kikwete

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete aomba Tundu Lissu kuachiwa ndani ya wiki hii maana Tanzania tuna amani.

    Kumekuwepo na machapisho yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii yenye nukuu mbalimbali zinazodaiwa kuwa zimetolewa na viongozi wa nchini Tanzania.Moja ya kurasa hizo ni mjadala tv na siasa za kweli ambazo huchapisha maudhui hayo mara kwa mara
  2. JamiiForums Tanzania Where is Kikwete (Kikwete yuko wapi?)

    Kazi ni kipimo cha utu.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Mwenyezi Mungu aendelee kumlinda sana Mzee Kikwete (Mstaafu na Mshauri Mzuri sana wa ofisi ya Rais)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Nitamchukia saana binadamu yoyote yule, hususan Kiongozi mkuu kama vile Mzee Kikwete siku akinikosea yeye, mkewe au mtoto wake personally. Ila Kwa maneno ya mitandaoni bila "concrete evidence" kamwe siwezi kumchukia yeye, mkewe au watoto wake.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Samia na Kikwete Madaraka kwao ni bora kuliko taifa

    Kama haukubaliani na mimi tueleze kwanini viongozi hawa wanaiba kura?
  5. JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete ni nani?

    Sidhani Kama ametuzidi akili watu wote milioni 70 Sidhani kama ni kweli sizani ni vile tunamchukulia poa hatumchukulii serious kulingana na haiba yake ya nje but kwa ndani anafanya mambo ya hatari. Bado namsoma soma huyu jamaa kuelekea siku za mwisho mwisho za kiutawala toka mwaka 1985-2026...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje

    Ushauri: Rasimu ya katiba iandikwe na wataalamu ambao hawana chama. Hata kama wanatoka nje. Maoni yakisha kusanywa wataalamu pekee ndiyo waandike sio makada wala Bunge fake la katiba. Bunge la katiba nalo ambalo sio ya kivyama ipigie kura bila mabadilisho . Tukifanya kama wakati wa Kikwete...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa Kikwete ni wazalendo nao?

    Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa kikwete ni wazalendo nao?
  8. JamiiForums Tanzania Sawa Kikwete waweza kuwa huongozi nchi kwa remote ya Zanzibar lakini vetting ya 2015 itakutafuna

    Kikwete ulizingua Mwaka 2015 baada ya kulazimisha Kato amchague Samia kama Mgombea mwenza, Tetesi zipo ambazo zingine hatuna ushahidi nao kwamba ondoa kete namba moja ili iliyokakaribu itimbe KINGI, mnaocheza draft mnaelewa kete ya KINGI ina nguvu gani, kila kete ikaayo njiani inapita nayo...
  9. JamiiForums Tanzania Paschal Mayala acha kutumika na Ridhiwan Kikwete maji yamekorogeka

    Kwa taarifa za uhakika ni kwamba mwandishi nguli wa habari Paschal Mayala amenasa kwenye kundi la ccm mtandao ambalo kazi yao ni moja tu kubagaza na kubananga rasilimali za watanzania. Paschal Mayala amepewa kazi maalum ya kumnadi na kumsafishia njia Ridhiwan Kikwete ili apate taswira nzuri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Sudan Kusini yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU, Jakaya Kikwete kabla ya uchaguzi wa kihistoria wa 2026

    Sudan Kusini Yamkaribisha Mwakilishi Mkuu wa AU Jakaya Kikwete kusaidia kuweka mambo sawa Kabla ya Uchaguzi wa Kihistoria wa 2026 June 2026 Juba South Sudan Rais wa zamani wa Tanzania na mjumbe wa AU Jakaya Kikwete anaanza mashauriano ya ngazi ya juu mjini Juba huku Sudan Kusini ikiendelea na...
  11. JamiiForums Tanzania SI KWELI Ridhiwani Kikwete: "Kuanzia 2030 Katika madaraka yangu ya Urais nitawatumikia Vizuri"

    Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030. Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, umebaini kuwa madai hayo...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Kikwete atoa tamko kuu kwa TCRA kuifungia BBC swahili

    Ikiwa ni siku chache tangu chombo cha habari cha kimataifa cha BBC News kuchapisha makala iliyomhusu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, zimeendelea kusambaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Rais mstaafu wa Awamu ya Nne wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, ametoa kauli ya kutaka...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi: Samia, Kikwete and their offsprings ought to know we are leaving in Post CCM.

    What Samia Suluhu, Jakaya Kikwete and their offsprings need to understand is that we are already living in Post CCM Tanzania! Whatever you think you know about manipulating internal politics of CCM will not work with the society because we are past that! So all your scheming and idiotic plans to...
  14. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wetu kipenzi mstaafu mh. Jakaya mrisho Kikwete.

    Ndugu zangu, ni wapi alipo Rais wetu wa awamu ya nne. Mh. Jakaya Mrisho Kikwete? Hakuna kipindi ambacho wapinzani waliinjoi kama kipindi cha Kikwete. Walizoa wabunge wengi sana madiwani na wenyekiti wa vijiji. Maisha ya wapinzani yalianza kuwa magumu pindi tu alipokaa pembeni Mh. Kikwete...
  15. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa Museveni na Kikwete kutomaliza mwaka huu ni mkubwa sana

    Nikiri. Mie si mtabiri wal sifanyi utabiri wala kufanya hiki ninachoandika utabiri bali uoni. Ila nina hisia kuwa watajwa hapo juu, kwa namna mmoja alivyoadimika na mwingine alivyoanza kumuandaa mwanae kuchukua ukanda, kuna kitu kinafichwa kiafya. Tunajua Kikwete anasumbuliwa na kansa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  18. JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete ameikudu wizara nyeti. Walimu na watumishi wengine tumpongeze. Najua anachukiwa kwa mambo yake mengine ila...

    Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania. Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha. Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao. Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kikwete ateta na Mshauri wa Trump

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja baada ya kufanya mazungumzo na Bw. Massad Boulos, Mwanadiplomasia na Mshauri Mwandamizi wa Rais wa Marekani, Donald Trump anayeshughulikia masuala ya Nchi za Afrika, Uarabu na Mashariki ya Kati. Mazungumzo hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…