Je, nini hatima ya kauli iyo kijasusi, kasema yupo Tanzania na watanzania wasiogope wapinge tena kwa vitendo" kamalizia kwa kusema wanaanzia sehemu fulani kumaliza sehemu fulani
Uchambuzi wa kiintelijensia nikaja na nadharia zifuatazo.
1- Watanzania wasiogope
ANa watia moyo watanzania na pia...
Ijumaa Kareem!
Kwa wapenzi wa action Movies series za kijasusi basi tafuta hizi kama haujawahi kuziona;
1. The Night Agent
2. The day of Jackal
3. London Gang
4. Mobland
5. King of Jo'burg
6. Unseen
7.
Kula vyuma hivyo alafu uje hapa! Zile mbili za juu ndio muvi za moja kwa moja za vitengo
Kwenye huu ulimwengu wa mabavu kuna mambo mengi yanatokea kiasi kwamba wanadamu tunakimbilia kulaumu bila kujua sababu ya mambo hayo kutokea.
Kwenye IDAIWE MAITI YANGU uliisoma historia na chimbuko la binadamu hatari sana GAVIN LUCA. Bwana huyu historia yake ilianzia huko Tanga ambapo kuna...
Kikosi maalum cha urusi toka spetnaz cha spat-12,kilifanya operation yenye uthubutu wa hali ya juu ndani ya ukraine
Operation hiyo iliyodumu kwa dakika 15 usiku mwingi,ilifanyika kwenye kambi inayotumiwa na NATO ndani ya ukraine na kuwateka maafisa watatu wa juu wa uingereza ambao hawakuwa na...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA...4000
2. I WANT TO DIE JUDGE...4000
3. GEREZA LA HAZWA...5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)...5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72...4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA UCHAGUZI...
UJASUSI, UPELELEZI NA MAPIGANO
1. ULIMWENGU WA WATU WABAYA.....4000
2. I WANT TO DIE JUDGE....4000
3. GEREZA LA HAZWA....5000
4. INNOCENT KILLER (THE REVENGE)/ MUUAJI ASIYE NA HATIA (KISASI)....5000
5. NYARAKA NAMBA 72/ DOCUMENT NUMBER 72....4000
6. ELECTION SAGA MONEY IN BLOOD (SAKATA LA...
SHATTERED EVIL:LIGHT AND SHADOW
MTUNZI:KAILOJONHJO.
UTANGULIZI
SHATTERED EVIL: LIGHT AND SHADOW Ni simulizi inayochanganya ,mystery, fantasy,mapenzi, ujasusi
Miaka ya zamani watu walisifika sana kua na nguvu iyo ilitokana na kua na upeo mkubwa wa akili mpaka...
Je tunaweza kumtambua kagame kama kiranja wa ujasusi ukanda wa maziwa makuu , na kusini mwa jangwa la Sahara?
Tumeona umairi wake uko goma, kushirikiana na M23, tumeona akipeleka vikosi vyake Msumbiji kulinda amani na ushikiano zaidi ya askari 1000, akitumia mpaka wa rwanda kupitisha balozi...
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia ilibadilika kabisa. Mataifa yaligawanyika kati ya mabepari na wakomunisti, na vita vya silaha vikabadilika kuwa vita vya maarifa na teknolojia. Marekani, kwa utimamu ya hali ya juu, ilianzisha mpango wa siri kabisa ulioitwa Operation Paperclip.
Huu...
HAKUNA ALIYE SALAMA
Mtunzi: Robert Heriel
0693322300
Chungu cha 01
Kinu alikuwa ameketi kwenye wheelchair, akitingisha kichwa chake kwa taratibu, udenda ukimtoka mdomoni. Macho yake yalikuwa matupu kwa nje, lakini kwa ndani yakiwa kama rada ya kijeshi. Nyuma yake alikuwa amesimama Moreen...
Rais wa Marekani Donald Trump amejibu ripoti kuhusu tathmini iliyovuja ya kijasusi juu ya shambulizi la Marekani dhidi ya Iran.
Akichapisha ujumbe kwenye jukwaa la Truth Social, Trump alivisuta vyombo vya habari vya Marekani na taarifa zao.
"TAARIFA ZA UWONGO CNN, PAMOJA NA NEW YORK TIMES...
Katika miezi na siku za karibuni, uwanja wa kisiasa nchini Tanzania umeendelea kubadilika kwa kasi, huku vyama vya upinzani vikionyesha mabadiliko ya kimkakati ambayo yanaweza kubeba athari kubwa kwa mustakabali wa demokrasia nchini. Mojawapo ya mwenendo unaoibua maswali mengi ni Uhamaji wa Kasi...
Katika operesheni ya siri, Mossad ya Israel imepata karibu vitu 2,500 vya kibinafsi na vinavyohusiana na ujasusi ambavyo vilikuwa vya jasusi maarufu wa Israeli Eli Cohen, ambaye aliuawa nchini Syria miaka 60 iliyopita.
Vitu hivyo ni pamoja na:
• Barua zilizoandikwa kwa mkono kwa familia yake...
Kwa mtindo huu wa Polisi na usalama kuiba chaguzi maana yake nguvu yote ya demokrasia serikali imehamishia polisi na usalama. Sasa sehemu pekee ambayo polisi na usalama wanaitafuta imebaki ni kuwa na nguvu ya kutangaza tu. Polisi na usalama wakipata nguvu ya kutangaza matokeo na tayari ndiyo...
Wakuu,
Baada ya kukata misaada ya kifedha na misaada ya silaha Ukraine sasa Trump ameamua kuikatia Ukraine taarifa zote za kijasusi na za kiusalama zinahusiana na vita yao dhidi ya Urusi.
Taarifa hii imetolewa muda mchache uliopita na gazeti la Marekani la Financial Times ikiwa pi ni siku...
Kabla ya kuasi kusudi lake mwaka 2015 Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilianza kupoteza mvuto kwa watanzania na wapenda mabadiliko waliokuwa wana imani kubwa sana chama hiki ikiwa ni pamoja kuvutiwa na kusudi lake kiasi cha kuaminiwa kuwa mbadala wa CCM.
Kama ni mgonjwa naweza...
Tunaposheherekea miaka 63 ya Uhuru ni vyema kama Taifa kutafakari katika maeneo kadhaa ambayo ni muhimu.
1-Tanganyika ilipata uhuru bila kumwaga damu yaani vita.
2-Kupitia Waasisi wetu hususani Mwalimu Nyerere tuliona njia bora ni kudai Uhuru wetu kwa njia ya kidiplomasia.
3-Hata baada ya kupata...
Vyombo vya habari vya Uganda vimeripoti madai kwamba ndege ya ujasusi ya Marekani aina ya Bombardier Challenger 604, iliyodaiwa kupita kwenye anga la Uganda na DRC, huenda ilipiga picha miundombinu ya uzalishaji wa mafuta katika maeneo ya Ziwa Albert, magharibi mwa Uganda.
Tukio hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.