kimaendeleo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    Miaka ya 60 tulikuwa tunalingana na Korea kimaendeleo, hawa jamaa walijikwaa wapi mpaka tukawaacha mbali kiasi hiki!

    Leo asubuhi nilikuwa naangalia tv moja ya Korea kusini nilishangazwa na maendeleo hafifu ya hawa jamaa na nilipoangalia historia nikakuta kumbe miaka ya Uhuru tulikuwa karibu sawa. Wakati Tanzania tumepiga hatua kubwa kiasi hiki wao bado wamelala usingizi mzito. Sisi tunatengeneza Magari...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    Mkoa wa Mara ni moja ya mikoa ya iliyo nyuma kimaendeleo katika nchi hii

    Nimefika wilaya ya Tarime daah ni hovyo kwelikweli, stand ni mbaya. Hakuna daladala zaidi ya probox mnawekwa hata 10 hadi kwenye buti huko. Sehemu kubwa ya wilaya na mkoa ni pori tu, ikifika saa mbili watu wamelala mji hauna watu. Maji ni tatizo japo wamepakana na ziwa victoria. Watu wa huko...
  3. Lole Gwakisa

    Mbeya: Baraza la Madiwani wasutwa kwa kutokuwa na lolote la kuonyesha kimaendeleo!

    Madiwani wa Mbeya , msikie hayo madongo. Mnajali posho zenu tu, mmeifanyia nini Mbeya? Soko lililo ungua tulitegemea Mbeya Shopping Mall! Mmekaa tu na kusugua mabenci kwa vikalio. Sasa RC Homera amewapasha vizuri!
  4. M

    Watanzania wenye akili wanataka kuona nchi inakimbia kimaendeleo na si Ikulu Mpya kusifiwa na Wanafiki na Mafisadi

    Narudia... Watanzania wenye Akili wanataka kuona nchi inakimbia Kimaendeleo na si Ikulu Mpya ikisifiwa na Wanafiki na Mafisadi. Kwa mfano Ikulu ya Rwanda ni ya kawaida mno kuliko hata zote Afrika ikikaliwa na Rais Intelligent (brainy) Paul Kagame na nchi yao inakaribia hata kuziacha nchi...
  5. GENTAMYCINE

    Hivi Wazungu masikini nao wakitajirika ghafla huanza dharau kama baadhi ya Waafrika waliozibahatisha?

    Yaani Mswahili (Mtanzania) akiwa na maisha ya kimasikini/kifukara kama GENTAMYCINE siku akizibahatisha/akizipata tu ghafla utamuona anaanza kubadilika kitabia kwa kuanza kuwa na maringo (majipu), dharau, sanifu na unafki mwingi. Sijawahi kwenda au kuishi Ulaya (Marekani) na sitarajii kwenda...
  6. ChoiceVariable

    Mufti Zubeir: Serikali inunue chombo cha kutazamia mwezi

    Swali, Je ni jukumu la Serikali kufanya masuala ya dini? Pili,Kuomba Serikali ifanye sio vibaya maana ni ombi. === Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir amekemea ufisadi, akihimiza jamii kulinda maadili, umoja na mshikamano, huku akiwaomba viongozi wa Serikali na wadau kusaidia upatikanaji...
  7. L

    Rais Samia amepambana kishujaa na kijasiri kulifikisha hapa taifa kimaendeleo

    Ndugu zangu watanzania, Kwa hakika Rais Samia Anastahili pongezi kutoka kwa kila mtanzania mzalendo, Rais wetu Ni mpambanaji na aliyepambana kishujaa na kijasiri Sana kwa ajili ya Taifa letu, Amepambana kwa nguvu zake zote kuhakikisha kuwa licha ya mdororo wa uchumi wa kidunia uliosababishwa...
  8. R

    Walioitenga Kanda ya Kaskazini wakitamani imomonyoke kimaendeleo wapo wapi?

    Kuna kakikundi Ka watu kalijiaminisha kwamba kanaweza kuidhorotesha Kanda ya Kaskazini kiuchumi na kisiasa kama walivyofanya Kanda ya Kati lakini Mungu amewaumbua kwamba wachapa KAZI dawa Yao siyo kuwaonea wivu Bali nikuwaongezea nguvu wachape KAZI zaidi. Mimi naangalia Dodoma ilivyokufa...
  9. GENTAMYCINE

    Kiongozi wa nchi kutuambia Wananchi kuwa Mawaziri na Makatibu wa Wizara Wanagombana kuna faida gani Kimaendeleo?

