kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Heche: Kijana niliyemshtaki kwa madai ya kunitukana sasa ananiita 'baba'!, aje athibitishe Mahakamani

    John Heche amesema amefungua kesi dhidi ya mtu anayedai amekuwa akimtolea kauli za uongo, akisema mhusika atalazimika kuthibitisha madai yake mahakamani. Pia ameonya kuwa watakaoshindwa kuthibitisha madai yao na kulipa fidia wanaweza kupoteza mali zao. "Nimeanzisha kesi yangu aje kudhibitisha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Punguza presha ya kununua gari jipya, Unaweza kununua gari mtaani, ukalifanyia matengenezo ya kiwango cha juu na ulitumie kama jipya kwa bei ya chini

    1. Kuhusu "gari jipya" kwa maana ya watanzania wengi Ninapotumia neno gari jipya, simaanishi gari lililotoka kiwandani 0km moja kwa moja. Katika mazingira ya Tanzania, mara nyingi ni gari la mtumba lililoagizwa kutoka Japan au gari ambalo lipo showroom tayari limeagizwa. 2. Magari...
  3. JamiiForums Tanzania Kijana ana lalamika kila mwanamke mzuri kaguswa au kazalishwa.

    Vijana wa nia nzuri wana lalamika kwa idadi ya masingle maza na ambao washamiliki usajili wa timu tofauti. Kwa wimbi ambalo napata malalamiko ni wale wenye nia ya kuoa ila kinacho waumiza wanawake wazuri walishakuwa toleo la iphone lilopita japo umri wao ni sahihi. Wafanye nini ?.Mimi...
  4. JamiiForums Tanzania KIJANA WA KIUME KUNYENYEKEA AJIRA NI UCHAWA.

    "Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
  5. JamiiForums Tanzania Unakumbuka sakata la kijana ibrahimu aliyempiga kofi Raisi Mwinyi ?

    Nikurejeshe mwaka 2010 ilikua balaza la Maulid kijana mmoja anafahamika kwa jina La Ibrahim aliweza kumfikia Raisi wa wakati huo na kumpiga kofi , sababu ilikua ni nini? Fuatilia video hapa chini . https://www.facebook.com/reel/1724090805496548/?mibextid=9drbnH&s=yWDuG2&fs=e
  6. JamiiForums Tanzania SHEMEJI: 'Mbona umefadhaika sana?' KIJANA: 'dah, shem, nimepigwa bandiko, acha tu'

    SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Kutoka Kwenye Maisha ya Anasa ya Serikali hadi Kwenye Uzalishaji: Kilimo, Elimu, na Afya Ndio Mkombozi wa Kijana wa Kitanzania

    Ndugu Wakuu, Katika uzi wangu uliopita, tulijadili jinsi mzunguko usio na tija wa kodi ya mvuja jasho unavyoishia kufadhili anasa za wachache huku mtaani vijana wakipambana na ukata wa mitaji. Leo naomba tushuke chini zaidi kwenye mifumo ya kibajeti ya nchi yetu. Tanzania ni nchi changa...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Kijana wa Mtaani Inavyonunua V8 la Kiongozi Kwenda Kuhonga Binti wa Chuo: Kifo cha Heshima ya Mwanaume Tanzania

    Leo naomba tusiangalie matatizo ya nchi yetu kama matukio yaliyotengana. Naomba tuunganishe doti (connect the dots) kuona jinsi mzunguko wa fedha za umma (fiscal flow), ununuzi wa magari ya kifahari ya serikali, na uozo wa maadili mitaani na vyoni unavyohusiana moja kwa moja. Ukweli mchungu ni...
  9. JamiiForums Tanzania Kijana wenu amekutwa na nini huko?

