kijana

Michael Christopher Kijana Wamalwa (25 November 1944 – 23 August 2003) was a Kenyan politician and, at the time of his death, served as the eighth Vice-President of Kenya.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  2. JamiiForums Tanzania Arusha: Kijana mmoja ajinyonga baada ya kuachwa na mpenzi wake wa chuo

    Amani kwenu watumishi wa MUNGU One Man down again Ni denzi kinoma huyu chali ya chuga He rest down because of love MUNGU MWENYEZI awatie nguvu wana familia LONDON BOY
  3. JamiiForums Tanzania Kijana mama yako mzazi unamwita majina ya hovyo mara bimdashi, bimkubwa, lakini mama asiye wako unamwita mama, tena kwa heshima

    Hii nchi ina vijana wa hovyo, na wazee wa hovyo pia wapo. Mama yake mzazi anamwita bimkubwa, bimdashi, mazeri lakini mama wa wengine ndiye anamwita MAMA, anajua mpaka tarehe ya kuzaliwa ya mama wa mwingine ila mama yake mzazi hajui lini kazaliwa. Hata kama njaa kali this is too much.
  4. JamiiForums Tanzania Hakimu anamuuliza huyu binti, "kwa nini ulimuacha huyu kijana?", binti anajibu "i thought he was too nice" ila wanawake, duuh🤣🤣

    "i thought he was too nice" Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari. Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi Fantasy yao huwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kijana huyu kaniumiza sana ndugu wabaya sana

    Hello Hii kitu ni ya ukweli kabisa sio kutunga nimeshuhudia kulikuwa na usahili hivi juzi huyu kijana unasemekana kwao ana chezewa na ndugu zake kapatwa na matatizo ya kutosikia kabisa mpaka uwe jirani yake ndio umshute aelewe kinacho ongeleka ila nje ya hapo hasikii Wakaita jina lake...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana unaishi kwa dadaako huna mbele wala nyuma, unalala dago, halafu unatuvimbia wapangaji!

    Wakuu nimebahatika kupanga huku mitaa ya gongo la mboto, mombasa sasa hapa nilipopanga huyu bwana mdogo dada kaolewa hapa na mwanajeshi basi kijana anaona kamaliza asalimii wakubwa na wakubwa tukiamua kumpa hi dogo aniitika kwakujisikia sana. HIVI inakuaje mtu asie na mbele wala nyuma anakua na...
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku wa kisasa.

    Natafuta kazi ya kuhudumia na kutunza kuku hasa kuku wa nyama, Nina uzoefu wa kutosha wa kazi hii kwa miaka mitano sasa.. Kwa yoyote anayehitaji kijana anitafute WhatsApp kwa namba hii 0788109052.
  8. JamiiForums Tanzania wakuu nashida na kazi

    kijana wa miaka 22 pia nnalesen ya udereva class d nimeish form 4 ila nahitaji kazi yoyote kwa sasa ya kujikimu kwa sasa .... natanguliza shukrani zangu za dhati.
  9. JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2030 Dkt. Nchimbi ataishi maisha ya kipweke angali kijana kama ilivyo kwa Obama, Sumaye na Vuai Nahodha

    Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea. Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
  10. JamiiForums Tanzania Kijana hivi viwe vipaumbele vyako kwa mwaka 2025

    Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️ Kijana tumeuanza mwaka mpya 2025, hivi ndivwe vipaumbele vyako:- 1. Uwe mwaka wa kuoa na kuazisha familia. 2. Usiwe mwaka wa kujenga na kununua visivyohamishika mfano (Kiwanja, nyumba, mashamba Bali 3. Uwe mwaka wa kununua vyenye kukufanya mwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Huyu kijana Amedhalilika sana

    Kijana kaitwa kama mbwa nihuzuni
  12. JamiiForums Tanzania Kuna kijana anauliza huu ni mshahara kiasi gani 'TRAS 1:1' ?

    Ufafanuzi wakuu hapa kuhusu hiki kiwango cha mshahara .
  13. JamiiForums Tanzania Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)?

    Uliwezaje kumwongoza kijana balehe kimalezi kwenye umri wa upumbavu (foolish age)? Umri una changamoto sana huu maana kijana ameanza kuutambua ulimwengu na mema yake. Kipindi hiki kiburi kinakuwa kwenye ubora wake Kama ni mkaka basi atajiona tayari kawa mbaba Kama ni mdada basi atajiona...
  14. JamiiForums Tanzania Mbowe alianzisha CHADEMA akiwa kijana, Lissu alianzisha nini akiwa kijana?

    Tuongee kwa mifano, wewe ulianzisha nini kama hao uliowataja ili tuige?
  15. JamiiForums Tanzania Kijana Anatafuta kazi /Kibarua kwa Sasa yupo Dar (DSM)

     Kijana anatafuta Kazi au kibarua Kwa sasa yupo Dar es salaam. Sifa zake hizi hapa Umri miaka 20 Jinsia ME Aina ya Kazi . Kazi Kama za jikoni anaweza kufanya mfano katika pub n.k Kazi Kama kulinda na kusimamia Nyumba . Na Kazi nyingine zote Kama kukaa dukani , kuwa PA wa mtu personal...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kijana John Mnyika apongezwe kwa uzalendo wake!

    Katrika watu kwenye nchi hii ambao wanahitaji pongezi ni John Mnyika. Hana skendo ya rushwa na kila kwenye mijadala mikubwa ya Chadema anakuwepo. Endapo Mbowe akishidwa mtu ambaye anaweza kuhakikisha hakuna hujuma kwenye Chama kwasababu ya ego za watu wa Mbowe ni John Mnyika. Huyu ni mtu...
  17. JamiiForums Tanzania Nilimuelewa yule kijana swali lake kwa Dr. Zakir Naik na namuomba apitie humu namsaidia majibu yake

    Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu. Kuna kijana alipewa nafasi ya kuuliza swali akataka kujua ufafanuzi wa aya na inaonekana alikusudia aya mbili za surat naml (27:39-40). Kijana yule kwanza nampongeza maashaallaah anajua kusoma quran, alianza kwa kuzisoma hizo aya na bahati mbaya akaishia aya...
  18. JamiiForums Tanzania Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo

    Tumuimbie Nyimbo Gani Huyo Kijana hapo
  19. JamiiForums Tanzania From Wailes Primary Kayumba to Azania Sec . Hongera sana Naynay wa Tandika House Of Fashion.A zote za kijana wako zimeniheshimisha kwa mama mkwe wangu

    Salha ( 19) is one of my girlfriends. She was born in 2005. Her mother was born in 1988. I am 3 years older than my mother in law. Nampenda Salha kwa sababu ana nyota Kali sana ya hela. Kwa mnao shangaa how comes Likud ninakuwa na mademu wengi hivyo? The answer is here 👇👇👇 Nina mademu wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Ni aibu Kijana unaishi ndani ya Jiji kama Dar es Salaam halafu unateswa na mahusiano

    Kabla ya yote, Maisha ni Mahusiano Dar es Salaam kama yalivyo majiji mengi kuna idadi kubwa ya watu. Na sehemu kubwa ya hao watu ni vijana. Kila mwaka kuna idadi kubwa ya vijana wa kike na kiume wanaingia jijini, iwe kutafuta elimu, kutafuta kazi, na hata kutembelea ndugu. Na wengi hapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…