Kilosa (Kilossa) is a city in the Morogoro Region of Tanzania, East Africa. It is the administrative seat for Kilosa District. As of 2002, the population of the town was 26,060.
Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha
Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
Anonymous
Thread
halmashauri
kilosa
mashamba
mavuno
mpunga
ushuru
wakati
wakulima
wanakuja
Wakazi wa Kata ya Chanzulu, Wilaya ya Kilosa, wamekiomba Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro kuingilia kati migogoro ya ardhi inayoendelea katika eneo hilo ili kupatikana suluhisho la kudumu.
Ombi hilo limetolewa katika mkutano wa hadhara wa kusikiliza kero za wananchi, ulioandaliwa na...
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu.
DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
Chama Cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Kilosa kimetoa onyo kwa wagombea wa nafasi ya Udiwani na Ubunge ndani ya Chama hicho kutojihusisha na Vitendo vya rushwa kwani ni kosa kufanya hivyo.
Wito huo umetolewa na Katibu wa CCM Wilaya hiyo Jonus Mfaume wakati akizungumza na wanahabari ofisini kwake.
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka jana aliandaa Iftari maalum Nyumbani kwake ambayo Viongozi mbalimbali walialikwa katika hafla hiyo.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote...
Tazama video inasikitisha sana...
Yapo baadhi ya mambo ukiyasikia unaweza kudhani pengine uko ndotoni!
Siku kadhaa zilizopita, liliripotiwa tukio la kushangaza, kustaajabisha, na kuhuzunisha kuhusu vijana wawili wanaodaiwa kufanyiwa ukatili wa kutisha na Mwenyekiti wa Kijiji cha Uleling'ombe...
Wilaya ya Kilosa imeanzisha jitihada za kufufua uwanja wa ndege wa Tende uliopo katika wilaya hiyo mkoani Morogoro, ambao ulipoteza umaarufu wake kwa kipindi cha miaka 30 kutokana na miundombinu isiyofaa. Mkuu wa Wilaya, Shaka Hamdu Shaka, amesema kwamba Serikali imetayarisha mradi huu ili...
Sisi Watumishi wa Umma ambao ni waajiriwa wapya Serikalini katika Kada ya Afya, Halmashauri ya Kilosa Mkoani Morogoro tuna changamoto ya kutolipwa stahiki zetu za fedha za kujikimu na majibu tunayopewa yanatukatisha tamaa.
Huu ni mwezi wa tatu sasa tunafuatulia malipo hayo, awali tuliambiwa...
Anonymous
Thread
afya
fedha
fedha za kujikimu
hali
halmashauri
kada
kada ya afya
kilosa
kujikimu
Hii sasa imekuwa too much wananzengo Yani katika wiki Moja kupata umeme wa uhakika labda ni siku tatu! "what a shame to authority"
Jamani mnaohusika oneni aibu hii sio sawa kabisa mnazingua sana
Treni ya SGR iliyokuwa inatoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma imekwama kwenye Stesheni ya Kilosa baada ya Umeme kukatika, tuko hapa tunasubiri umeme urudi ndio safari iendelee, tumeambiwa Grid ya Taifa imezima.."
Kabla hayajafika tulishauri haya Madude yaje na "Power bank" lakini Mfumgwa wetu...
Wakuu,
Imeelezwa kuwa sababu zilizopelekea kata ya Ruaha, jimbo la Mikumi, mkoani Morogoro yenye vijiji vinne (4) na vitongoji 21 kushindwa kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa hapo jana, Novemba 27.2024 badala yake kufanyika leo, Alhamisi Novemba 28.2024 ni kutokana na vurugu zilizoanzishwa...
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba kila kitu kinakwenda sawa na kufuata kanuni, sheria na taratibu za kiuchaguzi, sasa hizi ni namba za...
Michael John Gwimile, Mkurugenzi na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Kilosa.
Soma Pia: Prof. Jay: Wagombea wetu wote Wilaya ya Kilosa wameenguliwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Hayawi hayawi sasa yamekuwa ni ngumu sana kumtenganisha baba na mama. Like father like mother, sasa tunarudi misiri tulikotoka.
Wagombea wote wa chadema katika wilaya ya kilosa wamepigwa chini wote. 4R bye bye bye hii ndio "Afrika"
Source joseph haule A.K.A Profesa J. Mgombea umbunge wa jimbo...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro linaendelea kuimarisha operesheni zake dhidi ya uhalifu na wahalifu. Operesheni hizo zimepata mafanikio makubwa ikiwemo kuwakamata watuhumiwa watano wa matukio ya mauaji ambayo yametokea katika wilaya ya Kilombero na Kilosa kati ya Mei 26, 2024 na Juni 2, 2024...
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Kilosa na Waziri wa Fedha awamu ya nne Mustafa Haidi Mkulo amefariki dunia 03 Mei 204 usiku wa kuamka leo hospiali ya Muhimbili.
Atazikwa kwao kijiji cha Kimamba Wilayani Kilosa mkoa wa Morogoro siku ya Jumapili majira ya saa 7 mchana.
Mungu amlaze mahali pema...
MHE. NORAH MZERU Agawa Simu Janja (Smartphone 📱) kwa UWT Wilaya ya Kilosa Ili Kusaidia Kusajili Wanawake Katika Mfumo wa Kielektroniki
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro, Mhe. Norah Waziri Mzeru tarehe 01 Mei, 2024 amegawa Simu Janja 5 (Smartphone 5) kwa uongozi wa UWT Wilaya ya Kilosa na...
KIMEUMANA DC SHAKA AGEUKA MBOGO UJENZI WA ICU HOSPITALI YA WILAYA KILOSA
Na Mwandishi Wetu. Kilosa -Morogoro
MKUU wa Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro, Shaka Hamdu Shaka, ameagiza kufanyika kwa uchunguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika hospitali ya Wilaya hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.