Njama za kijasusi za kizalendo zinaendelea!

Njama za kijasusi za kizalendo zinaendelea!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,765
Reaction score
15,465
Kwa mtindo huu wa Polisi na usalama kuiba chaguzi maana yake nguvu yote ya demokrasia serikali imehamishia polisi na usalama. Sasa sehemu pekee ambayo polisi na usalama wanaitafuta imebaki ni kuwa na nguvu ya kutangaza tu. Polisi na usalama wakipata nguvu ya kutangaza matokeo na tayari ndiyo kura zote zipo chini yao nani kasema ni lazima watangaze CCM tu! Watakuwa na uwezo wa kumfanya mtu yeyote kuwa Raisi kwa matakwa yao. Yaani hata hao CCM wanaweza kuibiwa kura kwa mwenendo huu . Polisi na usalama wakipata kiburi cha kuwatishia viongozi wa Tume mchezo umeisha maana tayari wana kila kitu kingine! Haya ndiyo matatizo ya mifumo mibovu
Sasa kuna watu wanafikiria watu wa usalama na polisi ambao ni wazalendo wafanye mapinduzi ndani ya hizo idara
 

Mkuu kwani uko nyuma ya muda?

Hiyo tume hujui imejaa maafisa vipenyo wa usalama wa taifa kuanzia juu hadi chini?

Polisi nao wanajua washindi hata kabla kura hazijapigwa.
 
Back
Top Bottom