kingono

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SIKU YA WANAWAKE: Wapaza sauti, uongozi, ukatili kingono kwa wanawake

    Wakati wanawake wakiadhimisha siku yao leo, wadau wamesema rushwa ya ngono ni tatizo linalotafuna ndani kwa ndani, huku wakitaka wanawake zaidi kuongoza katika sekta mbalimbali nchini. Baadhi ya wadau hao ni Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA) na Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini...
  2. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  3. Nawajua mashoga 5, wote walianza kwa kufanyiwa dhuluma ya kingono utotoni

    Abuu Kauthar Nianze kwa kuelezea uzoefu wangu katika maisha wa kukutana na kuwajua mashoga. Nianze kwa kuomba msamaha kwa jina hilo kwani sina hakika kama ni rasmi na linakubalika kwao. Nimepata kujuana na mashoga watano. Najua kuna makundi mengi katika hao wanaojitambulisha kama jamii ya...
  4. Mada maalumu kwa wahanga wa unyanyasaji wa kingono

    Swali Je kwanini idadi ya kesi za kulawitiana inaongezeka? Nini sababu inayowapelekea watu kulawitiana?
  5. C

    Je, haki za wanawake ni pamoja na kuridhishwa kingono?

    Hivi sasa katika nyakati zetu, haki za wanawake zimekuwa zikipigiwa upatu na makundi mbalimbali ya kijamii wakiongozwa na wanawake wasomi. Wote wamekuwa wakipambana na kitu kinachoitwa mfumo dume. Mapambano hayo ya kudai haki, yameleta maumivu kwa watu wengi wakiwemo wanaume, wanawake na...
  6. SoC01 Mambo ya kufanya kupunguza ukatili wa kingono kwa Watoto

    Ukatili wa kijinsia ni kitendo anachofanyiwa mtu bila ridhaa yake na kumletea madhara mbali mbali kimwili, kiakili au kisaikolojia. Na huweza kutokea kwa wanawake, wanaume, wavulana na wasichana. Wanawake na watoto ni makundi ambayo yameonekana kuathiriwa zaidi na ukatili wa kijinsia kuliko...
  7. Kutomtamani Mwanamke kingono kwenye mahusiano kunamfanya apoteze kujiamini?

    Dhamira ya mapenzi imekuwa ni chumvi kwenye maisha ya kila siku lazima iwepo ili kuwe na radha ya maisha ila isizidi maana inakera na isipungue maana inabaoa. Hivyo leo nimeona nije na uzi huu nadhan mwanamke anapenda mwanaume anavyoonesha kumtamani kingono na kama upo kwenye mahusiano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…