kiki

Pauline Matthews (born 6 March 1947), better known by her stage name Kiki Dee, is an English singer. Known for her blue-eyed soul vocals, she was the first female singer from the UK to sign with Motown's Tamla Records.Dee is best known for her 1974 hit "I've Got the Music in Me" and "Don't Go Breaking My Heart", her 1976 duet with Elton John, which went to number 1 on both the UK Singles Chart and the US Billboard Hot 100 chart. In 1993, she performed another duet with John for his Duets album, a cover version of Cole Porter's "True Love", which reached number 2 in the UK. During her career, she has released 40 singles, three EPs and 12 albums.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Siasa za kutafuta kiki na public sympathy zimedumaza fikra hasa za vijana katika kujenga na kutetea hoja zinazohusu mustakabali wao.

    Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
  2. JamiiForums Tanzania Good morning chitchat

    Jibu kwa ufahamu ama uzoefu wako tuu.. Hakuna kutumia AI
  3. K

    JamiiForums Tanzania Madai ya Sheikh Mwaipopo Kunusurika Utekaji: Tishio Halisi au Kiki za Kusafisha Bonge la 'Backfire' la Kauli ya Kutahiri Watu?

    Wakuu salama, Kama mnavyofahamu, nchi yetu hivi karibuni imekuwa kwenye taharuki kubwa ya matukio ya watu kutekwa na kupotea. Lakini katika hali ya kushangaza na inayoacha maswali mengi, Sheikh Said Mwaipopo naye amejitokeza na kudai kuwa kuna watu walifika ofisini/nyumbani kwake wakiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Gwajima wataje watekaji badala ya kujibaraguza na kutafuta kiki kwa uchawa na utapeli

    Ukimsikiliza vizuri askofu uchwara wa kujipachika Josephat Gwajima, unashangaa. SIku hizi, amendandia hoja iliyotaka kumzamisha ya utekaji. Anasema hapendi utekaji kana kwamba kuna mtu mwenye akili zake anayeupenda ukiachi wauaji wetu . Kinachoshangaza ni kusema eti serikali na vyombo vya...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu mwamba ameshinda mbio za kimataifa, we ngoja arudi nyumbani sasa uone mademu wa mitandoni na bongo movie watakavyomganda kupata kiki

    Watamshugulisha wee had magoti yaishe ute ute siku akirudi tena ulimi wote njee aanze kusema walimwibia viatu vyake kama yule wa Tanga. Pia Soma: Tokyo, Japan: Alphonce Simbu ashinda Medali ya Dhahabu ya kwanza kwa kushinda mbio za Dunia za Marathoni
  6. JamiiForums Tanzania Kiki za Traore zimeishiwa pumzi 🤣

    Kiki za kwenye mitandao huwa zina muda mfupi wa uhai! Yule jamaa yenu wa Burkina Faso naona kiki zake zimeshaishiwa gesi sasa. Siku hizi hasikiki tena baada ya watu kama mimi kuwafumbua macho watu juu ya ulaghai wa persona yake. Au nyie wa Burkinabe wa Tabata Sanene mnasemaje? 🤣
  7. JamiiForums Tanzania Kiki ya derby ya Kariakoo ndio imebamba ila tunaua soka letu

    Ujio wa NO REFORMS NO ELECTION na kukubalika kwakwe na Watanganyika kulizitikisa sana mamlaka za juu.. Lakini pia ishu ya TAL, Utekaji na mauaji na mengine mengi ya CHADEMA.. Sasa ili kufubaza haya yote ilibidi yatafutwe matukio yatakayokuwa gumzo kwa muda mrefu Kwenye hali kama hizi wasanii...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi wake umefeli. Anategemea kiki. Kiki nazo zinafeli

    Wakuu hii nchi inaongozwa na watu wa hovyo sana. Viongozi wanatengeneza kiki za wasanii zimefeli sasa wanatengeneza kiki ya Yanga nayo inafeli. Watanganyika wamewachooooka. Hata kesho mond na kiba watoe ngoma wala hatutaistukia upepo umechange. Na wakati huu ni wakati wa Mungu. Moto wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kiki za Polisi zinazuia Agenda za CCM

    Polisi ya Tanzania inataka kuonekana kwenye media ikiwaadhibu Chadema wakifikiri wanawasaidia. Kibaya ni kwamba hakuna chochote na agenda yeyote inayosikika maana kila siku ni mashindano sio tena ya CCM na vyama bali vyombo vyote na Chadema. Msajili naye amejiingiza kwenye kiki maana wanajua...
  10. JamiiForums Tanzania Young G’s Tambueni Game: Mitego Ni Mingi, Usijikute Unapotea Kisa Kiki au Dem!

