king'asti asprin

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ipe neno picha yangu ya leo asubuhi

    Mtego waPanya huo.................... UTANI KIDOGO! KIM JOUNG UN Ameweka Bendera Ya IRAN Korea Kaskazini Ili TRUMP Afikirie Kuwa Ni Iran. apate Kuipiga Korea ya Kaskazini.......
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    Jerusalem leo yageuka kama Gaza, Makombora toka Iran yameshushwa kama mvua 30 Km za Maraba zimeharibiwa vibaya sana

    Jerusalem today looks like Gaza .. IsraHELL you get what you deserve
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mtakumbuka huu UJUMBE , tunaelekea Tanzania kuwa kama ZIMBABWE.Ameandika Mheshimiwa Godbless Lema

    Dhahabu ya taifa si “pesa iliyoko mezani,” bali kinga ya taifa, inadumisha thamani ya sarafu, inakabiliana na mfumuko wa bei, na inavutia uwekezaji. Kuiondoa kutoka hazina au kuuza zote mara moja ni kujipiga makofi. Ni hatari isiyo na kifani. Hatari hii si ya nadharia tu, bali ni kielelezo cha...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wakili Boniface Mwabukusi amemtaka Jaji Mkuu wa Tanzania asiruhusu kesi kama hizo. Tundu Lissu atolewe

  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    RAIS SAMIA akabidhiwa Gari Na Wa-Tanzania Wenye Urai Wa Oman

  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba29 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti

    Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa – vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za...
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Serikali ya Tanzania imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge

    Serikali imempiga Marufuku Dawa ya Kutibu Maradhi ya Uvimbe WaTezi Dume ya Dr Samsung Misango Asiuze.Kwani Anaharibu biashara ya vidonge Vinavyouzwa na serikali na kufanya Operesheni ya Tezi Dume wagonjwa hawaendi tena kutibiwa Hospitali.Kwani Dawa Za Hospitali haziwezi kuponyesha Maradhi ya...
  8. M

    PostGE2025 Abdallah Makame: Oktoba 29 watu waliokuwa na silaha waliua wenzao na kuvamia vituo vya polisi

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi. Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    Laiti Kama ni Mimi ni Kiongozi wa Nchi ningewafukuza kazi Viongozi Wakuu wahusika Wa idara ya Maji na kumuondoa Waziri Wa Nishati

    Tuna Mito, Maziwa lakini Maji safi hatuna lohhh Majangaa kweli nchi yetu. Ni jambo la Aibu tangu tupate uhuru ni zaidi ya miaka 60 bado Wananchi wanahangaika kupata maji safi? Wakati idara na Wizara inauohusika Viongozi wake wapo maofisini wanaupiga mwingi. Maji hayo kiafya hayafai kabisa...
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ulaya Baridi Kali kuna barifu nyingi sana Kaka bora tubaki huko huko Home huku hakufai au wewe unaonaje ?

  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    MAREKANI: Rwanda inahatarisha Usalama wa eneo la Afrika Mashariki

    Haya yanajiri siku chache tu baada ya kusainiwa makubaliano ya amani yaliosimamiwa na Marekani. Awali balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa Mike Waltz, aliliambia Baraza la Usalama la Umoja huo kwamba, badala ya kupiga hatua kuelekea amani, Rwanda inaongoza eneo hilo kuelekea ukosefu wa...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    John Heche amtumia Ujumbe wa wazi Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba

  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    Usinywe TENA Dawa Hizi TANO ( 5 ) Ukiwa Na MALARIA

  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    VIDEO: Faida mojawapo inayopatikana kutokana na maandamano

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    Alhamdulillah Wananchi wametii amri ya Serikali, Hali ni nzuri sana mpaka muda huu

  16. Herbalist Dr MziziMkavu

    Wosia wa Baba wa Taifa. RIP Baba wa Taifa Tanzania, Mwalimu Nyerere

  17. Herbalist Dr MziziMkavu

    Maisha ya Ulaya Ni Magumu sana...............

  18. Herbalist Dr MziziMkavu

    Ninajipongeza leo siku kuu yangu ya kuzaliwa, HAPPY BIRTHDAY TO ME

    Today is My Happy Birthday nina jipongeza mwenyewe siku yangu ya kuzaliwa Ninawakaribisha Marafiki zangu wote karibuni tusherehekee sikukuu yangu ya kuzaliwa. Karibuni nyote. . ...
  19. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Hakuna dini ya ku-override serikali, toka niingie madarakani TEC wametoa nyaraka 8

    Rais Samia ameongeza kwa kusema "Kama haumpendi kiongozi aliyeko juu, basi vumilia wakati wake utaisha tu". Amesema tangu aingie madarakani, TEC wametoa matamko 8 Pia Soma: Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC): Wote waliokamatwa kwa kudai haki, wakiwemo viongozi wa vyama vya kisiasa...
  20. Herbalist Dr MziziMkavu

    Mwili wa Joshua Mollel umewasili nchini Tanzania

    Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel aliyeuawa na Hamas kuwasili leo kutoka Israel Maelezo ya picha,Mwili wa Mtanzania Joshua Mollel ukiagwa nchini Israel kabla ya kurudishwa Tanzania, aliuawa na Hamas katika shambulizi la oktoba 7. Mwili wa Joshua Loitu Mollel, raia wa Tanzania mwenye umri wa...
Back
Top Bottom