kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  2. Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

    EMMANUEL GEKUL ambaye ni mdogo wake mbunge wa Babati Mjini (CCM), Pauline Gekul akimtishia kumuua kwa kumkata kichwa na kumpiga risasi PAULINA SLAA NARSIS mkazi wa Babati Mjini akimtuhumu kusambaza video za Hashimu Ally. HASHIMU ameeleza jinsi alivyotekwa, kuteswa akiwa ameshikiwa bastola na...
  3. Pauline Gekul ajibu tuhuma za kumdhuru na kumdhalilisha kijana

    Wakati makundi mbalimbali yakimjia juu Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, Pauline Gekul kwa madai ya udhalilishaji, mwanasiasa huyo kupitia katibu wa ofisi yake, ametoa ufafanuzi akigusia madai ya kuwapo imani za kishirikiana na ushindani wa kibiashara. Ufafanuzi huo awali ulitolewa na Hussein...
  4. Kijana mzalendo amvaa Paul Makonda ahoji ukimya wake mkataba wa bandari

    UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO NKINDIKWA DAVIDKUHUSU TATHMINI YA ZIARA YA KATIBU WA ITIKADI NAUENEZI WA CCM TAIFA, NDG. PAUL CHRISTIANMAKONDA ALIYOIFANYA KATIKA MIKOA YA KANDA YAZIWA MWEZI NOVEMBA 2023. 1. UTANGULIZI Ndugu waandishi wa habari leo jumatatu tarehe 20/11/2023 nimewaitaili...
  5. Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

    Amemaliza chuo kikuu ngazi ya Shahaada mathalani 2015. Amejitahidi kusaka ajira serikalini na kwenye sekta binafsi tangu wakati huo, mpaka sasa bila bila, na anaelekea kukosa sifa za kuajirika kwa mujibu wa sheria kutoka na kigezo cha umri na uzoefu. Mambo ni mengi na ni Magumu, na muda ni...
  6. Kijana mpya ndani ya WCB Wasafi

    Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏 Wanajamii support kipaji kipya hiki. #SwahiliKid #WCB4LIFE
  7. Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  8. Kijana wa Kukaa Shamba anahitajika

    Shamba lipo hapo Wilaya ya Kisarawe. Majukumu ya kijana ni kuweka mazingira sawa, kulima na kuhakikisha majani hayaoto kwenye shamba husika. Shamba ni la heka 2, halijapandwa zao lolote lina majani. Kuna nyumba katikati ya shamba ambayo ndio makazi ya kijana husika. Nyumba imekamilika inayofaa...
  9. Ally Hapi, kiongozi kijana wa mfano aliyefanikiwa kupata mtaji akajiongeza

    A man is my role model, kama kiongozi aliyeshikilia nyadhifa mbalimbali za kiuteuzi na kufanikiwa kupata mtaji wa uhakika, ambao amefanikiwa kuutumia vyema katika kuendeleza mashamba makubwa ya ki setlers, tofauti na viongozi wengine ambao baada ya kuenguliwa katika posts huanza kulia lia, na...
  10. M

    Peter Madeleka: Mwili wa kijana Enock Elias umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji Wilayani Kibondo

    Kuna taarifa kuwa mwili wa kijana ENOCK ELIAS SEBAKWIYE umekutwa umezikwa kinyemela baada ya kukamatwa na uhamiaji wilayani KIBONDO tarehe 27 Oktoba 2023 akidaiwa kuwa ni Mkimbizi. Kama taarifa hii ni kweli, ninalaani kitendo hiki na Wahusika akiwemo Makakala, wawajibishwe.
  11. Kijana, Wapi uliteleza hadi kuharibikiwa kimaisha?