    Hey guys, Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches: Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
  11. JamiiForums Tanzania Young G’s Tambueni Game: Mitego Ni Mingi, Usijikute Unapotea Kisa Kiki au Dem!

    Hey guys, Leo nawawekea kitu cha ukweli, especially my street smart youngins, coz life inakuwaga real no filter. Hii dunia ya sasa haicheki na mtu, one wrong move and boom—your whole life flips. So chukua hii kama OG wisdom straight from the trenches: Usijikute uko kila mageti ya watoto wa...
  12. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imeua kiki zote mjini. Uchaguzi wao unazungumziwa kuliko hata wa Serikali za mtaa uliopita

    Sasa hivi mpaka january wale wapenda kiki watulie tu mpaka upepo wa chadema uishe yaan nimejua kua CHADEMA inafatiliwa sana inapendwa huu uchaguz unazungumziwa kuliko hata ule uchafuzi wa serikali ya mtaa uliofanyika juz juz
  13. JamiiForums Tanzania Joan ni nani kwa Martha Mwaipaja? Nini chanzo cha utata? Ni kweli au kiki?

    Wambea wa Jf Nimeisikilza hii habar mara 10 na sjjapata jibu. Nilivoelewa n kama Joan apendi martha kuwa au kuwasiliana na mama ake. Mlioelewa Joan n rafiki wa martha Joan n mtoto wa martha? Joan n mganga wa martha? joan ni mwenza wa martha? Joan n meneja wa martha? Kifupi huyu joan anazuia nn...
  14. G

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Ulaghai wa bei ya korosho na kiki za kisiasa za CCM kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

    Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili ambapo bei ilishuka mpk kufikia TSh 3750/=, napo pia kulikuwa na tani chache sana za korosho. Bei...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Waisrael wakataa kumpa kiki Netanyahu, waandamana ang'oke madarakani kwa kushindwa kurejesha mateka

    Benjamin Netanyahu alidhani kuwa kuendelea kuuaua watu, umwaga damu za watoto basi itakuwa Kinga kwake ya kuwaconvince waisrael kuwa ni waziri mkuu mzuri. Lakini maelfu ya waisraeli wameendelea kuandamana kumtaka ang'oke. Hawako impressed na muenendo wake wa kiuongozi. Baada ya Kuona raia...
  16. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Anaye liamini jeshi hili ya kiki na rushwa asimame!

    Inasikitisha sana kuona jeshi la Polisi limebaki kuwa na kiki na uongo uongo pamoja na rushwa. Ni nani leo hii Tanzania anaweza kuweka imani kwa jeshi hili? inasikitisha sana hasa sisi ambao wazazi wetu maisha yao yote walikuwa ni Polisi
  18. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Mimi ni Mtu wa 'Kiki' na mambo mengi ninayoyafanya huwa Nadanganya tu, kwani 'Kiki' inalipa Tanzania

    Haya leo nadhani mmejua kuwa hawa Watu wenu Mitandaoni huko Maisha yao tunayoyaona huwa siyo Uhalisia Oky? Nendeni Wasafi FM huko mkamsikie Mwenyewe.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali iko serious na vita ya ushoga ama inatafuta kiki za kisiasa tu?

    Ndugu watanzania jambo lolote lililoharamishwa nchi hii huwa limetungiwa sheria kali. Na yeyote atakayelishabikia ama kulitenda jambo hilo huangukia kwenye mikono ya sheria. Si mnaona mimea ya bangi inavyokatwa na wakulima wake wanavyokamatwa? Si mnaona wapika gongo na wanywa gongo...
  20. G

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda apandikiza waigizaji kwenye madawati yake ya msaada wa kisheria ili kumpa kiki

    Makonda bado anaendelea na michezo yake michafu ya kufanya mauzauza kwa kuandaa matukio ambayo huwa anapachika "waigizaji". Niwakumbushe tukio alilofanya akiwa RC wa DSM. *Aliwakusanya masingo mama na kuwataka wawataje akina baba waliotelekeza watoto. Ktk mkusanyiko huu akajitokeza muigozaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…