kikundi cha kigaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Kwamba shehe Mwaipopo katanza kumiliki kikundi cha kigaidi. Is very concerning

    - Huyu shehe Mwaipopo, mnyakyusa bila shaka. Kuonyesha mbele ya camera kwamba anamiliki kikundi cha kigaidi ni jambo la kuogofya kitaifa na kimataifa. - Kwa shehe kuonesha hadharani sura yake na kikundi cha kigaidi anacho miliki bila mamlaka kusema chochote inaogofya zaidi. - Kiongozi wa...
  2. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Miaka 2 na miezi kadhaa imepita sasa tangu Mtanzania Joshua Mollel alivyouawa na kikundi cha kigaidi cha Hamas

    October 7th, 2023 mwanafunzi wa miaka 21 Joshua Mollel kutoka Tanzania aliuliwa kikatili na kikundi cha kigaidi cha Hamas Joshua alikuwa ni mwanafunzi wa Agriculture nchini Israel, hakuwa sehemu ya vita vya Israel vs Palestine, hakuwa tishio, hakuwa adui, lakini Hamas walipomkamata walimuua...
  3. kukumdogo

    JamiiForums Tanzania Hii tekateka inaweza kuwa kikundi cha kigaidi kinajiseti Tanzania

    Tusipokuwa makini, hiki kijundi cha tekateka kitaishia kuwa kikundi cha kigaidi kitakachosumbua sana Taifa.
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Wanaosema CCM ni kikundi cha Kigaidi wasikilizwe wana hoja

    GT. CCM imejaa unyama haina ubinadamu hata kidogo. Hakuna mtanzania yupo salama chini ya CCM. Ni chama kinachohatarisha maisha ya kila mtu. CCM inatakiwa ipingwe kwa nguvu snaa kwa usalama wa Watanzania wote 1. Mdude 2.kibao. 3. Polepole 4.Mawazo 5. Ben saanane 6. Soka 7. Ndugai 8. Jenista 9...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania, watekaji na wauwaji na ndio wasiojulikana

    Genge la polisi ni kikundi cha kigaidi nchini Tanzania watekaji na wauwaji na ndio wasio julikana. Kinapaswa kutambuliwa kama kikundi cha kigaidi Africa na sio chombo cha usalama.
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Nina uhakika Al-Jazeera ni mtandao wa kikundi cha kigaidi cha Muslim Brotherhood

    Qatar imekuwa ikishirikiana na Muslim Brotherhood kwa miongo kadhaa. Sheikh Yusuf al-Qaradawi, mwanatheolojia mwenye ushawishi mkubwa na mfuasi wa Muslim Brotherhood, amekuwa na uhusiano wa karibu na Al-Jazeera, akionekana mara kwa mara kwenye vipindi vyao. Al-Jazeera imekosolewa na nchi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Trump alipomshutumu Obama na Hillary Clinton kuasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS

    Kipindi Trump anagombea urais dhidi ya Hillary Clinton, Donald Trump alipiga kombora zito lililowaacha wamarekani mdomo wazi. Trump alisema kuwa Obama kwa kushirikiana na Hillary Clinton ndiyo walioasisi kikundi cha kigaidi cha ISIS kilichoua malaki ya watu huko Syria. Kauli hiyo ilinukuliwa na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Naim Qassem ateuliwa kuwa Kiongozi Mkuu wa kikundi cha kigaidi Hezbollah

    Wadau hamjamboni nyote? Kikundi cha Lebanon, Hezbollah, kimesema kuwa kimechagua Naibu Kiongozi Naim Qassem kuwa Hassan Nasrallah, aliyeteketezwa na shambulizi la angani la Israeli mnamo Septemba 27. Katika taarifa yake, Hezbollah ilisema kuwa Baraza lake la Shura lilimchagua Qassem, mwenye...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Kiongozi Mkuu kikundi cha kigaidi Islamic jihad Mohamed Abdullah auawa shambulizi ndege za IDF kambi ya wakimbizi Nur Shams West Bank

    Wadau hamjamboni nyote? Muhammad Abdullah Kiongozi Mkuu Islamic jihad ameuawa na shambulizi la ndege za Israel Mtangulizi wake Muhhamad Jabber aliuawa hivyohivyo mwezi agosti Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: ===== Live Update arrow right icon From the Liveblog of Friday, October 11...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mali yamuua kamanda wa kikundi cha kigaidi cha Isis aliyewaua askari wa Marekani mwaka 2017

    Wale ambao hupenda kusingizia kwamba vikundi vya kigaidi vya vinafadhiliwa na Marekani sijui watasema nini baada ya kusoma taarifa hii hapa chini 👇 ******************** Kamanda mkuu wa kundi la Islamic State anayesakwa kuhusiana na moja ya mashambulizi mabaya zaidi dhidi ya vikosi vya...
Back
Top Bottom