kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita afungua kongamano la saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani)

    Waziri Tabia Mwita Afungua Kongamano la Saba la Kiswahili la Kimataifa (Kiswahili na Diplomasia Duniani) Serikali ya Zanzibar imesema lugha ya kiswahili ina mchango mkubwa katika kukuza diplomasia ya uchumi hivyo ni wajibu kwa taasisi zinazofundisha lugha hiyo kuongeza kasi ya kuikuza na...
  2. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa Tanzania inakwenda kuwa kitovu cha Tiba Utalii kwa kutoa huduma za Afya kwa wagonjwa maalumu wa ndani na nje ya nje. Waziri Ummy amesema hayo leo Novemba 28, 2023 baada ya kufungua mradi wa kliniki mpya ya wagonjwa maalum na wa kimataifa iliyopo...
  3. JamiiForums Tanzania Tuna washauri wangapi wa kimataifa kwenye uchumi? Mwenye kujua anijuze tafadhali

    Kama swali linavyo uliza hapo juu. Ningependa kufahamishwa taifa letu lina washauri wangapi wa kimataifa katika uchumi na kutoka nchi gani? Mwenye kujua anijuze tafadhari.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  6. JamiiForums Tanzania Wana yanga sc tuna jambo letu ikifika saa 7 kamili usiku tunatambulisha uzi wa kimataifa

    𝐔𝐙𝐈 bora kwa Mashindano Makubwa Afrika ni Saa 7 Usiku! Mwananchi Kaa Tayari….. #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
  7. JamiiForums Tanzania Novemba 19, 2023: Siku ya Kimataifa ya Wanaume, una ujumbe gani kwao leo?

    Novemba 19 ya kila mwaka, huadhimishwa kama Siku ya Kimataifa ya Wanaume kwa lengo ka kutambua michango ambayo Wanaume hutoa katika Familia na Jamii kote duniani. Pia, Siku hii inalenga kuongeza ufahamu kuhusu takwimu za juu za Wanaume kujiua ikiwa ni eneo ambalo mara nyingi hupuuzwa wakati wa...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita: Ukarabati Uwanja wa Amani Una Lengo la Kuufanya Ukidhi Viwango vya Kimataifa

    Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na wenye kukidhi viwango vya kimataifa. Ameyasema hayo alipokuwa akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu. Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
  10. JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, hauna tiba zaidi ya Insulin for life. Je, tiba asili na tiba mbadala ni Effective?

    Wanabodi, Leo ni Siku ya Kimataifa ya Ugonjwa wa Kisukari, huu ugonjwa uko kwenye kundi la magonjwa yasiyo ambukiza, ugonjwa huu hauna tiba za kihospitali zaidi ya kudungwa sindano ya Insulin for Life! kwa maisha yako yote. Kuna wanganga wa kienyeji wa tiba asili na riba mbadala ambao...
  11. JamiiForums Tanzania Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  12. JamiiForums Tanzania Kuelekea Tuzo za Muziki Tanzania (TMA): BASATA yaunda kamati maalumu ili kufanya TMA kuwa na hadhi ya kimataifa

    TAARIFA KWA UMMA KUANZA KWA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YA KAMATI YA KITAIFA YA TUZO ZA MUZIKI TANZANIA (TMA) Baraza la Sanaa la Taifa linapenda kuufahamisha umma wa Watanzania na wadau wote wa sanaa kuwa Kamati ya Kitaifa ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) imeanza rasmi kutekeleza majukumu yake kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Barabara hii ya kimataifa na lango la uchumi, serikali iiangalie .

    Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi. Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili. Barabara ina...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Miundombinu mibovu ndani ya jiji la Arusha. Barabara za lami,ndani ya jiji la Arusha barabara nyingi za lami ni nyembamba na haziendani kabisa na wingi wa magari yaliyopo. Barabara za vumbi,jiji la Arusha limezungukwa na barabara za vumbi kila kona,hii ni aibu kubwa sana kwa jiji ambalo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  16. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Walinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR 9 Juni 2023Haki za binadamu Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Tabia Mwita Azinduza Tunzo za Kimataifa za Muziki Zanzibar

    Waziri wa habari vijana utamaduni na michezo Mh. Tabia Maulid Mwita, amesema Serikali itaendelea kusimamia sanaa ya Zanzibar katika kuimarisha miundombinu itakayowawezesha wasanii kuzalisha kazi zao katika mazingira mazuri. Akizungumza katika uzinduzi wa tunzo ya Zanzibar International Music...
  18. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Salim, Dkt.Tulia atairudisha nchi katika unguli wa diplomasia ya kimataifa. Tumuombee, anaweza kuwa Katibu mkuu ajaye wa UN

    Kwanza, ninampongeza sana Spika Dkt.Tulia kwa ushindi wa kishindo kama Rais wa IPU, kama Taifa linajivunia juhudi na jitihada zake za kuitangaza nchi kimataifa. Spika Tulia au tumuite Rais wa IPU ni jasiri na mpambanaji na historia yake inajieleza vema. Kwa ufupi ni mwanamke wa shoka na yuko...
  20. JamiiForums Tanzania Najib Mikati, Waziri Mkuu wa Lebanon: Jeshi la Lebanon ni nguzo ya muundo wa taifa

    Kaimu waziri mkuu wa Lebanon, Najib Mikati hapo jana alifanya ziara ya kushtukiza kusini ya nchi yake na mpakani na Israel.Katika ziara hiyo aliambatana na kamanda mkuu wa majeshi ya nchi hiyo, Joseph Auon. Katika ziara hiyo alikagua vikosi vya UNIFIL na kusema alifika eneo hilo pendwa la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…