kikao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 30, Mei 22, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=XOU1mTLJLdw
  2. Wizara ya Kilimo yaomba kuidhinishiwa Bajeti ya TSh Tril. 1.24 kwa Mwaka wa Fedha 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=sOC6TgEjbr8 Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akiwasilisha Bajeti ya mwaka 2025/26 amesema; "Ukuaji wa Sekta ya Kilimo umeongezeka kutoka asilimia 2.6 mwaka 2021 hadi asilimia 4.2 mwaka 2023. Aidha, ukuaji wa Sekta ya Kilimo unatarajiwa kufikia asilimia 5 mwaka...
  3. Bunge lapitisha bajeti ya TSh. Trilioni 3.64 Wizara ya Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, ongezeko la asilimia 9.61 ukilinganisha na mwaka 2024/25

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 28 Mei 20, 2025 https://www.youtube.com/live/dE7EKtHBI2k?si=iCkL5SlLeZbIJpPY Mwaka wa Fedha 2025/26, Wizara ya Ulinzi na JKT na taasisi zilizo chini yake zimeidhinishiwa na Bunge jumla ya Shilingi 3,645,912,947,000.00 kati ya fedha hizo, Shilingi...
  4. Wizara ya Maliasili na Utalii yaomba Bunge kuidhinishia Shilingi Bilioni 359.9 kwa mpango wa 2025/26

    https://www.youtube.com/watch?v=fWPUrKEGauY Wizara ya Maliasili na Utalii imeomba Bunge liidhinishe jumla ya Shilingi 359.9 ili iweze kutekeleza malengo na vipaumbele iliyojiwekea kwa mwaka 2025-2026. Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana Wakati akiwasilisha hotuba kuhusu...
  5. D

    Nimeitwa ukweni kwenye kikao Cha msiba (baada ya mazishi); naombeni msaada wa points wanaJF nisijeumbuka ukweni!!

    Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
  6. Wizara ya Mawasiliano yaomba kuidhinishiwa Shilingi Bilioni 291.5 kwa mwaka wa Fedha 2025/2026

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo, Mei 16, 2025, jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inawasilishwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=eGdtJa7p75I "Sekta ya Mawasiliano na TEHAMA imekua kwa...
  7. Waziri Jafo amewasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Viwanda na Biashara 2025/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=z6ar2o298sA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk Selemani Jafo amewasilisha bungeni makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/2026 jijini Dodoma leo Mei 14, 2025. Wabunge wanachangia mjadala wa kupitisha bajeti ya wizara hiyo iliyoomba...
  8. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 23, leo Mei 13, 2025

    https://www.youtube.com/live/WU3d6tBkzxg
  9. Waziri awasilisha Muhtasari wa Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa Mwaka 2025/26

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Mei 12, 2025 Jijini Dodoma, ambapo hotuba ya bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa mwaka wa fedha 2025/2026 inasomwa na kujadiliwa. https://www.youtube.com/watch?v=0TXxs_4iZg0 Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imewasilisha ombi...
  10. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 21, leo Mei 9, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=fnOK-Jm5gpE
  11. Mbunge amsonya Mwenyekiti wa Kikao Bungeni akichangia Bajeti ya Ujenzi

    Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi alivyomsonya Mwenyekiti wa Bunge wakati akichangia Bajeti ya Ujenzi baada ya kuambiwa muda wake wa kuchangia umeisha.
  12. Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 18 Mei 6, 2025 https://www.youtube.com/live/jisddABy9Sw?si=ZPv7ivAftZBx_pFm
  13. T

    IGP piga chini Muliro, kauli ya kumaliza kikao na kupata kinywaji kuanzia saa 1 hadi saa 4:30 alimaanisha ulevi

    RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima. Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama. Pili, kitendo cha mharifu kuingia...
  14. PreGE2025 John Mrema: Hakuna kikao kilichopitisha suala la kuzuia uchaguzi

    Na John Mrema kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X KWA HESHIMA NIMEJIBU ANDIKO LA MWANASHERIA MKUU WA CHAMA DR. RUGEMELEZA NSHALA, GROUP LA MASWALI MAGUMU Mwanasheria Mkuu wa Chama, salaam. Nimesoma maoni yako ambayo yamejaa uchungu na maumivu ,lawama na kejeli . Umesema kuwa uongozi mpya...
  15. Kwanini mwanaume anayeamua kuwa na single mother anajitengenezea sintofahamu siku za baadae

    Hii ni ujumbe wenu M'simp a.k.a second hand handler, a.k.a Step fathers, a.k.a ma'sponsors, a.k.a mubaba almaarufu Mabushoke. Awali ya yote kwa utangulizi, niseme kwamba "a modern woman is loyal to her feelings only", yaani kwa kiswahili ni kwamba ni sawa na kusema, "Mwanamke wa kisasa...
  16. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 12, Aprili 25, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=LEZweMHSLdU&pp=0gcJCYQJAYcqIYzv
  17. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Kumi, Aprili 23, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 23, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi na Utawala Bora kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itasomwa leo. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji...
  18. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Tisa, Aprili 22, 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 22, 2025 Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Pia, randama za makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais...
  19. PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  20. Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha Nane, tarehe 17 Aprili 2025

    Mkutano wa 19 wa Bunge la 12 unaendelea leo Aprili 17, 2025 bungeni Jijini Dodoma ambapo hotuba ya bajeti ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa fedha 2025/2026 itaendelea kujadiliwa. Kama kawaida kutakuwa na Kipindi cha Maswali na Majibu kwa wabunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…