blogspot
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,268
- 1,138
Habari wakuu. Poleni na mihangaiko.
Wakuu tupo vijana wawili sisi ni wanafunzi kutoka vyuo tofauti UDSM na SUA tumekaa pamoja na kuamua rasmi kuingia katika kilimo wote tulikua JKT mwaka fulani kambi moja. Hivyo tuliweza kupitia vitengo mbalimbali Mfano Kitengo bustani ambapo Matikiti,Matango,hoho yalilimwa sana pia kitengo Mpunga elimu tuliyoipata imetuondoa hofu mpaka tumekaa mezani na kuamua kujikita kwenye kilimo ambacho kitakua ni cha mazao ya muda mfupi tu ili kuweza kumanage masomo na shughuli hizi.
Mpaka sasa tuna Laki nne Mkononi.
Tunataka kupanda Matikiti,Strawberry au Matango. (Ushauri wa hapa unahitajika mnoo)
Tunatafuta Land ekari moja Tu kwakuanzia ambayo haitakua mbali na mji wa morogoro na itakua karibu na chanzo cha maji( Hapa tunaitaji maaada wa kuweza kufahamu wapi tunaweza kupata tafadhali)
Uhakika wa masoko hapa bado tuna hofu kwakua ndio tunaanza tunaomba kujua namna rafiki tutakayoweza kupata masoko ya mazao yetu tajwa hapo juu.
Kiasi/budget tajwa hapo juu tungependa kuuliza kama iataweza kutusogeza kwa miezi miwili then tuje tuongeze tena Laki nne. Wataalam hapa hapa bado tunaitaji ushauri pia.
NB: Nimekaa na bwana shamba mmoja ambaye anajiendeleza kimasomo na kumuomba ukaribu wake haswa tutakapoitaji msaada wa kitaalamu amekubali kabisa bila kusita.
Majukumu tayari tumeshagawana na mwemzangu.
Nawasilisha wakuu.