kiingilio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nashauri haraka, SUGU na Proffesa J, hii Milioni 40 ya Tone Tone, iliyobakia muitafute uwanja wa mkapa, wekeni Kiingilio kiwe Sh;500 tu.

    Nimemsikiliza MH john heche Makamu ,Mwenyekiti wa CHADEMA akisema imebakia 40m wafike lengo la kukusanya milioni kadhaa za Baraza kuuu takatifu la CHADEMA. Nashauri, Mr SUGU na Proffesa J andaeni shooo iitwe tone tone stendaup. Uwanja wa Taifa Kiingilio kiwe sh 500 tu kwa kila mpenda...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mabadiliko ya ghafla ya kiingilio HIFADHINI bila notisi kwa wadau wa UTALII

    Habari za muda huu kiongozi wa Jamii Forums, Nikiwa kama Mtalii na mdau wa Utalii wa Nyanda za Juu kusini mwa Tanzania, nipende kuwasilisha kero yangu Kubwa na kwa watalii wengine. - Ikumbukwe tokea Bei za mafuta zipande April Mosi, kuna baadhi ya Hifadhi ya Taifa nayo imepandisha bei ya...
  4. JamiiForums Tanzania MWANZA: Ni mjadala mkali hapa Prof. Mukandara pale David Kafulila, Jumamosi 26|07|2025

    == Hii kama itafanyika nchi nzima Kwa namna hii basi Kwa mara ya Kwanza Tanzania itapiga hatua kubwa katika maendeleo kupitia PPP hasa Kwa level ya Halmashauri na Mikoa. == Mwanza mmebahatika msikosee,
  5. JamiiForums Tanzania Kikundi chenu kina kiingilio cha shilingi ngapi? Kutana na Royal Family, kiingilio shilingi milioni mia tano!

    Naam. Kiingilio 500,000,000 tu. Watu unaokaa nao, utafanana nao
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hakuna Kiingilio!! Kichekesho na utapeli wa mialiko ya mikutano ya injili

    Utawasikia kwenye mialiko yao redioni, kwenye TV na vipeperushi watangaza mialiko uende kwenye makusanyiko yao wanasema hakuna kiingilio, kiingilio ni bure! Ukifika huko unahubiriwa habari za kutoa sadaka na madhara utakayopata kama hutoi! Unachotoa kinaingia kwenye mfuko wa mhubiri na mke/mume...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Yanga kiingilio cha elfu 5 pia kimewashinda?

    Hii timu kweli huu ubingwa wanaupata kihalali au wanatumia uchawi wa kizungu kwa timu kinzani.? Haiwezekani timu inachukua ubingwa 3 years consecutive lakin mashabiki wake bado wanashabikia mtandaoni na hawana imani zaidi ya timu yao. Kutwa kubishana mshahara wa Azizi Ki mara azizi anatoka na...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Msanii mkongwe nchini Ferooz asema kuwa enzi zao walianza kutoa show kwa kulipwa Tsh.30,000, kiingilio ni buku jero mpaka buku

    Wadau hamjamboni nyote? Soma maneno ya msanii mkongwe nchini Ferooz "Tulianza show kwa kulipwa Tsh.30,000 na kiingilio ilikuwa ni buku jero mpaka buku getini" - Feroozz mkongwe Bongofleva akiongea EA Radio
  9. JamiiForums Tanzania Derby kiingilio tufanye bure. Simba hawaonekani kutaka kuja Uwanja utapwaya sana

    Sisi Yanga huwa uwezo wa kuingia uwanjani wengi hawana. Mara nyingi mpaka iwe bure au kiwango cha chini sana. Sijajua ni utamaduni wetu au ni nini. Simba wanapenda sana kwenda Uwanjani. This time naona sababu sisi ndo host ni kama wana kamgomo flani. Hawaoneshi kabisa nia ya kuja uwanjani. Na...
  10. JamiiForums Tanzania Ngoma ngumu kwa Mamelody, washusha kiingilio. Injinia awashika pabaya

    Mwanzoni Mamelody waliweka kiingilio Rands 20 . Then Injinia wa mpira, Hersi Said akatangaza kiingilio bure kwa kila shabiki wa Yanga atakae ingia uwanjani loftus kuwaspoti Yanga ( umewekwa utaratibu wa kuwalipia mashabiki wote wa Yanga watakao ingia uwanjani leo) Mamelody wametangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Kiingilio bure kama rede au ladies free!

