Nisiwachoshe
Kama huna nia ya kumla mwanamke acha kabisa story nae. Mademu wengi wanapenda sana mazoea na wanaume lakini deep down wanakua na agenda zaidi hasa kumtumia na kisha kuhakikisha heshima ya mwanaume huyo inashuka.
Naongea from experience furaha ya wanawake wengi ni kuona mwanaume...
Wadau Habari,
Jana nikiwa nje ya nyumbani nilipigiwa simu na mke wa rafiki yangu.Akanieleza kuwa ameingia kwenye chumba cha mtoto wake wa kiume kufanya usafi amekuta kuna Boxa na kaptura zimechafuka kwa haja kubwa.
Alipo subiri kijana arudi shule akamuuliza taratibu na majibu yalikua ndio...
NAFASI YA KAZI
Anatafutwa Kijana wa Kiume wa kuuza duka -Hardware (tarehe ya mwisho 15/7/2025).
SIFA
🔹Awe amemaliza Kidato cha 4
🔹ANAEJUA HESABU
🔹Umri miaka 20 au zaidi
🔹ANAEISHI MADALE, WAZO, KULANGWA au maeneo jirani.
🔹Mwenye uzoefu atapewa kipaumbele.
🔹Muombaji atume maelezo mafupi...
1. Mwanamke anatumia sex kama zawadi, adhabu au nyenzo ya ulaghai kwa mwanaume.
Umemfurahisha ? Atakupa sex. Umemkosea? Atakunyima sex. Umemfanyia wema? Atakulipa sex. Anataka kitu kutoka kwako? Ata-negotiate kwa sex.
Usitarajie kupata valuable return yoyote kutoka kwa mwanaumke. Anakuja...
Nyakati ambazo kwa kawaida wanaume wengi wanaoa kwa mara ya kwanza ni pale kwenye 30's, kwa sababu 20's ni kipindi ambacho mwanaume bado anajitafuta, sasa utakapoingia hapo third floor na kuona kuna haja ya kuoa, mwanamke anaekufaa ni yule mwenye miaka 18-23.
Mwanamke ambae ni agemate wako...
Maisha si hadithi ya kufurahisha. Si tamthilia ya kihisia unayoweza kufurahia kwa mbali huku ukiamini kuwa mambo mazuri yatakujia bila jitihada. Kila kijana wa kiume anapaswa kukabiliana na ukweli huu wa maisha—kwa maana usipoukabili, utabaki kuwa dhaifu, usiyejiweza, na mnyonge kwa njia...
1️⃣ Tumeshuhudia ongezeko la vijana wa kiume wanaokataa ndoa au kuikwepa. Hili si jambo la bahati mbaya, bali ni matokeo ya malezi yaliyomwacha mtoto wa kiume bila mwongozo wa kutosha.
2️⃣ Kwa miaka mingi, harakati za kumwinua mwanamke zilihamasisha elimu, ajira, na haki za wanawake, jambo...
Kama una miaka 40+ na unafanya yafuatayo:-
Unafua nguo mwenyewe
Unapiga nguo pasi mwenyewe
Unajipikilisha/unajipikia mwenyewe
Unajitandikia kitanda mwenyewe
Unajiandalia chakula mwenyewe
Unaishi peke yako
Unajifungulia mlango au geti mwenyewe n.k
Elewa, kuna sehemu kutakuwa na tatizo; jaribu...
Wasalaam,
(Maalumu kwa kijana wa kiume kati ya umri wa miaka 20-30)
Kwako mpendwa kijana wa kiume.
Inaweza hii ikawa si mara ya kwanza kuona nyuzi za namna hii au zenye kufanana na hii kukuzungumzia wewe kijana wa kiume, hii ni kukukumbusha kuwa....Ni rahisi kuzaliwa na jinsia ya kiume ila...
Wakuu tushauriane hapa.
Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie.
Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
Nyakati hizi ni kawaida kumuona kijana wa kiume akiwa amesuka ama kuvaa hereni. Zamani tulikuwa tukiwaona wasanii ndio walikuwa wakivaa hivyo labda lengo likiwa ni kutaka kujitofautisha na wasio wasanii. Lakini bado kulikuwa na maswali ya kujiuliza.
Leo hii ata wasio wasanii, ni kawaida kabisa...
Kuna delusional theory imesambaa kwenye jamii zetu za kiafrika kwamba kuoa kunafungua milango ya mafanikio kwa mwanaume. Kwa kijana yoyote wa kiume kama wewe ni muumini wa iyo nadharia basi leo nakufungulia code kwamba umedanganywa.
Vijana wengi mmejazwa uongo vichwani mwenu kwa kuaminishwa...
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+ una ushauri gani kwa madogo sana sana kwenye suala la mahusiano na uchumi.
Mwaga sumu kwenye...
Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache
1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
Kijana wa KIUME kuna mambo, unapaswa kuyaepuka maisha yako Yote.
1. Kuishi kwa Mwanamke, au ukweni.
2.Usijenge katika kiwanja Cha ukweni au Cha mwanamke.
3.Usiishi kwa kumtegemea mwanamke kwa chochote.
4.Usioe Mwanamke ambae amekuzidi kwa kila kitu.( Elimu, pesa na Mali.)
5. Usimuoe...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!
Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au...
Anahitajika kijana wa kiume ili auze pharmacy mwenye leseni au kama hana boss anaweza kumlipia na watakatana kwa salary
Duka lipo Lindi mjini, Kijana huyo atapatiwa sehemu ya kulala ambayo chumba na sebule
Umeme na maji vinapatikana na vinalipiwa na boss
Kwa mawasiliano zaidi piga +255 627...
Nimepita maeneo flani nmekuta Graduation ya kijana wa kiume sherehe kama harusi hadi kuna MC ivi kweli mtoto wa kiume anafanya ivo.
Nikikumbuka 2017 nilitoka kwenye Graduation nikaenda kucheki game ya Man Utd kama hakuna kilichotokea.
Salaam!
Hivi kwanini wakuu watu siku hizi ukiwaambia kuna hela nasikilizia hapa au kuna mishe naisikilizia hapa wanaona kama kijana analeta janja janja 😅😅😅
Tena ukitaka uachane na demu akuombe pesa afu umjibu kuna mishe nasikilizia hapa itiki ✅ ✔ yaani ile ikitiki nitakusanua, huyo demu lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.