Habari zenu wanajamii,
Lengo la mimi kufungua huu uzi ni kutaka kuwaunganisha watu wote, kutoka maeno mbalimbali, nje na ndani ya mkoa Kilimanjaro
Hivyo basi ikiwa unataka au unatamani kuuliza kuhusu kupanda mlima Kilimanjaro, wataka kujua kuhusu utamaduni, mila ana desturi ya wa watu watokao...