Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali.
Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani.
Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya...
Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini?
Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
CAG Mstaafu Profesa Mussa Assad amedai kuna Waziri kijana Awamu hii ya Sita ana ukwasi wa kutish alipoingia tu madarakani.
Prof Assad amesema
"Namjua kijana mmoja Waziri, ana magari matatu ya Shillingi 300 kils mojs,ana gari aina ya Range Rover, ana flats(maghorofa) hapa Dar es salaam chungu...
Juzi tumeona Davido nyota wa mziki wa Nigeria aki protest jukwaani utekaji na mauaji ya raia nchini mwake. Ni kawaida kwa ma star wanaojielewa.
Kijana Pele akiwa na miaka 29 alishinda kombe la dunia mara ya tatu na ya mwisho. Mwaka unaofuata 1971 akastaafu mpira.
Baadae akaeleza akasema...
kipindi cha nyuma tukiwa tunarudi safari za kikazi wilayani namuona boss wangu anajaza viroba vya vyakula mpaka cruiser inajaa ananishauri ninunue debe za mahindi me bishoo hapo naona huo ni ushamba nanunuaje mavyakula wilayani wakati mkoani masoko yapo na kibunda nitakuwa nacho.. nadharau...
Gari ya polisi Rombo yadaiwa kumgonga dereva pikipiki aliyedaiwa kuwa na mirungi nakuondoka na mwili, barabara yafungwa RPC asema barabara ishafunguliwa
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Simon Maigwa amesema barabara ya Rombo na Moshi imefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa zaidi ya saa...
“Mimi ni mvulana wa miaka 25, nina mapenzi na mwanamke wa miaka 55. Tunakaa pamoja na mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 36 na mvulana huyu haniheshimu kama baba yake wa kambo. Najaribu kumuelimisha kuhusu maisha lakini hasikii. Tafadhali nisaidie,nifanye nini?”
Huyu ni kijana anaomba...
Hamjambo!
Kwa asilimia tisini na tisa kijana mwenye future kubwa, anayejitambua, mchapakazi, anayejiamini hawezi kuwa na wazo la kutoka na mwanamke mtu mzima, lishangazi. Huwezi kuta kijana mwenye kazi ya kueleweka, mwenye biashara nzuri, akili ya kiume umkute anakimbizana na mishangazi.
Ni...
Kijana anatafuta kazi ya jikoni yupo na uzoefu wa kutosha.
Umri 23
Eneo aliliopo Kibaha
Mawasiliano : 0664540696
N.b , anaweza pia kufanya kazi tofauti na ya jikoni , waweza kuwasiliana nae kwa maelezo zaidi.
🙏
Nimeumizwa sana na mchekeshaji shafii, huyu kijana alikua na mchumba wake, wakishirikiana vizuri tu. Baadae kapata taarifa mchumba wake kaolewa Dodoma, kumbe yule Binti kalazimishwa na wazazi wake pamoja na kaka yake, kisa kazi ya shafii wao waliona ni ya kijinga sijui ni ya kimaskini, kazi ya...
Kukimbia ni Bure
Kupiga pushup ni Bure
Mazoezi ya kukimbia ni Bure.
Kijana jitahidi usiwe na kitambi kwasababu kuwa na afya bora sio biashara...ni wajibu wako.
Six pack muhimu
Kifua kikubwa Muhimu
Muonekano wa mazoezi muhimu.
Haya
Tukomae
Kijana Wa Kitanzania Aibuka Mshindi Mashindano Ya Nyuklia Kimataifa
Kijana mtaalamu kutoka Tanzania, Japhet Matekere, amechaguliwa kuwa mmoja wa washindi wa mashindano ya video ya kimataifa ya “Atoms Empowering Africa 2026”.
Mashindano hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya nishati ya nyuklia ya...
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.
Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa...
Wengi wenu humu ndani tayari mna ule uzoefu. Unaombwa kitu/msaada na mwanamke halafu unamkatalia labda sababu hautaki au hauwezi kumsadia kwa wakati huo. Baada ya hapa mwanamke anakughost na kukata mara moja ule urafiki/ukaribu wenu.
Jaribu kuvuta kumbukumbu wanawake wote waliowahi kukuomba...
Nimeshangazwa mitandaoni watu wamekomalia kuwa inshu hiyo ni ya kisiasa, wengine wameenda mbali eti mganga anaetuhumiwa si mganga ni ka mchezo tu, kuikinga serikali.
Kama tutaendelea hivi sioni haja ya kufatilia siasa mana naona imekua too much, tumeanza kuwa wajinga, watu wamekamatwa kichwa...