kiislamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Natamani wanawake wa kiislamu waige mazuri ya Bi Khadija wa kwenye Hadithi za Mtu S.A.W

    Wasalaam JF, 👇👇👇 Hakika ni vema mwezi huu wa mfungo wa ibada naomba ikawe neema na nuru ya ukombozi, wanawake wote wapendwa waislam maustafhati wote wafanye mazuri na wajaaliwe kama Bi Khadija. Na kheri ikawe nanyi wote, binti zetu, dada zetu, mama zetu, shangazi zetu, na Bibi xetu nyote...
  2. JamiiForums Tanzania Waislamu kwenye ndoa na mazishi wametuacha mbali sana Wakristo

    Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi. Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha. Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwanaume wa kiislamu aliye tayari kuwa rafiki, mchumba hatimaye mume

    Asalam aleykum Nimekuwa single kwa mda mrefu nimeona sasa ni muda sahihi kuwa na familia Sihitaji Mtu wa kusumbuana nae tena Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia mwenye uhitaji navigezo ninavyohitaji naamini Kuna wanaume wema wenye uhitaji Sifa za mwanaume. -Muislam awe anafanya ibada...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wa kiislamu mbona hawangaiki na ndoa?

    Hawa wanawake wa kiislamu huwezi kukuta wanakosa mwanaume wa kumuweka ndani. Kumbe ukivaa vizuri, ukajitunza, basi wanaume watakuweka ndani. Sasa hawa wanajipoa weee then wanaishia kuwa single mother na kujiingiza katika kampeni uchawara za feminist. Nimegundua hili jambo kuwa mwanaume mwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Makanisa yatishiwa kulipuliwa na makundi ya kiislamu kule Vienna

    Polisi wameimarisha usalama kwenye majengo yote ya makanisa baada ya kupata taarifa kuhusu tishio la waislamu kupanga kuyalipua..... Austrian police warned Wednesday of a possible "Islamist-motivated attack" in Vienna against churches, citing undisclosed information received by the country's...
  6. JamiiForums Tanzania Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa Mbezi Beach Chateketea kwa moto

    Chuo cha Kiislamu cha Al Mustafa kilichopo maeneo ya Mbezi Beach Makonde, Jijini Dar es Salaam kinateketea kwa moto. Chanzo cha Moto huo bado hakijajulikana. ===== UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule amesema moto uliounguza Chuo cha AI Mustafa Mbezi Beach Dar es salaam usiku...
  7. JamiiForums Tanzania Bakwata ni taasisi ya serikali yeye viongozi wa kiislamu

    Uisalam utabaki kuwa uisalam. Uisalam hauna mambo mengi kama watu wanavyodhani na kuongopeana ingekuwa inafuatwa Quaran . Kila kitu kingekuwa sawa. 📌 waislamu wengi hawapendi kusoma wako bize ila ndo kama yanayotokea .. unaweza ukajua kusoma na kuandika ila kupata maarifa nikitu kingine. ...
  8. JamiiForums Tanzania KWELI ISLM, Islamic Coin: Cryptocurrency ya kiislamu yaidhinishwa na Fatwa

    Miaka ya 2000s imekumba na mabadiliko mengi ya kiteknolojia ikiwemo uwepo wa safaru za kidigitali ambazo haiziwezi kudhibitiwa na mamlaka za serikali (Benki Kuu). Sarafu za kidigitali zinazotambulika hadi sasa ni pamoja na BitCoins na OneCoin. Sarafu nyingine ya Islamic Coin (ISLM) imeibuka...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka binti yangu(Mkristo) kwenye seminary ya kiislamu iliyopo Dar (wanasoma day). Je, ipi ambayo haina masharti ya kutaka awe muislamu?

    Naombeni msaada tafadhali. Je nitapata seminari ya kiislamu inayo FANYA vizuri ambayo huyu mtoto ataenda kusoma bila kulazimika kuwa muislamu? Mfano kutakiwa kuswali, kujifunza koroani etc. Mambo mengine yote atafuata kama mavazi na sheria nyinginezo za shule?.ushauri wenu tafadhali. Iwe dsm...
  10. JamiiForums Tanzania Magaidi wateka kituo cha kupambana na magaidi Pakistan

    Jamaa huwa wana mzuka sana, Wanateka taifa lenye zana za kinyuklia, ndio maana inapaswa Iran izuiwe kabisa kumiliki hayo madude, maana mataifa yanayoendeshwa kwa mizuka ya kidini ni hatari sana. DERA ISMAIL KHAN, Pakistan (Reuters) - Islamist militants seized a counter-terrorism centre in the...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa nini SALMAN RUSHDIE alitangaziwa Fatwa na Ulimwengu wa Kiislamu kwa kuchapisha Kitabu cha Aya za Kishetani?