    Safari yetu ya utafutaji katika dunia hii imejaa misukosuko mingi sana either ya kifamilia, ndoa, kazi na kipato. Wapo watu chungu nzima dunia hii inawasulubu na hawajui wafanye nini kila wanalofanya linakwama iwe ajira, mahusiano na kipato. Wapo watu ambao mambo yao yamewanyokea kutokana na...
  12. Kwanini ujinyonge kisa mwanamke? Kijana mwenzetu kajinyonga kisa "Mwanamke"

    GREETINGS Nawasalimia kutoka huku vichakani, huku ndani ndani kwenye ofisi yangu iliyo kijijini sanaa kwa kuwaambia ""TABULELE Raaaaaaaa"" Twende kwenye hoja..... Hivi wewe kijana wa kiume mwenzangu kwanini uwekeze kwa mwanamke huku unajua kuwa ukipoteza huwezi vumilia hiyo hasara? BODY:- Mi...
  13. Japo Maisha ni magumu ila unaweza kujifunza mbinu mbalimbali Kama kijana ili kupunguza ugumu wa Maisha.

    Kama kijana mahala popote ulipo hakikisha unayapambania mahusiano mazuri na watu wenye umuhimu kwako. Jinsi ambavyo unayapambia mahusiano ya kimapenzi ili yakupe short pleasure as the same pambana mara kumi yake kupambania kujenga mahusiano mazuri na watu wako wa muhimu. Usikubali mtu afahamu...
  14. Familia ya Hayati Magufuli kusimamisha kijana wao Ubunge wa Chato 2025, Samia kuzunguka naye kimkakati mikoa maalum

    Kuna habari za chini ya kapeti kwamba familia ya JPM inajipanga kusimamisha kijana wao agombee ubunge wa Chato. Karata hii inaungwa mkono na watu wa mfumo, hasa kwa kuangalia malengo ya uchaguzi mkuu 2025 na kuzikamata kura za Kanda ya ziwa. Habari zinaeleza kwamba, kimkakati, Mama Samia...
  15. Usiku mwema kijana mwenzangu. Hakikisha unakuwa na pesa za kutosha kwa njia yoyote ile

    Hakikisha pesa hazikauki kwenye account zako za benki, kwenye line za simu na chumbani kwako. Hautaumwa hovyo, hutaitwa wee bali watakuita kwa majina yako. Utaushi kwa furaha. Hakikisha katika ukusanyaji wako wa pesa usiue wala kumuumiza mtu. Asante
  16. Huyu Kijana Mungu alimpa kipaji cha Kuimba mno!

    Hebu sikiliza hiyo sauti aiseee
  17. Kijana makini na wathamani hawezi kuwa mtu wa kuchezea wanawake.

    Unapokutana na mwanamke katika safari yako ya MAISHA hapa namzungumzia kijana amabaye yupo na Malengo Makubwa kuhusu MAFANIKIO na anajua thamani yake . Hivyo katikati ya safari yako unaweza kumuhalika Mwanamke kuwa aje katika MAISHA yako kwa lengo la kutafuta ukamilisho na kukamilishana na sio...
  18. Kijana mwenye ndoto ya kujisomesha usiwe na haraka sana. Hiyo ada uliyojichanga izungushe kwenye biashara kwanza

    Mwaka 2015 nilipata Admission ya kwenda kusoma Masters kwenye ujasiriamali pale UDSM. Nilishapokea maelekezo yote ikabakia kulipa tu ada. Nilivyojicheki nikaona hadi wakati ule nilikuwa nina pesa ya kulipa ada na gharama zingine kwa mwaka mmoja tu. Hata kama Masters sio muda mrefu bado pesa...
  19. Ruvuma: Kijana wa miaka 24 ahukumiwa jela maisha kwa kosa la kulawiti mtoto wa miaka mitano

    Mahakama ya Wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Oktoba 25, 2023 imemuhukumu kifungo cha Maisha jela, Pius Stephano Mbunda (24) mkulima na mkazi wa Kijiji cha Tingi Wilaya ya Nyasa baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kumlawiti mtoto wa kiume (5). Akisoma hukumu hiyo ya kesi ya Jinai Na 31 ya...
  20. Kijana wa Mbowe asifu uteuzi wa Makonda, asema anafanya siasa safi za hoja kwa hoja

    Kijana wa Mbowe ambaye ni maaarufu mtandao wa twitter kwa kumlinda Mbowe kwa gharama yoyote. Ameonekana akimsifu Makonda kuwa ni mwanasiasa mahiri anaeziweza siasa za hoja kwa hoja na sio za kushikiana mtutu. Hii imekuja siku chache baada ya Lissu akionekana hadharani akiuoponda uteuzi wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…