kinana

  1. Blender

    Msikilize BaBa Aminata, afunguka siri nzito

    Zakuambia changanya na za kwako. je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama. CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura, Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu. Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana...
  2. Sales man

    Huyu Dada anayejiita Aminata aliyesema Baba yake ni kinana , hakutumia Akili amejiharibia sehemu kubwa sana ya Maisha yake.

    Huyu , Aminata nilimwambia njia aliyoitumia kumbagaza Mzee Kinana haikuwa sahihi. Hata angekuwa baba yake kweli lazima angejitafakari Sana kabla ya kufanya maamuzi hayo. Pole Sana Aminata Elimu yako haijakukomboa .
  3. Zanzibar-ASP

    Baada ya Pole Pole kutubu (alivyoratibu CCM kuiba kura kimfumo), ipo siku January Makamba, Nape au Kinana nao watakuja kutubu

    Mungu sio Athumani, na wala Mungu hadhihakiwi, ipo siku mbichi na mbivu za michezo michafu ya wizi wa kura inahusishwa kufanywa na January Makamba, Nape Nnauye na Kinana itawekwa wazi na wao wenyewe huku wakitubu kwa machozi. Nipo paleeee!
  4. Gabeji

    Abraham Kinana kimya sana komredi kulikoni?

    Bila shaka wewe umepitia mafunzo ya kijeshi na umekula viapo vingi sana vya kizarendo, kulinda Taifa, kwa ajili ya masilai maana ya nchi yetu Tanzania (Tanganyika). Toka hadharani basi, uunganishe nguvu na wazalendo wenzio. Kama Mzee Warioba, Butiku, poleple, Tundulisu, Gwajima nk Ukimya...
  5. Yoda

    Ugomvi wa Nape, January, Kinana dhidi ya JPM ulitokana na nini hasa?

    Siasa za nchi hii zinachanganya sana, wote tunakumbuka jinsi hawa mapacha watatu walivyokuwa hawaivi chungu kimoja kabisa na Magufuli mpaka wakanaswa wakiwa wanamsengenya huku wakitengeneza waraka mzito na mpango wa kuutoa kwenye vyombo vya habari kutikisa nchi. Jambo ambalo sijawahi kuelewa...
  6. Hance Mtanashati

    Msimsahau Kinana katika watu waliomtosa SSH

    Katika watu waliomtosa SSH ,msimsahau Kinana .
  7. Lord Denning

    Godbless Lema, The New Kinana in Tanzania Politics!! Salute kwake!!

    A man to watch, Godbless Lema!! Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana. Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini...
  8. Li ngunda ngali

    Kinana mwenye miaka 76 kastaafu na Wassira mwenye miaka 80 kachukua nafasi

    Ukistaajabu ya Musa hakika utayaona ya Filauni! Kinana (76Yrs) kampisha Mzee Wassira (80Yrs) kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM.
  9. Zanzibar-ASP

    Siamini kabisa kama Ndugai, Chongolo, Kinana na Mpango waliomba wenyewe kujiuzulu. Lazima kuna jambo!

    Utamaduni wa kujiuzuru kwa viongozi wa CCM haupo na haujawahi kuwepo. Tunapoona kiongozi yoyote wa CCM anaomba kujiuzuru basi kwa 100% tunajua ni shinikizo kutoka ndani sana likiratibiwa na mfumo chini ya kiapo cha mwenye mamlaka kuu ya nchi. Kisa cha kujiuzuru kwa Jumbe wakati akiwa rais wa...
  10. Pascal Mayalla

    Zijue Sababu za Kwanini ni Wasira?, He is The Right Man at The Right Time & The Right Place. It Is A Project!, Ikikamilika, Atang'atuka, Kama Kinana!

    Wanabodi, Nami niko hapa Dodoma Jiji kuhudhuria Mkutano Mkuu wa CCM. Rais Samia katupiga bonge la surprise ya mwaka kututeulia Stephen Wasira kuwa M/Mwenyekiti CCM Bara!. Wakati Comred Kinana aking'atuka, aliomba kupumzika, na kutoa sababu ni kupisha vijana, damu changa, damu chemka...
  11. Zanzibar-ASP

    Tetesi: Msigwa ajiandaa kuondoka CCM ikiwa safari hii mkeka wa mama hautamkumbuka?

    Wakati wowote ndani ya wiki chache zijazo huenda mchungaji Peter Msigwa akaamua kuondoka CCM na kurejea Chadema, ambapo rafiki yake mkubwa Lissu akitegemewa kuchukua kiti cha uenyekiti wa Chadema. Tayari kuna tetesi zinasema Msigwa ameweka masharti ya kuendelea kubakia CCM kwa kupewa nafasi ya...
  12. milele amina

    Mrithi wa Kinana kujulikana Januari 19 Dodoma, Fomu za kugombea na kuomba nafasi hiyo zinapatikana wapi?

    Ninaomba,msaada wenu! Mimi ni mwanachama wa CCM tangu mwaka 1977. Ninahitaji kupata fomu kugombea nafasi ya Kinana! Fomu zinapatikana wapi!
  13. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi

    Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
  14. S

    Mara paap! Kinana kawa makamu mwenyekiti wa chadema. Inhiiiiiiii!

    Sijui maccm wataficha wapi nyuso zao? Makonda na Samia kama nawaona vile wanavuonuna.
  15. The Father of All

    PreGE2025 Kinana na Makamba wameishia wapi na watakuwa upande gani kwenye uchakachuaji wa mwakani?

    Hawa makada wameishia wapi na watakuwa wapi na upande gani kwenye uchakachuaji ujao mwakani?
  16. L

    Kinana na Jakaya Kikwete ana kwa ana msibani kwa Jenerali David Musuguri

    Ndugu zangu Watanzania, Hivi Ndivyo Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete na Katibu Mkuu Mstaafu na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa mstaafu Ndugu Abdulhaman Kinana walivyokutana uso kwa uso na kubadilishana mawazo na stori za hapa na pale walipokuwa msibani kwa...
  17. T

    Hivi ni kwanini CCM hawajazi nafasi iliyoachwa wazi na Kinana?

    Hivi ni kawaida kwamba miezi mitatu sasa imepita tangu ajiuzulu lakini hawajaweka mrithi wake shida Iko wapi?!?
  18. R

    PreGE2025 Mchungaji Peter Msigwa, taratibu zimefuatwa kujiuzulu Kwa Mzee Kinana?

    Salaam, Shalom!! Tangu uhame CHADEMA kwenda CCM umekuwa ukihuburi udikteta wa Mwenyekiti Mbowe kwamba hafuati taratibu nk, nk. Muda uliokaa CCM nadhani umekwishasoma Katiba, Ilani na Sheria na taratibu za chama na kuzielewa, Swali: Ndugu Msigwa, kujiuzulu Kwa Makamo Mwenyekiti wa Chama chako...
  19. B

    Tetesi: Ummy Mwalimu kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM kuziba nafasi ya Kinana

    Siku chache kabla ya Rais Samia Suluhu Hassani kumtimua Ummy Mwalimu kwenye nafasi ya waziri wa Afya alipata kusema kwenye kikao kimoja baada ya Ummy kumwaga sifa lukuki kwa Rais kuwa ukitaka jambo lako lisemwe vizuri basi mwambie Ummy Mwalimu akusemee. Baada ya kauli hiyo siku chache mbele...
Back
Top Bottom