    Sasa kama Wewe Kiongozi umeshindwa Kuwapatanisha wakati Unawamudu na ndiyo Umewateua kuwa hapo kwa Kukurupuka Kwako pasi na kuwafanyia Vetting au Kutokubali Ushauri wa Wasaidizi wako unataka Sisi Wananchi tuseme nini? Hebu acheni Kutusanifu Wananchi.
  10. Kaka yake shetani

    Nchi inayoangaliwa kufikishwa kimaendeleo kama Afrika Kusini ni Tanzania ila CCM ndiyo inapoteza muda

    kila mtu unayemuuliza sehemu nzuri ya kuweza kufanya maendeleo africa utaambiwa tanzania ila kitu kimoja kinacho waogopesha ni hii serikali iliyopo ya ccm na kipindi kilichopita cha mwendazake. Kama mnakumbuka Fastjet ilikuja kuleta mapinduzi ila walichofanyiwa,tuache hayo ni mengi tu...
  11. chiembe

    Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  12. kagoshima

    CCM wanaongoza nchi kisanii, ngumu sana kwa Tanzania kusonga mbele bila mbadala

    Nitataja mambo kadhaa 1. Kwanini mchakato wa katiba mpya awamu ya pili ya Mh Jakaya utumie mabilioni ya pesa kisha uwe abandoned kirahisi tu hivi????. Hizo fedha zingesaidia kumaliza tatizo la maji mikoa kadhaa yenye shida ya maji. They don't care 2. Baada ya zoezi la sensa meseji zinazotumwa...
  13. mgt software

    Ushuhuda wa kweli: Jinsi mdudu mchwa alivyobadirisha maisha ya watu kimaendeleo na kutoa ajira kwa vijana

    Wana JF. Katika pita pita zangu nimeweza kudadisi kudadisi ni kwanini kumeibuka ujenzi wa kasi namna hii iliyopo hasa maeneo ya kanda ya ziwa hususani Kagera na Geita. Ningeweza kusema Kagera tu lakini kile kipande kilichochotwa na kupeleka Geita kimebadili stori. Kwanini mchwa ndio chanzo...
  14. Z

    Nchi kama Tanzania zinazoamni katika ushirikina haziwezi kusonga mbele kiuchumi na kimaendeleo

    Nimesoma hii habari kuwa Tanzania ni nchi ya pili katika kuamini ushirikina nikashtuka sana. Lakini ni ukweli usiopingika kwamba hata mikoa inayoaminika kwa ushirikina haina maendeleo kivile mikoa hiyo ni pamoja na Kigoma, Sumbawanga nk!! Yaani mtu anaamnini katika mizimu kwamba inaweza...
  15. google helper

    SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  16. demigod

    Majivuno ya CEO Barbara Yanairudisha nyuma Simba kimaendeleo

    Sikiliza Mtani. Masikhara tuyaweke pembeni, ila kuhusu huyu mwanadada nakushauri apewe rikizo ndefu tena isiyo na maelezo ya atarudi lini. Niliwahi kuzungumza hapa jukwaani. katika dunia ya sasa utapigiwa makofi lukuki pale utakapo jaribu kuzingatia sana usawa wa kijinsia pasipo kuweka...
  17. GENTAMYCINE

    Tanzania yenye Wabunge wenye Poor Thinking kama hii na walio 'very Sycophant' ndiyo mnategemea ipige Hatua Kubwa za Kimaendeleo?

    "Leo wananchi wanahamishwa, unapelekwa eneo unajengewa nyumba, unakuta hospitali, shule, unapewa hati ya nyumba, mimi naomba leo nitangaze rasmi naitwa Ole Kishoa ili nipelekwe kule na mimi nikapewe nyumba ya bure kabisa" - Jesca Kishoa, Mbunge Viti Maalum. Chanzo: EastAfricaTV Huwa napenda...
  18. M

    Ukishikamana na Mchina atakunyonya hadi Ukome, ukishikamana na Mmarekani atakuhujumu hadi Ujute je, yupi ni sahihi Kwetu Kimaendeleo?

    Kazi yangu kubwa leo katika huu Uzi ni kusoma tu Maoni ( Comments ) za JamiiForums Great Thinkers (Werevu ) ili nami nijue na nijifunze mengi kisha nije kuwa kama nyie. Karibuni nikitumai na walioko Washington sasa ikiwa ni saa 6 ikienda saa 7 za Usiku kama bado hawajalala watapata nafasi ya...
  19. Idugunde

    Tungekuwa na Marais wengine wenye uthubutu na ujasiri kama Hayati Magufuli tungekuwa wapi kimaendeleo hii miaka 60?

    Hayati JKN siwezi kumlaumu sana maana wakati akitawala enzi hizo nchi nyingi zilikuwa bado hazijajitambua na mkono wa mataifa ya nje ulididimiza mataifa ya kiafrika. Chukulia tu kwa awamu tatu zilizopita kila moja ingethubuti kutekeleza miradi mikakati mikubwa ya maana ya kimaendeleo leo...
  20. Sijali

    Sababu za Tanzania kupitwa kimaendeleo na nchi nyingine

    Tanzania, kwa historia yake, rasilimali zake (watu na mali) na amani yake ingekuwa moja ya nchi tano Afrika zinazoongoza. Lakini kiuhalisia, inashindwa mbali na vinchi kama Senegal, Cote d'Ivoire, Botswana, Ghana. Ingawaje tuna GDP kubwa kuliko nchi hizo. Hakuna mchawi, isipokuwa tumeanza...
Back
Top Bottom