Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
Naitaji kijana wa kike au kiume ambae amemaliza form 4 na anaweza kufanya kazi ya kusimamia mauzo na manunuzi ya vitu kwenye restaurant
Kazi yake kubwa itakuwa ni kufunga hesabu za siku,
kujua maitaji ya vitu vinavyoitajika
Kwenda kununua hivyo vitu
Na kusimamia mauzo
Kazi ni kuanzia saa 1...
Mradi wa Maji Kigamboni waendela kuleta ahueni.
Tangu kuzinduliwa kwa mradi wa maji Kigamboni maeneo mablimbali ambayo hapo awali yalitegemea maji kwa mgawo tangu kutokea ukame mwezi Oktoba,2022 yameanza kupata maji. Wanufaika wa kwanza walikuwa wakazinwa Kigamboni Ferry, Navy, maeneo ya...
Wakuu nina kiwanja Changu Kigamboni (Clean Title Deed) 469 Sqm, kipo Barabara Tasaf ukitokea Dar es Salaam Zoo.
Block S, Chekeni Mwasonga. Barabara za Mtaa zipo Full Draft. Nakiuza Kwa 8M Tzs. , pM kama upo interested Asante.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa maji Kigamboni na kugawa mitambo ya Kuchimbia visima, Leo Novemba 11, 2022
=====
Mradi wa maji wa Kigamboni umezinduliwa rasmi na Rais Samia, Rais amejafungua maji na yanatoka kwa wingi.
Rais amekata utepe na...
Hello!
Natafuta dereva wa bajaji mwenye uzoefu na bajaji vizuri.
Awe anaishi Dar na awe na leseni yake tayari. Mwenye tabia ya uaminifu. Anahitajika urgently apige namba 0757302961.
Nipo Kigamboni
Ifike sehemu viongozi muwe na aibu jamani na wakazi wa kigamboni hata kama niwapole!
1. Wananchi wa kigamboni wanaishi kama digidigi kwenye pantoni na hakuna kiongozi hata mmoja anaeguswa na hilo
2. Mabanda ya abiria kwenye pantoni hayana viti lakini hakuna anaejigusa Si Temesa, Si LATRA, Si...
Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza.
Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli iliusimamisha baada ya kubaini kuwa kuna ufisadi mkubwa.
Cha kushangaza CCM na...
Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao.
Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
Shukurani na pongezi ziwafikie Tanroads,Tarura na DC kigamboni kwa kukubali kuyaondoa Yale matuta mabaya pale mnadani!
Uongozi ni kusikiliza, Tunawashukuru sana! Kama kutakuwa na ulazima sana wa tuta mahali pale, BASI YATUMIKE YALE MATUTA MAKUBWA MAPANA!
Lakini kwa sasa Hall ni shwari kanisa...
Naam, ni uhuni juu ya uhuni, kudadeki, aisee weeh! Tukadanganywa kwamba kaenda Wakiso Giants ya Uganda na kwamba kwa sasa yeye na Yacouba hata kwenye picha za mazoezi wanafichwa fichwa!
"Za ndani kabisa, jamaa kumbe yupo. Hajaenda kwa mkopo wala nini, ilikuwa ni gia tu ya kutuzuga sisi...
1- kinauzwa kiwanja mbezi ya goba kulangwa sq 400 Bei million 17 (maongezi yapo) kilipo si mbali na barabara (dk7- 10 main road)
2- kiwanja kinauzwa MBEZI GOBA sqm 1000 Bei million 57 (maongezi yapo)pia hakipo mbali na barabara
3. Nyumba ya vyumba 6 Mbezi beach Goigi (dk 10 bagamoyo road)...
asubuhi
beach
boko
center
goba
hoteli
inapangishwa
inauzwa
kigamboni
kinauzwa
kisasa
kiwanja
kiwanja kinauzwa
kupanga
mbezi
mbezi beach
ndani
nyumba
nyumba inauzwa
nyumba ya kisasa
nyumba ya kupanga
tofauti
udalali
vifaa
vinauzwa
viwanja
viwanja vinauzwa
Kwa nia njema! Tarula/ Tanroad mmeweka matuta ili kupunguza speed!
Lakini aina ya matuta mliyotumia ni mabaya sana na yanaharibu vyombo vya moto!
Pia mbali na kuharibu vyombo vya moto yanatikisa mwili hadi ubongo!
Sasa kwa vile njia hiyo pia inaelekea hospital! Ikipitisha wagonjwa na wenye...
Kina ukubwa wa sqm 1566 kipo karibu na magorofa ya NSSF kimepimwa tayari hati inatoka moja kwa moja kwa jina lako huitaji transfer Bei ml 20 kipo mita 150 toka lami ilipo nicheki 0713672719/0787672719
Habari ya wakati huu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, madalali wamenichosha hakika na wasumbufu na hawatimizi hitaji😥
Natafuta chumba, sebule choo na jiko ndani kwa bajeti ya 150,000. Kiwe mazingira salama na ndani ya uzio(sitokuwepo muda mwingi)
Maeneo ni Kigamboni...
Tafadhali, naomba msaada wa kujua bei ya ngozo tajwa hapo juu kwa watu wanakaa sehemu za Kijichi na kuendelea mbele.
Nataka kuzinunua na cement, pamoja na kokoto kama wajua bei au unauza nisaidie nijue bei pia. Shukran
VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA
VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu.
Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
Salaam Wakuu,
Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma.
Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani
Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart
Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
Ni imani yangu sote tu wazima wa afya.
Nina muda mrefu sijavuka kwa panton kwenda kigamboni takribani miakai minne sasa, japokuwa ninaishi Dar es Salaam. Leo katika ratiba za mishemishe zangu hapa mjini, ratiba moja wapo ilinilazimu niende Kigamboni, wakati wa kwenda nilipita darajani ila...