Mradi wa Maji wa Miji 28 katika Kijiji cha Mavuji, Kilwa Masoko, umeanza kutoa huduma kwa wananchi baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza la maji. Wananchi wamepokea mradi huo kwa furaha, huku wazee wakimuombea dua Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mradi huo umegharimu Sh bilioni 44, umefikia...