Nimelelewa na wazazi na kufundishwa kuwa muadilifu, mtiifu, mwenye heshima kwa mkubwa na mdogo
As nimekulia kileji katika harakati za utafutaji nikaibukia town, niseme tu life ya town ni tofauti sana kwa kijana mwenye maadili na alielelewa katika kuheshimu, kuwa na haya na kutenganisha masuala...