    Mechi ya Yanga na Mamelod imenikumbusha mchezo wa rede ambao huwa hauna viingilio. Imenikumbusha pia disco ambazo viingilio huwa bure kwa wanadada warembo. Hili jambo viongozi na mashabiki wa Yanga waliangalie. Waache kuwafanyia mashabiki dhihaka ya kuwalipia viingilio kama wanakuja kutazama rede.
  12. JamiiForums Tanzania Wale wazee wa Tegeta vibanda umiza mnamkumbuka huyu mwamba kiingilio sh 10

  13. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Movie Kali Pendwa miaka hiyo ya 1980s-1990s na vibanda umiza kiingilio sh.10.

    Tujikumbushe Movie Pendwa na mabanda umiza ya video wakati huo miaka ya 80-90 wa screen chogo na VHS. Nakumbuka wakati nikiwa Mbeya Kuna sehemu ilikuwa inatwa kwa Mponzi watu walikuwa wanavaa hata hewa hamna sehemu nyingine panaitwa K.K.K kwa Mzee mmoja alikuwa anaitwa Mwakilembe ya Yasini huko...
  14. JamiiForums Tanzania Simba kwanini kiingilio kisingekuwa elfu kumi kama Yanga??

    Mimi ni mwanachama kabisa wa Simba sio Tu shabiki... Naona kama lengo lilikuwa kuonesha uwezo wa Simba kujaza uwanja ...kulinganisha na Yanga ambao walishindwa ...Simba wangeweka kiingilio sawa sawa na Yanga ..... kiingilio cha elfu 10 minimum.... Hapo sasa ingekuwa nafasi nzuri ya kuonesha...
  15. JamiiForums Tanzania Marumo watangaza kiingilio bure mechi yao ya marudiano dhidi ya Yanga

    Ummat halaiki ya wapenda kandanda nchini Afrika Kusini watapata fursa ya kuangalia mechi ya Marumo vs Yanga bureeee. Hii ni habari mbaya, maana ninavyowajua wasauzi watajazana uwanjani na mavuvuzela ya kutosha na kitachofata inaweza kuwa mauaji ya halaiki kwa Yanga. Mimi kama shabiki nguli wa...
  16. JamiiForums Tanzania Mwaka 1988 Chakachaka alipiga show Makondeko Kibamba kiingilio kilikuwa 100,000

    Imepita miaka 35. Nimekumbuka kitu kimoja. Mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini ,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko. Ule ukumbi...
  17. JamiiForums Tanzania Ukitaka mwanaume sasa hivi ili akukubali lazima utoe kiingilio

    Wanaume wa Dar kwa hali ngumu atakupenda mtapiga story halafu muda kidogo utasikia babe nataka nijue kama unanipenda kweli naomba elfu 35 ili na wewe nikianza kutoa zangu ujue ni za kudumu. Nitakutunza mpaka ufurahi. So ukitaka mpenzi Dar lazima ujitoe kipesa atakuambia good day.
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Gharama za kuingia Ngorongoro National Park (kiingilio, malazi, Chakula)

    Habari wanaJF, mimi ni Mtanzania nataka kufahamu gharama za kutalii Ngorongoro national park (kiingilio, Malazi na Chakula) maana natamani kwenda ila nahofia nisije kuumbuka kwenye bajeti.
  19. JamiiForums Tanzania Simba Sc yapunguza kiingilio mechi ya CAF CC

    Kwa mapenzi makubwa kwa mashabiki wa timu hii kubwa zaidi nchini, Rais wa heshima, @moodewji amepunguza kiingilio cha eneo la Mzunguko kutoka Tsh. 5,000 hadi Tsh. 3,000. Nunua sasa tiketi yako. #NguvuMoja
  20. F

    JamiiForums Tanzania Kiingilio cha Gezaulole kilivyobadilika kutoka Jembe / Panga na kuwa PESA.

    Wakuu, Jana nilipata fursa kuitumia siku ya kumbukizi ya maisha ya Mwalimu kuzunguka zunguka vitongoji vya hapa Dar na mimi, nikapita mitaa ya Gezaulole - kigamboni aisee ni balaa - Mji umejengeka swafi, majumba makali makali nikawaza sana moyoni mwangu kwamba huku si ndiko watu walikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…