    Kama Lugha ya Kiingereza ipo kwako na unaielewa. Msome SALMAN RUSHDIE KATIKA KITABU CHAKE CHA AYA ZA KISHETANI.
  12. JamiiForums Tanzania Iran yaishiwa, yasitisha kufadhili magaidi wa kiislamu

    Hali imekua tete kwa makundi ya kigaidi ya waislamu, Iran iliyokua ikiwafadhili imeishia na haitumi hela tena.... Na maandamano Iran bado yako pale pale ili kupinga dhuluma zinazofanywa na mapolisi ya kidini. Iran has stopped channeling funds to a number of Palestinian factions, the Palestinian...
  13. JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa SADC waua wapiganaji wa kiislamu 30

    Mpambano mkali baina ya wanajeshi wa SADC na wapiganaji wa kiislamu ambao humpigania 'mungu' wao umeshuhudiwa Msumbiji na hatimaye wapiganaji 30 wakawahishwa kule peponi..... The mission sent by the Southern African Development Community (SADC) to northern Mozambique to combat terrorism in...
  14. JamiiForums Tanzania Iran: Waandamanaji watia kiberiti iliyokua nyumba ya Khomeini, wanapinga dhuluma kutoka kwa dini ya kiislamu

    Wananchi wamechachamaa....hadi kieleweke, wamechoka unyanyasaji wa kidini, kila mtu aachiwe huru kwenye masuala ya kiimani, Iran ilikosea sana kumuua mwanamke kisa kipande cha nywele kilichomoza kichwani, serikali inaendelea kuwaua ili kumpigania "mungu" wa waislamu ila wananchi wameamua hata...
  15. JamiiForums Tanzania Somalia: Watu 100 wauawa kwenye mlipuko wa mabomu ya kutegwa kwenye magari

    Rais wa Somalia amesema kuwa takriban watu 100 waliuawa katika mashambulio mawili ya mabomu yaliyofanywa kwenye barabara kuu ya Mogadishu na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. Katika taarifa yake, Rais Hassan Sheikh Mohamud akiwa katika eneo la milipuko amewaambia waandishi wa habari kwamba watu...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Benki ya Uganda yazindua akaunti ya kwanza inayofuata sheria za Kiislamu

    Benki ya Finance Trust ya Uganda imezindua akaunti ya kwanza kabisa inayofuata sheria za Kiislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Viongozi na shakhsia mbalimbali wa Kiislamu walihudhuria hafla ya uzinduzi wa akaunti hiyo inayoitwa 'Halal' jana Alkhamisi katika mji mkuu Kampala. Julai...
  17. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

    Ili maiti aweze kuoshwa vizuri hatua zifuatazo ziweze kupitiwa: 1. Maiti awekwe kwenye kitanda chenye tobo katikati kwa ajili ya kupitisha uchafu utokao tumboni kama upo. 2. Lichimbwe shimo (ufuo) usawa wa tobo la kitanda ili kuhifadhi uchafu utokao kwa maiti. 3. Maiti afunikwe na shuka kubwa...
  18. JamiiForums Tanzania Wapiganaji wa Al-Qaeda walivyolipua msafara wa chakula nchini Burkina

    Duh sikujua jamaa wapo hadi nchi maskini kama Burkina, walivamia na kuua madereva na wafanya kazi wa msafara wa chakula uliokua unasafiri kwenda kusaidia vijiji vyenye njaa... The ambush, claimed by Al-Qaeda, officially killed 37 people, including 27 soldiers. But 70 truck drivers remain...
  19. JamiiForums Tanzania Wapiganaji wa Al-Shabaab wajilipua mabomu Somalia na kuua tisa

    Jamaa wana uzombi sana....roho ngumu yaani. Al-Shabaab militants have claimed responsibility for two suicide car bombings targeting the Lamagalaay area of Beledweyne, Hiran Region, Oct. 3. The blast killed at least nine people, including senior government officials. Heightened security...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi wanaosimamia Sharia za kiislamu waondoka mitaani Iran baada ya waandamanaji kuchachamaa hawataki

    Sasa hivi wameondolewa mitaani sababu waandamanaji wasiotaka kuvaa ajabu wanawafanyia Fujo na kupigwa mawe nk Sasa hivi hawapo mitaani kabisa .Wako tu Askari wa kawaida wa dini hawajulikani wamepotelea wapi!! Watu sasa wanawake wengi wanatembea bila hijab mchana kweupe Source: Aljazeera
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…