kikristo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  2. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

    Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa. Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
  3. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KENYA - KANISA LABADILISHWA KUWA MSIKITI BAADA YA WAFUASI WA KIKRISTO KUSILIMU

    Sisemi mengi video clip ina yote kwa Kiswahili...
  5. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Dini si imani, Mimi mkristo nimekubali kuoa ndoa ya kiislamu, ndoa ya kikristo inampa kiburi mwanamke na ni ngumu kusuluhisha matatizo

    Kwa kipindi kirefu nimekuwa nasita kuoa, kwa umri wangu wa miaka 28 nimeona ni wakati sasa niwe na ndoa official, Si mara ya kwanza kufikiria hili jambo, ni tangu nipo 25 nafikiria ila sheria za ndoa za kikristo zilikuwa zikinipa hofu kubwa mno hasa kwa tunayojionea kwa wahanga, Ni lazima...
  6. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  7. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi. Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha. Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Huwa Nashangaa sana Muislamu anapohangaika kutafuta Mke/ mume. Mkristo namuelewa kutokana na ndoa ya kikristo ilivyo

    Habari wadau. Naona post nyingi za watu kutafuta wenza wa dini zote. Pia hata mitaani naona watu wakihangaika kusaka wenza.. Huwa nashangaa sana na waislamu nao wanahangaika kusaka wenza kama mke na mume. Uhalisia naona kama waislam ni rahisi sana kupata mwenza kwenye mazingira yeyote
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini madhehebu ya Mashahidi wa Jehova na Wasabato wanachukiwa sana na madhehebu mengine ya Kikristo na Uislamu?

    Yaani Wasabato na Mashahidi wa Jehova wanachukiwa sana hapa duniani. Mashahidi wa Jehova wanasali siku ya Jumanne na Wasabato wanasali siku ya Jumamosi. Mashahidi wa Jehova wako tayari kufa lakini usiwaongezee damu, kwao damu ni Big issue
  10. G

    JamiiForums Tanzania Japokua wanandoa wamebanwa lakini nikiri wazi watoto wa kwenye ndoa za kikristo wanafaidi mno malezi kuliko ndoa za kiislam

    Bila shaka ndoa za kiislam wanandoa huwa wanafaidi sana linapokuja suala la kuongeza mke, kuoa ama kuolewa upya kwa urahisi, talaka, n.k. na haya mambo ndio penye udhaifu wa ndoa za kikristo, hata talaka tu inaweza chukua miaka, wanandoa wengi hubanana humo humo. Ila linapokuja suala la watoto...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hata angekuwa hai alikuwa na kinga ya kutoshtakiwa, tumuache apumzike. Ndoa ya Kikristo ikishafungwa haina zuio tena

    Kwa mujibu wa Katiba ya JMT Rais ana kinga ya kutoshtakiwa. Ndio sababu tuna Bunge ambalo linaweza kumshughulikia pindi anaposhindwa kutekeleza Majukumu yake ipasavyo. Sasa kama Bunge lilishindwa kushughulika na hayati Magufuli akiwa madarakani hilo ni tatizo la Wabunge siyo JPM. Kwenye Ndoa...
Back
Top Bottom