kigamboni

  1. KakaKiiza

    Plot4Sale Nauza viwanja Kigamboni njia ya fun city kituo njano

    Nauza viwanja vipo 4 vipo kigamboni njia ya kuingia Fun city nyuma ya kituo cha Njano kila kimoja kina sqm 500 kila kiwanja kinaanzia Tshs,28ML kama upo intrested njoo tuyajenge piga hii no 0743921019
  2. Nrangoo

    House4Rent Natafuta nyumba ya kupanga Kigamboni

    Habari ya wakati huu wadau. Nahitaji nyumba ya kupanga Kigamboni , haswa eneo la Mjimwema au Gezaulole . Sifa : Nyumba iwe na master bedroom, Sebule na Jiko, isiwe mbali na barabara, Umeme na Maji viwepo. Kwa mwenye kuweza kunifanikishia hitaji hilo tafadhali naomba tuwasiliane. Natanguliza...
  3. W

    PreGE2025 Mchange aipongeza TAKUKURU, baada ya kushikiliwa na kuhojiwa kwa saa kadhaa

    Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu. Akizungumza na gazeti la...
  4. Dalali wa Mjini

    Nauza kiwanja Kigamboni Mji Mwema

    Habari wakuu KIWANJA KINAUZWAA KIKO NDANI YA FENCE NI WEWE TU KUJENGA. HAKINA MGOGORO WOWOTE. KIGAMBONI MJI MWEMA. SQM 900+ KARIBU NA LAMI Bei Milion 50 Hati ipo Kibali cha ujenzi kipo 📱0754693556
  5. Doctor Mama Amon

    Ubovu wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri: Watumiaji wamtaka "RC Makeke" Chalamila awakwamue

    RC Chalamila Nimesafiri kutoka kwetu "Sumbawanga Town" nikaja Dar kumsalimia bibi huko Gezaulile Kigamboni. Kutoka Posta nilipitia Feri nikapanda pantoni, kisha basi kwenye kituo cha manasi cha Kigamboni Feri. Taarifa nilizokutana nazo ni kwamba watumiaji wa stendi ya mabasi Kigamboni Feri...
  6. upupu255

    PreGE2025 Mkurugenzi wa Jamvi la Habari, Habibu Mchange, adaiwa kushikiliwa na TAKUKURU Kigamboni

    Habibu Mchange, Mkurugenzi Mtendaji wa magazeti Jamvi la Habari, Times Observer, Tanzania Bora na mengineyo amedaiwa kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kigamboni kwa saa kadhaa. Inadaiwa kuwa Mchange aliitwa TAKUKURU Ijumaa saa tatu asubuhi baada ya siku ya...
  7. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Makalla Jimbo la Kigamboni mmezidi kujipitisha, msipojirekebisha tutawaengua

    Minyukano ya makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), inayoendelea kupigania Jimbo la Kigamboni imeuibua uongozi wa Chama hicho unaodai haufurahishwi na vitendo hivyo huku ukiahidi kuwashughulikia iwapo hawata jirekebisha. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025...
  8. radhiya

    Plot4Sale Plots for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  9. radhiya

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  10. Just Pray

    Kigamboni kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kwa makundi maalumu, wanawake watakiwa kutumia fursa ili kujiimarsha kiuchumi

    Serikali kupitia Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni imekuwa ikitenga asilimia kumi ya mapato ya ndani ili kuwawezesha Wananchi kiuchumi kupitia vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu sambamba na kutoa mikopo yenye Riba nafuu kwa Wajasiriamali wadogo wadogo Ili iweze kuwainua...
  11. A

    KERO Foleni ya malori kuingia Kigamboni

    Takribani wiki mbili sasa malori yamekuwa yakifunga njia ya kuingia kigamboni. Hii inaonekana taratibu za malori kuingia na kutoka bandarini hazisimamiwi ipasavyo. Usumbufu wa watumiaji wengine wa njia umekithiri sana. Hatuoni Jeshi la usalama barabarani likifanya kazi yake ktk hili...
  12. radhiya

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  13. GENTAMYCINE

    Jana Mimba kapewa Namungo lakini cha Kushangaza na Kusikitisha wanaoumia nayo na Kuitamani ni Watu wengine wa Kigamboni

    Basi kama na nyie pia mnaitaka Mimba aliyopewa Namungo jana vuteni subira mtakuja kupewa / kujazwa 8/3/2025 Ok?
  14. julaibibi

    Maeneo mengi ya Kigamboni yana mandhari mazuri lakini usimamizi ndio kikwazo. Maeneo mengi bado yana mapori!

    Wote tunaona jinsi mataifa madogo madogo yenye rasilimali chache yanavyofanikiwa kutokana na mipango bora ya usimamizi. Hali hii inajidhihirisha pia kwa Kigamboni, ambalo linabarikiwa na ufukwe wa bahari wenye umbali wa kilomita 70, wenye mchanga mweupe na mandhari nzuri. Hata hivyo, kutokana...
  15. radhiya

    Viwanja vinauzwa Kigamboni Dege

    Kwa maelezo zaidi na kuona viwanja, wasiliana nasi. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  16. radhiya

    Plot for sale in Kigamboni Kisarawe II

    For further details or to arrange a viewing, kindly contact us. 0784 829565 0767 833345 @prathlimited
  17. Shagiguku

    KERO Latra Kigamboni Feri wanapandisha nauli ikifika mida ya giza

    Usafiri wa daladala kwa sisi wakazi wa kigamboni ni kero na shida kubwa. 1. Giza likiingia nauli zinapandishwa juu; Zinakuwa tofauti na zile elekezi za serikali. 2. Jioni daladala zinafanya kazi kwa kujisikia saana. Konda awapakize ama awaache kwanza mgombanie daladala. Kisha akiamua ndo...
  18. radhiya

    Plots available for sale in Kigamboni Dege

    Plots available for Sale. Location: Kigamboni Dege, Amani Gomvu area, Dar es Salaam. Descriptions: Plots located 23km from ferry. There are 10 plots in the area. Each plot has title deed. You can buy all area or a number of plots. All social services are available. Suitable for Residential or...
  19. radhiya

    Plot available for sale in Kigamboni Kisarawe II

    Plot available for sale. Location: Kigamboni Kisarawe 2, Mwasonga road. Descriptions: *12km from main road(Kibada road). *It's near to Box Factory(Kiwanda cha maboksi) and Dar es Salaam Zoo. *It's 9.6 acres which is equal to 39,507.11SQM. *Suitable for Industrial, Commercial or Residential...
  20. chiembe

    Serikali itwae ardhi kubwa kigamboni iwe na hotel za kisasa na kumbi kubwa za mikutano, itasaidia kuondoa kero ya kufunga barabara

    Kigamboni ni eneo potential ambalo kama serikali ikiamua kutengeneza conference facility ya kimataifa, itaondoa kero ya kufanyia mikutano katikati ya jiji na kuathiri shughuli za kijamii. Kigamboni ni mini Zanzibar na I na utulivu mkubwa na beach safi
Back
Top Bottom