kimataifa

  1. JamiiForums Tanzania Tanzania imeshindwa mitihani mitatu ya kimataifa ndani ya Agosti 2026

    Kutoka kwenye uhuru wa kisiasa hadi amani na uwazi wa matumizi ya fedha za umma, ripoti tatu za kimataifa zimeweka Tanzania kwenye mizani isiyopendeza. Kinachozua maswali si nafasi pekee ambazo nchi imepata, bali mwelekeo unaoonekana katika maeneo yanayogusa moja kwa moja utawala, usalama wa...
  2. JamiiForums Tanzania Nini faida ya Asasi za Kiraia na mikataba ya kimataifa juu ya utawala bora kama Serikali inakiuka makusudi?

    Habari wana JF Kama kichwa kinafyojieleza hapo juu. Hii mikataba mbalimbali ya kimataifa ambayo serikali husaini kwa ajili ya ushirikiano wa kimataifa na upatikanaji wa fedha za maendeleo kwa namna mbalimbali ni namna gani huleta faida/msaada endapo serikali itaamua kwa makusudi ya maslai yake...
  3. JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Tundu Lissu aachiwe huru, atafutwe msuluhishi huru wa kimataifa ili kulinusuru taifa

    TAARIFA KWA UMMA YA NDG. LUHAGA JOELSON MPINA KUHUSU UCHAMBUZI WA RIPOTI YA JUMUIYA YA MADOLA KWENYE KIKAO CHA 73 CHA DHARURA CHA MAWAZIRI WA MAMBO YA NJE NA UONGOZI WA KIDEMOKRASIA (CMAG) KILICHOFANYIKA TAREHE 10 JULAI 2026 KUHUSU HALI YA KISIASA NCHINI TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA...
  4. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu, ona ulivyo chafua Tanzania kimataifa

    Royal tour imegeuka kuwa roho toa. Serikali ya Tanzania imechafuka kimataifa. Watanzania hawatakuzomea uone aibu, bali watakulaani wewe na kizazi chako. 29.10.2025 haitasahaulika. Ndo kitu pekee wajivunia. Itatuchukua miaka kujenga ulipo bomoa. Chawa walaniwe, hakuambiii ukweli unavyo chukiwa.
  5. JamiiForums Tanzania Semu: Maridhiano ya kweli, Serikali iwaachie huru wafungwa wa Kisiasa, iruhusu uchunguzi huru wa Kimataifa wa Oktoba 29

    Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji. Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Rio Ferdinand hadi DJ Khaled: Kwanini diplomasia yetu ya utalii inafeli na kutia Taifa aibu kimataifa?

    Wana-JF salam, Hali ya mambo mitandaoni imezidi kuchafuka baada ya picha na video zikisambaa zikimwonyesha msanii na prodyuza nguli wa Marekani, DJ Khaled, akiwa ameshika jezi ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars) yenye nembo ya "Visit Tanzania". Kurasa nyingi za udaku, huku zikipewa nguvu na...
  7. JamiiForums Tanzania Tuiombe jamii ya kimataifa itusaidie kukomesha ugaidi TANZANIA

    Naona serikali ina hamu ya ugaidi Yaani kuwepo ugaidi TANZANIA jamii ya kimataifa ikae kimya Leo vijana wadogo kabisa wanayuo wa chadema wamepewa kesi za ugaidi Wanachama 23 wa chadema wamepewa kesi y ugaidi Mhadhili chuo ya Udom amepewa kesi ya ugaidi Hii sio nzuri polisi tendeni haki
  8. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi atembelea Banda la GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametembelea banda la kampuni ya GF katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba), wakati wa hafla rasmi ya kufunga msimu wa maonesho ya mwaka 2026. Katika ziara hiyo ya heshima...
  9. JamiiForums Tanzania IMF yaipatia Tanzania Dola Milioni 443.9 baada ya kukamilisha Tathimini ya Mwisho

    Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), limeidhinisha kutolewa mara moja kwa takriban dola za Marekani milioni 443.9 kwa Tanzania baada ya kukamilisha tathmini za mwisho chini ya programu za Extended Credit Facility (ECF) inayohusisha upatikanaji wa mkopo nafuu kwa ajili ya kuimarisha uchumi wa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  11. JamiiForums Tanzania Kama maslahi ya walimu nchini ni madogo, kwanini walimu wasiombe ajira kwenye nchi za kimataifa zinazolipa vizuri?!

    Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia vigezo na taratibu za kuomba ajira nikaona vyote ni rahisi na vinawezekana. Nilichojilaumu ni mimi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Siku 30 za CW zinatoa nguvu kwa maandamano ya 8/8 katika uso wa jumuiya ya kimataifa. Je mwaka huu utakuwa mwaka wa maandamano na migomo?

    Katika hali ya kipekee October 29 ni kama jana, hii siku haijafutika katika vichwa vya Watanzania wote na ukisoma Barua ya Common wealth, kuanzia siku 30, 60, 90 yote yanatoa nguvu Kwa maandamano ya 8/8 hadi October 29 kuwa na sura ya shinikizo la kimataifa na kuungwa kwake. Hizi siku 30...
  13. JamiiForums Tanzania Tuletee mwanao leo tumlee kwenye level za kimataifa.

    SPROUTS PRE & INTERNATIONAL SCHOOL – UPANGA, DAR ES SALAAM Je, unatamani mtoto wako apate elimu bora katika mazingira salama, yenye upendo na yanayojenga msingi imara wa mafanikio? Sprouts Pre & International School inafungua rasmi Usajili wa Wanafunzi kwa Mwaka wa Masomo 2026. Tunapokea...
  14. JamiiForums Tanzania Ni Wakati Sasa JF Kuanzisha Mfumo wa Kuwalipa "Content Creators" Wetu. Huu Ndio Ukweli wa Kisheria na Kiuchumi.

    Wakuu salama, Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini. Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
  15. JamiiForums Tanzania C-C Digital Pro ya anzishwa na Civilian-Coin kuokoa Sanaa Kimataifa

    Civilian-Coin introduces new production branch, "C-C Digital Pro", is a comprehensive digital media agency. They specialize in high-quality motion graphics for video, still picture production, and serve as a fully equipped recording studio for music and films. Core Services: C-C Digital Pro...
  16. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Ford Foundation Misaada au Mtego wa Kimataifa? Historia ya FF je ina mchango wowote klatika uchochezi wa machafuko popote Duniani haswa Afrika

    Uchunguzi wa Kina · JICHO La Afrika 2026 | Makala ya Uchunguzi Uchunguzi Maalum NA ITS MALEKOGJ. malekoj27@gmail.com 0798888486 Ford Foundation: Siri Zilizofichwa kwa Miaka 70 — Jinsi Philanthropy Inavyoweza Kuwa Silaha ya Kisiasa Kipindi TUTAKACHOANGALIA 1936 – 2025 Nchi Zilizohusika...
  19. JamiiForums Tanzania Bingwa Wa Dunia Wa Masumbwi Crawford Kuitangaza Serengeti Kimataifa

    Katika muendelezo wa kuitangaza Tanzania duniani kupitia utalii wa michezo, leo Mei 28, 2026, bingwa wa masumbwi duniani, Terence “Bud” Crawford, amekabidhiwa rasmi ubalozi wa utalii baada ya kukutana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji. Tukio hilo limefanyika ndani ya Hifadhi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom M-Pesa na PayPal Washirikiana kurahisisha malipo ya Kimataifa kwa Watanzania

    Na Mwandishi Wetu DAR ES SALAAM – Vodacom M-Pesa Tanzania imetangaza ushirikiano mpya na PayPal utakaowezesha wateja kufanya miamala kwa urahisi kati ya akaunti zao za PayPal na pochi za M-Pesa kupitia M-Pesa Super App, hatua inayolenga kupanua upatikanaji wa huduma za kifedha za kidijitali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…