumia njia ya ulokole na muhumini wa pale kanisani, jamaa anauzaga nguruwe kama mboga pale kanisani kila jumapili ila yeye ni bodaboda pale chuo kikuu huria kilichopo...
#yardforsale
YARD HII INAUZWA
IPO KINONDON
BARABARA HII YA MANYANYA
UKITOKEA HUKU KAMA UNAELEKEA SALENDA BAADA YA MSIKITI MKUBWA WA BAKWATA YENYEWE IPO KULIA KABLA YA KUFIKA KWEMYE MAKABURI
PLOT IMEGUSA LAMI
BIASHARA IMENYOOKA
INA TITLE DID SQM 2,956.37.
ENEO ZURI SANA KWA KUJENGA...
Polepole amemuonya Chalamila kuwa hana mamlaka wala uwezo wa kujibu hoja zake. Yeye Polepole alikuwa mjumbe wa kamati kuu akiwa na majukumu maalum, anayejua mambo mengi.
Kaeleza kuwa Chalamila indirectly amemtukana Rais aliposema kuwa eti yeye Chalamila anaenda kufuata mafaili ya Polepole huko...
Nimeandaa nyamachoma festival siku ya jumatatu, natamani mgeni rasmi awe yule PhD holder aliyenibatiza jina la Ponjoro wa Kinondoni.
Akija atatusimulia experience ya kono la baunsa.
Ndugu wana JF nitawawakilisha vyema kumtetea Rais Samia bungeni pamoja na ndugu Abdul ili wasishambuliwe. Nataka...
Kwanza napenda kuwajulisha kuwa mimi nampenda sana mama yangu Rais Samia Suluhu Hassan hivyo maoni yangu hayahusiani na chuki bali mapenzi ya kweli kwake.
1. Sikuridhishwa na mkataba wa DP World, itoshe tu kusema ule ni UTAPELI na lazima kila aliyehusika awajibishwe ili kuwa fundisho kwa...
Wapendwa habari
Kama una namba za dalali au chumba cha kupangisha maeneo ya kinondoni kindly pm me your number so that i can call you , natanguliza shukrani zangu za dhati.
Hayo maeneo ni sehemu ya city centre kwa hiyo yanatakiwa yaboreshwe
Zifuatazo ni njia ntakazotumia kuboresha na kuyafanya ya kisasa ntatumia njia zifuafazo
Hayo maeneo yatajengwa gorofa kuanzia 5 na mpaka 100
Wale wote wenye maeneo watatoa maeneo hayo na kuwapa madeveloper
Madeveloper watajenga...
Hamad Komboza Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania Jumatano hii amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ili kuwania ubunge wa Jimbo la Kinondoni.
Katibu wa Watanzania waishio nje ya nchi 'Daispora' Tanzania, Hassan Maftaha akionyesha fomu ya kuwania ubunge wa Kinondoni baada ya kuichukua leo Jumapili Juni 29,2025.
Fomu hiyo amekabidhiwa na Katibu Msaidizi wa Uchaguzi Wilaya ya Kinondoni, Amosi Richard kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo
Mh. Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, habari ya leo?
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyoeleza. Ningependa kujuzwa, hivi raia anapoidai serikali (halmashauri) inachukua muda gani kulipwa stahiki zake?
Ninawadai Halmashauri ya Wilaya ya Kinondoni pesa kwa mradi wao wa Tarura uliopita kiwanjani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.