    Mie kama sielewi ee
  10. JamiiForums Tanzania Kijana anatafuta kazi yoyote ile

    Anaitwa mohammed Anaishi mbagala mbande Anatafuta kazi ya aina yoyote ile yupo tiyali Kwa jinsi alivyonielezea shida zake nkaona vyema kumleta hapa jamvini Namba ya 0693 166 490
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyenyimwa Visa ubalozini kwa ''fujo'' alizofanya Guangzhou -China

    Mwaka jana mwezi March, kabla ya utaratibu mpya wa kuomba Visa kwenye ubalozi wa China hapo jijini Dar es Salaam. Nikiwa nimeshajaza fomu zangu na nikiwa nimeshapewa notification ya appointment na kuwasilisha fomu ya maombi ya VISA pamoja na viambatanishi vingine nikafika ubalozi wa China...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu gani kumuachisha kucheza e Football kijana huyu, linamlaza saa 10 alfajiri

    Ninaishi na Kijana wa ndugu yangu, alikuja kwangu miezi 5 iliyopita, ana umri wa miaka 17 kwa sasa ila amekuwa mraibu wa kucheza gemu la mpira linaitwa eFootball mpaka anakesha usiku mzima analala saa 10 alfajiri hivyo analazimika kuamka saa 7 mchana. Nimeshaongea mno mpaka nimekata tamaa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndio biashara ya kufanya Kwa kijana anayetaka kufanikiwa/kuongeza kipato.

    ukiwa na mtaji chini ya million 20 usijichanganye kwenye biashara za muonekano ambazo, taka, frame, TRA, manispaa, ulinzi n.k wote wanakuangalia wewe, na hii era tunayoenda nayo ndio basi tena, Kwa miaka ya Sasa mtaji wa 5M -10M ukiikimbiza kwenye frame labda uwe na rare skills ambazo watu...
  14. JamiiForums Tanzania Kijana wa kidato cha pili Kenya apigwa mpaka kufa kwenye ugomvi wa kuongoza maombi.

    Ugomvi wa vijana wawili nani aongoze sala au swala katika shule ya Sekondari ya Thika umepelekea kijana Mohamed wa jamii ya Wasomali kufariki baada ya kupigwa na mwenzake vibaya sana.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kijana ulieajiriwa bila mkataba wa uhakika, hakikisha una ofisi kabla ya 35, mabosi wanawakwepa 35+, usisubiri kujifunza kwa uchungu life starts at 40

    Tanzania, kwenye sekta nyingi nje ya Serikali na makampuni machache makubwa, ajira mara nyingi hazina uhakika wa muda mrefu. Ukiongeza na tabia ya baadhi ya waajiri kupendelea waombaji wa umri mdogo ambao hawajavuka 30 za mwanzoni, ni risky kubwa sana kuendelea kuweka matumaini yako hapo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Simba na Yanga Kila Wikiendi: Je, ni Upendo wa Mpira, Tiba ya Stress za Maisha, au ni Mtego wa Kisiasa na Kibepari Unaomnyonya Kijana?

    Wakuu, inakuwaje? Wikiendi hii jiji la Dar es Salaam limetawaliwa na kile kinachoweza kuitwa "vurugu za makombe mtaani." Kwanza tuliona Paredi la Yanga SC la kusherehekea Ubingwa wao, likiongozwa na Rais wao Eng. Hersi Said aliyeibuka juu ya gari la wazi akidunda na mataji mbele ya mitaa ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kijana usiwe kataa ndoa ni hatari inafupisha maisha

    Mimi pia ni kataa ndoa na wengi humu wanajua hili ila ukweli nitausema. Ishu ya kataa ndoa ilianzia mitandaoni ila ishafika mitaani na vijana wameanza kuhubiriana na ninaiona hatar kubwa.Huu ukiwa utamaduni maisha ya wanaume wengi yataharibika na single maza wataongezeka sbb kataa ndoa...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  19. JamiiForums Tanzania Kijana usikubali kuwa kwenye mapenzi na binti mpumbavu

    Mtu mpumbavu hupimwa kwa yale yamtokayo moyoni mwake. Au hupimwa kwa chatting stylist yake. Binti unachat naye kidogo anaanza kuandika njaa inaniuma. Hajala anasema , anahitaji umtumie elfu 5 ya kula. Huyu ni binti mpumbavu, ukimwoa mtazaa watoto wajinga wenye mtindio wa akili. Elfu 2 anaomba...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Tuliolima mpunga sasa gunia ni Tsh. 130,000/= halafu kijana unashadadia maandamano

    Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali. Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi zaidi ya harakati zangu binafsi ili mkono uende kinywani. Nililima na Sasa nimevuna mpunga wangu,bei ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…